Hodiiiii

Hodiiiii

You are most welcome , lkn hapa ujifunze kuwa mstahmilivu km mm mana waweza Leta thread ya maana tu ukaishia kuchambwa na matusi mengi sasa mtu akikutukana ucmjibu inawezekana ni mkeo, humjui sababu nae anatumia fake ID, umesikia rafiki yangu[emoji54]
 
Karibu sana Mr Weru.

Kwa niaba ya wana JF wote naomba pia umlete na Mrs. Weru kwenye Forum yetu, MMU kule wanamuhitaji sana.

Na nimekuzawadia rasmi cheo cha Mkuu, ukiona mtu anakuita humu mkuu Mr.Weru, usishangae maana nikikupa cheo humu ndani, hakuna wa kukunyang'anya.
Hahaaa,, dangany toto mkuu unajitaid sana
 
You are most welcome , lkn hapa ujifunze kuwa mstahmilivu km mm mana waweza Leta thread ya maana tu ukaishia kuchambwa na matusi mengi sasa mtu akikutukana ucmjibu inawezekana ni mkeo, humjui sababu nae anatumia fake ID, umesikia rafiki yangu[emoji54]
Shukran KWA ushauri mzur
 
Vp umekuja na vyakula vyako.kama umekuja mikono mitupu utashinda njaa maana maisha haya ya kipindi cha magu nikilevi tosha ndo maana hata viloba v me b cancelled out.
 
Back
Top Bottom