Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tsh.50000/= per day
Tabora kwa kulala tu 10,000 - 15,000 unapata sehemu nzuri na salama kwa kulala vizuri kabisa kwa siku.Hiyo ni ya kulala tu mkuu na nakaa siku 4
Hiyo ni ya kulala tu mkuu na nakaa siku 4
Ya kulala tu!!, Hapo bado hujala na kunywa!!
duh hiyo 50k nyingi sana, watoto wa kinyamwezi wakarimu sana watakupokea.....nenda mitaa ya Kanyenye Kanyenye kuna malazi na chakula swafi kabisa....pale karibu na stand kuu ya mabasi - 30,000 kwa usiku mmoja!!Habari ya mchana wadau nipo njiani kwenda Tabora, naomba kwa wale wenyeji wa Tabora mnianiambie ni wapo napata malazi bora bajeti yangu ni Tsh.50000/= per day
Gari ndogo tu
Mkuu nimepata lodge nzuri sana kwa bei chee pana utulivu wa hali ya juu mitandao H+ ni kukaa kwenye jukwaani hadi basiHizi lodge wanazokwambia elf 15 ni pasua kichwa hawajua mahitaji yako unajua mtu anashauri kulingana na namna yeye anavyoona hajui hiyo lodge anayoona yeye inafaa sana kwa mwenzake hawezi kulala
Kuna lodge nyingi Tabora naamini kwa budget hiyo utapata kuna moja nimeisahau jina ila nakudhauri ukifika mtafute boda mwambie unatafuta Hotel isiyopungua 30,000/ otherwise naye atakupeleka hizo za 15 sikushauri
Ni ipi hiyo na sh. ngapi mkuuMkuu nimepata lodge nzuri sana kwa bei chee pana utulivu wa hali ya juu mitandao H+ ni kukaa kwenye jukwaani hadi basi
KARIBU ORION HOTEL tukuhudumie. ni kati kati ya mji. jiranj na stesheni ya treni, karibu na vyuo: uhaziri na TTC. waweza kubarizo jioni na kujisigeza chuoni kubadili mawazo na wanachuo jinsi zote. wadada wakarimu sana; siku 4 hazutakutosha kwa ukarimu wao (kumbuka hapo ndio utakutana na wanyamwezi-pacha wa kulee kwa wabonde)Tabora kwa kulala tu 10,000 - 15,000 unapata sehemu nzuri na salama kwa kulala vizuri kabisa kwa siku.
Sema tu kama hauna conection ndipo utasota.
Turudi kwenye budget yako ya 50,000 kwa siku. Utapata tena haraka, sema ukifanya kama unazo sana, utapigwa cha juu zaidi.