bwana wewe endelea kukaa na kamba yako mguuni tu unioni wakati nimenyoosha mkono juu angalia mwanamke mwenye sura mbaya kuliko wote hapo ndo uje
Mr.Rijali karibu, Lakini kila chumba na mlango wake na kila mlango na fungu yakeee!!
JF ni hospitali kuu inatibu na kudischarji haraka.
JF ni Chuo pekee 24/7 ukifaulu unaajiriwa umoumo.
Most welcom...
Asante bibie, jina lako limenikumbusha mbali sanaaaa!
hii jinsia ya "rijari" inapatkana mkoa gan? Karibu
Asante sana, mnaonekana mna upendo humu ndani
hilo ndo la muhimu alilolisahau.Jinsia yako plz!!
ndo maana unaonekana sspidi yako kali zaidi ya man u ya kuporomokaMi mgeni wangu, nimetokea fb
ngeni weye unajua mpk zile za this message has been deleted by kidontoNlikotoka Upendo ni kwa mtu anayekujua, hapa kuna watu wamenifungua mpaka kamba mguuni mwangu.
Jamani mi ni mgeni humu ndani, kukaribishana IMO?
usimtishe mgeni bwana kila kitu salama jf inategemea unachangia vipi?karibu, ila chunga sana jukwaa la siasa kule sio kuzuri selo nje nje!