Hodiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iii

Hodiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iii

mzee wa kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2012
Posts
947
Reaction score
685
Jamani hamjambo? Mimi ni mzee wa kijiwe naomba kuingia mjini kama ifuatavyo!!!!!!!!!
 
Karibu sana; hebu kwanza tupe ile ID yako ya siku zote hapa kisha ukatuambie kwamba hadi sasa unayo nyeti gani iliokufanya kufungua Hhiyo ID mpya.
 
Bwanae, kama unayo nyeti fulani iliokusukuma kubadili ID yako hebu katumwagie hapa. Hii mambo ya kuzunguka zunguka huwaga si mazuri hata kidogo.
 
aisee unajaza seva tuu. umebandika mabandiko yooote haya kukaribishwa tu? acha upuuzi , mkubwa wewe.
 
Bwanae, kama unayo nyeti fulani iliokusukuma kubadili ID yako hebu katumwagie hapa. Hii mambo ya kuzunguka zunguka huwaga si mazuri hata kidogo.

Nyeti zipo kibao, kuna Diwani mmoja wa humu jijini chadema ana kula rushwa balaa! haki ya nani akivuka mwaka huu kabla ya kunaswa na TAKOKURU niiteni mwongo!
 
Mambooooooo, mambo aaahh!!

Ni yale yale tu Sepetu kutembelea Magogoni, Balozi wa Nyumba 10 ni mpaka mtu uwe WA-KIJANI kama Dr Banna (Katiba ya CCM, 2012), Tanzania sasa mrithi wa biashara za Irani kule High Seas na mambo kama hayo tu!!

Asante sana! vipi mambo yana endaje?
 
Sasa jiandae kupata upinzani mzito kutoka kwa wakina ritz rejao mafilili zomba Tume ya Katiba wote hao ni vijana wazee
Hamna noma hapa wamefika hakuna kulala, hakuna kula hadi magogoni!
 
Karibu sana JF njomba mzee wa kijiwe.Uji kwa kande unapanda?
 
Back
Top Bottom