Hodi

Karibu mambo ya Facebook hatutaki kabisa kuandika

Sasa mnatumia xaxa
Na mambo kama hayo
 
subiri na vaa
Ha ha haa...haya miss chaga, ukimaliza kuvaa unijuze niingie. Lakini inawezekana sote jinsia moja, so hata nikiingia wakati unavaa si vibaya!
 
Ha ha haa...haya miss chaga, ukimaliza kuvaa unijuze niingie. Lakini inawezekana sote jinsia moja, so hata nikiingia wakati unavaa si vibaya!
we mdogo utapofuka macho
 
Habari zenu wana jf,

Mi ni mgeni wenu ingawa nimekuwa nikiitumia JF kama chanzo cha habari kwa zaidi ya miaka 4.
Sasa nimeona nijiunge rasmi....Naombeni ushirikiano wenu.
Karibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…