Hofu dhidi ya Israel yasababisha Hassan Nasrallah aliyekuwa kiongozi mkuu Hezbollah, kufanyiwa maziko ya muda eneo la siri

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Hassan nasrallah aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Hezbollah amezikwa kwa muda eneo lisilojulikana wakihofia mazishi makubwa ya wazi upo uwezekano mkubwa wa Mossad na IDF kutumia hiyo fursa hiyo kufanya yao!

Hivyo wanasubiri siku za usoni mazingira yakiwa sawa basi watamfanyia maziko makubwa ya heshima yanayomstahili Kiongozi wao huyo mpendwa

Source close to Hezbollah says slain chief Nasrallah temporarily buried

By AFP

A source close to Hezbollah tells AFP the Lebanese group’s slain chief Hassan Nasrallah has been temporarily buried in a secret location, fearing Israel would target a large funeral.

“Hassan Nasrallah has been temporarily buried until the circumstances allow for a public funeral,” the source says, after an Israeli strike killed the leader last week
 
2hr ago

Ayatollah kaongoza swala ya Ijumaa vizuri kabisaa, wewe una angaika na maziko tena
 
Israel pamoja na ujua wake lkn uyo mzee awatomzulu sababu za msingi akuna labda awafuraishe kina mzee kigogo na jehova wenzie😂😂
 
Back
Top Bottom