Hodiiiiiii mpaka ndani!

Hodiiiiiii mpaka ndani!

bwana wewe endelea kukaa na kamba yako mguuni tu unioni wakati nimenyoosha mkono juu angalia mwanamke mwenye sura mbaya kuliko wote hapo ndo uje

Ooooooooh! basi ulivyosema mwanamke mwenye sura mbaya ndo nimekuona, ngoja nije manake wanawake wenye sura mbaya kama yako ndo mambo yote hapa mjini.
 
Mr.Rijali karibu, Lakini kila chumba na mlango wake na kila mlango na fungu yakeee!!
JF ni hospitali kuu inatibu na kudischarji haraka.
JF ni Chuo pekee 24/7 ukifaulu unaajiriwa umoumo.
Most welcom...

Duh! yani jina lako na comment yako ni Mapacha kabisa.
 
Karibu ila naona wewe si mgeni kwa speed uliyonayo. Tupe ili Id yako ya zamani.
 
Karibu ila naona wewe si mgeni kwa speed uliyonayo. Tupe ile Id yako ya zamani.
 
ngeni weye unajua mpk zile za this message has been deleted by kidonto

Hahahahahahahaaa! mwenzangu mimi hata Kighungu najua basi! kuna mtu sijui anaitwa Invisible kama sikosei ndo kaweka hayo maneno ya Kidhungu.
 
Last edited by a moderator:
karibu, ila chunga sana jukwaa la siasa kule sio kuzuri selo nje nje![/QUOT
Oooh! kama ndo hivyo huko jukwaa la siasa ntakua siendi, ntabaki huku huku!
 
Back
Top Bottom