Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anhaa..karibu tena na tena dear ArchuNdio
Archu nilipoona tu hyo avatar yako.moyo wangu ukaanza kukimbia kama Hussein bolt.Habar za humu ndani
Cha msingi uzingatie sheria humu na TAMBUA KUNA WATU WA AINA MBALIMBALI HUMU....Jifunze jinsi ya kwenda nao sawa na kuwavumilia...Asante sanaa
Archuuuuuu. Naona umeungana na mapopo wa JFHabar za humu ndani
Karibu sana MamyHahahaa ndio
poa..unapenda majukwaa ganiAsante kwa ushaur
mtu usipomjua vizuri usimtaje mbele ya watu unaweza kujikuta unakula makofi hata kama umeshibaArchu nilipoona tu hyo avatar yako.moyo wangu ukaanza kukimbia kama Hussein bolt.