Hodii Tabora

Hodii Tabora

HFOOO

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Posts
683
Reaction score
644
Habari ya mchana wadau nipo njiani kwenda Tabora, naomba kwa wale wenyeji wa Tabora mnianiambie ni wapo napata malazi bora bajeti yangu ni Tsh.50000/= per day
 
Kwanza hebu panga hiyo budget yako ya 50,000/= per day , niione ndipo nitaamini, halafu unakaa siku ngapi huko??,🤣🤣
Hiyo ni ya kulala tu mkuu na nakaa siku 4
 
Tabora kwa kulala tu 10,000 - 15,000 unapata sehemu nzuri na salama kwa kulala vizuri kabisa kwa siku.
Sema tu kama hauna conection ndipo utasota.
Turudi kwenye budget yako ya 50,000 kwa siku. Utapata tena haraka, sema ukifanya kama unazo sana, utapigwa cha juu zaidi.
 
Ya kulala tu!!, Hapo bado hujala na kunywa!!🤣🤣. Kweli sema; "sina pesa na usiseme hatuna pesa".

Unaenda huko kwa kutumia usafiri wa ndege??.
 
Gari ndogo mzee baba
 
Ya kulala tu!!, Hapo bado hujala na kunywa!!🤣🤣. Kweli sema; "sina pesa na usiseme hatuna pesa".

Unaenda huko kwa kutumia usafiri wa ndege??.
Gari ndogo tu
 
Habari ya mchana wadau nipo njiani kwenda Tabora, naomba kwa wale wenyeji wa Tabora mnianiambie ni wapo napata malazi bora bajeti yangu ni Tsh.50000/= per day
duh hiyo 50k nyingi sana, watoto wa kinyamwezi wakarimu sana watakupokea.....nenda mitaa ya Kanyenye Kanyenye kuna malazi na chakula swafi kabisa....pale karibu na stand kuu ya mabasi - 30,000 kwa usiku mmoja!!
 
kuna lodge inaitwa katavi lodge iko vizuri sana bei kama 15 elfu hiv, viwanja vya kujirusha nafikikiri pale oxygen panafaa sana mdau.
 
duh hiyo 50k nyingi sana, watoto wa kinyamwezi wakarimu sana watakupokea.....nenda mitaa ya Kanyenye Kanyenye kuna malazi na chakula swafi kabisa....pale karibu na stand kuu ya mabasi - 30,000 kwa usiku mmoja!!
Ahsante mkuu
 
Hizi lodge wanazokwambia elf 15 ni pasua kichwa hawajua mahitaji yako unajua mtu anashauri kulingana na namna yeye anavyoona hajui hiyo lodge anayoona yeye inafaa sana kwa mwenzake hawezi kulala

Kuna lodge nyingi Tabora naamini kwa budget hiyo utapata kuna moja nimeisahau jina ila nakudhauri ukifika mtafute boda mwambie unatafuta Hotel isiyopungua 30,000/ otherwise naye atakupeleka hizo za 15 sikushauri
 
Mkuu lodge nzuri zinapatikana mitaa ya oxygen longe bei ni 15-20,000 [emoji3]
 
Hizi lodge wanazokwambia elf 15 ni pasua kichwa hawajua mahitaji yako unajua mtu anashauri kulingana na namna yeye anavyoona hajui hiyo lodge anayoona yeye inafaa sana kwa mwenzake hawezi kulala

Kuna lodge nyingi Tabora naamini kwa budget hiyo utapata kuna moja nimeisahau jina ila nakudhauri ukifika mtafute boda mwambie unatafuta Hotel isiyopungua 30,000/ otherwise naye atakupeleka hizo za 15 sikushauri
Mkuu nimepata lodge nzuri sana kwa bei chee pana utulivu wa hali ya juu mitandao H+ ni kukaa kwenye jukwaani hadi basi
 
Tabora kwa kulala tu 10,000 - 15,000 unapata sehemu nzuri na salama kwa kulala vizuri kabisa kwa siku.
Sema tu kama hauna conection ndipo utasota.
Turudi kwenye budget yako ya 50,000 kwa siku. Utapata tena haraka, sema ukifanya kama unazo sana, utapigwa cha juu zaidi.
KARIBU ORION HOTEL tukuhudumie. ni kati kati ya mji. jiranj na stesheni ya treni, karibu na vyuo: uhaziri na TTC. waweza kubarizo jioni na kujisigeza chuoni kubadili mawazo na wanachuo jinsi zote. wadada wakarimu sana; siku 4 hazutakutosha kwa ukarimu wao (kumbuka hapo ndio utakutana na wanyamwezi-pacha wa kulee kwa wabonde)

hotel ina usalama, fanya uwezavyo utembelee mitaa ya kanyenye, isevya na minazi mikinda. huko ndiko utajua mapya ya tabora.

BONEKAGA NGALU!!!
 
Back
Top Bottom