Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we mdogo utapofuka machoHa ha haa...haya miss chaga, ukimaliza kuvaa unijuze niingie. Lakini inawezekana sote jinsia moja, so hata nikiingia wakati unavaa si vibaya!
Karibu sanaHabari zenu wana jf,
Mi ni mgeni wenu ingawa nimekuwa nikiitumia JF kama chanzo cha habari kwa zaidi ya miaka 4.
Sasa nimeona nijiunge rasmi....Naombeni ushirikiano wenu.
Nini...pepeta? [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]subiri na vaa