Hodii Tabora

Hodii Tabora

Hesabu unaweza ku drive massage mangapi kutoka Dar to Moro then Moro to Dom then Dom to Singida kwa speed yako unayoijua. Maana Moro to Dom haitofautiani sana na Dom to Singida kote ni three hours kwa basi. Kipande Cha Singida Igunga sio kirefu Igunga Ni Wilaya ya mkoa wa Tabora inayopakana na mkoa wa Singida...ukifika Misigiri unashuka sekenke unaingia sherui then unatafuta Igunga kwa uraini tu
Ila kwa mabasi yamoja kwa moja kutoka dar hadi Igunga si yapo
 
Back
Top Bottom