mzee wa kijiwe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 947
- 685
Jamani hamjambo? Mimi ni mzee wa kijiwe naomba kuingia mjini kama ifuatavyo!!!!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana! vipi mambo yana endaje?Karibu sana mzee wa kijiwe
Bwanae, kama unayo nyeti fulani iliokusukuma kubadili ID yako hebu katumwagie hapa. Hii mambo ya kuzunguka zunguka huwaga si mazuri hata kidogo.
Sasa jiandae kupata upinzani mzito kutoka kwa wakina ritz rejao mafilili zomba Tume ya Katiba wote hao ni vijana wazeeAsante sana! vipi mambo yana endaje?
Asante sana! vipi mambo yana endaje?
Una uhusiano na mzee wa njaa?
Karibu kijiweni
Asante sana! vipi mambo yana endaje?
Maji ya kilimanjaro tuu, uhai balaa nahisi yame wekwa uccm ndani ukinywa utajikuta una ongea pumba!Mambo kama unavyoyaona .....unatumia kinywaji gani nikuletee?
Hamna noma hapa wamefika hakuna kulala, hakuna kula hadi magogoni!Sasa jiandae kupata upinzani mzito kutoka kwa wakina ritz rejao mafilili zomba Tume ya Katiba wote hao ni vijana wazee
aisee unajaza seva tuu. umebandika mabandiko yooote haya kukaribishwa tu? acha upuuzi , mkubwa wewe.
Huyo simjui kabisa, atakufa kwa njaa naona aje chadema!
Maji ya kilimanjaro tuu, uhai balaa nahisi yame wekwa uccm ndani ukinywa utajikuta una ongea pumba!