Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes! imekua bahati kukutana na Miss.
Ooooh! Asante sana Blue G
Mbona mpaka nshaanza kuwika!
We utakuwa ulikuwa mwenyeji bwana umewika tena loh
ok sio mbaya kinga ni bora kuliko tibamkuu Mndengereko kule kuna watu hawakawii kukupandisha maruhani ukafyatuka ukajikuta uko selo nampa tahadhari tu!
Kuku wa kisasa huyo!
Jamani si wewe mwenyewe umenitoa kamba! sasa kuna nini tena hapo?
punguza kuwika rafiki ila karibu sabna sana rafiki tena sana wakikuchokoza njoo sema hapa kwangu
Wewe ni mtu poa, Mimi huvutiwa na wanawake wasiopenda ugomvi.