Hofu husababishwa na nini?

Hofu husababishwa na nini?

G'taxi

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
6,625
Reaction score
8,639
Wanajamvi mnisaidie hii,mala kadhaa hukuta mtu anakua na hofu,ni kama kitu ndani yake humsababishia kutokujiamini kwa mambo mengi na hata jambo dogo laweza kumyumbisha na kujikuta akiishi kwa hofu na uoga hata kama jambo ni la kawaida kabisa,swali langu ni je hofu husababishwa ea nini na nini dawa yake ya kuiondoa hofu na uoga?
 
kuna mtu alinieleza kwa upande wake anaweza akapigiwa simu na rafiki wake aidha wa kawaida au mpenzi wajumuike pamoja. roho ikikataa ule mualiko hali ya mwili inabadilika sana anakuwa dhaifu. vilevile anaweza akawa amepanga kazi za kufanya siku husika, bosi wake akatokea akampa kazi mpya, roho ikikataa mwili unabadilika anakuwa dhaifu, hiyo siku inawezekana asifanye kazi yeyote kabisa. changamoto kubwa hali ya roho kukubali au kukataa ni automatic, yaani hawezi kuizuia. kwa hakika inamuathiri kiuchumi na kijamii.naomba ufafanuzi wa hili au tiba yake.
 
Hofu inatokana na kuamini kutokea kwa kitu ambacho unakiogopa na ambacho unahisi iwapo kitatokea, basi, kinaweza kukuathiri kwa namna isiyoweza kuzuilika kirahisi! mara nyingi watu walio na hofu ni wale wenye kutazamia mambo mazuri kutokea mbeleni. hvyo hofu inawalazimisha kuamini kitu ambacho hakipo ili kuweza kutimiza lengo ambalo wanalitazamia kama jema kwao kutokea mbeleni.
 
kukosekana kwa uhakika wa maisha au jambo fulani kutokea kama makusudio ya mhusika
 
Hofu hutokana na kukosekana kwa Upendo.

acha kukariri, kwani ukikutana na simba au mnyama yeyote mkali ukapatwa na hofu hapo utasemaje simba huyo hana upendo? au ikipiga radi ukapatwa na hofu utasemaje mungu aliyeumba hiyo radi hana upendo?
 
Angalieni vyema swali langu la mwisho,nini dawa ya kuondoa hofu,kwa mfano,unaweza mkuta mtu hata sio masikini wa fedha wala elimu lakini ana mambo yanamyumbisha,akitokewa na jaribu fulani katika maisha yake mtu huyo huishia kuogopa na kua na hofu mpaka anatafuta washauli,mwingine waweza kuta hata mke wake au mume wake wa ndani au mpenzi wake anaweza akamyumbisha kwa kiasi kikubwa ilihali watu hawa hulala kitanda kimoja,Je ni uumbaji wa MUNGU juu ya mtu huyu?Je ni kukosa kujiamini?au ni sili ipi iko ndani ya watu hawa waoga na nini dawa ya kuwasaidia?
 
Wanajamvi mnisaidie hii,mala kadhaa hukuta mtu anakua na hofu,ni kama kitu ndani yake humsababishia kutokujiamini kwa mambo mengi na hata jambo dogo laweza kumyumbisha na kujikuta akiishi kwa hofu na uoga hata kama jambo ni la kawaida kabisa,swali langu ni je hofu husababishwa ea nini na nini dawa yake ya kuiondoa hofu na uoga?

Hofu hujengeka when a person foresee the upcoming event to him or other people he love! Kwa kawaida, matukio asiyokubaliana nayo ndio humtia hofu!
...
Dawa ya hofu ni kujiamini na kukubaliana na ukweli!
Sometimes watu wanahofia vitu vya kipuuzi kabisa kwa kushindwa kujiamini!
 
1394469844499.jpg
 
kuna mtu alinieleza kwa upande wake anaweza akapigiwa simu na rafiki wake aidha wa kawaida au mpenzi wajumuike pamoja. roho ikikataa ule mualiko hali ya mwili inabadilika sana anakuwa dhaifu. vilevile anaweza akawa amepanga kazi za kufanya siku husika, bosi wake akatokea akampa kazi mpya, roho ikikataa mwili unabadilika anakuwa dhaifu, hiyo siku inawezekana asifanye kazi yeyote kabisa. changamoto kubwa hali ya roho kukubali au kukataa ni automatic, yaani hawezi kuizuia. kwa hakika inamuathiri kiuchumi na kijamii.naomba ufafanuzi wa hili au tiba yake.

Usiwe unaongea vitu ambavyo vinakuzidi
Nani kakwambia kuwa hali hiyo ni automatic?
Chambua zaidi utaona ya kuwa kila kitu una uwezo nacho
 
Angalieni vyema swali langu la mwisho,nini dawa ya kuondoa hofu,kwa mfano,unaweza mkuta mtu hata sio masikini wa fedha wala elimu lakini ana mambo yanamyumbisha,akitokewa na jaribu fulani katika maisha yake mtu huyo huishia kuogopa na kua na hofu mpaka anatafuta washauli,mwingine waweza kuta hata mke wake au mume wake wa ndani au mpenzi wake anaweza akamyumbisha kwa kiasi kikubwa ilihali watu hawa hulala kitanda kimoja,Je ni uumbaji wa MUNGU juu ya mtu huyu?Je ni kukosa kujiamini?au ni sili ipi iko ndani ya watu hawa waoga na nini dawa ya kuwasaidia?

Yote ipo ndani ya akili yako
Halafu zingatia matumizi ya "R" na "L"
 
Angalieni vyema swali langu la mwisho,nini dawa ya kuondoa hofu,kwa mfano,unaweza mkuta mtu hata sio masikini wa fedha wala elimu lakini ana mambo yanamyumbisha,akitokewa na jaribu fulani katika maisha yake mtu huyo huishia kuogopa na kua na hofu mpaka anatafuta washauli,mwingine waweza kuta hata mke wake au mume wake wa ndani au mpenzi wake anaweza akamyumbisha kwa kiasi kikubwa ilihali watu hawa hulala kitanda kimoja,Je ni uumbaji wa MUNGU juu ya mtu huyu?Je ni kukosa kujiamini?au ni sili ipi iko ndani ya watu hawa waoga na nini dawa ya kuwasaidia?
Naomba kwanza unieleze maana ya neno ''jaribu/majaribu''maana naona kama linatumika kuficha failure binafsi za kibinadamu, mfano mwanafunzi asiyezingatia masomo yake sawa sawa, huyo naye akifeli mitihani tuite ni jaribu/majaribu? Nani anayekuyumbisha? Na kwa nini akuyumbishe? Kwa nini uyumbe? Mambo mengine ni ya kiimani tu, na ni bora tuyaache au tuyatumie hukohuko kwenye imani tu!! Kama ni hofu juu ya kitu kisichokuwepo, au usichokijua (fear of unknown) hapo tunaweza kuulizana chanzo na sababu zake, ila kama ni hofu juu ya simba unayemwona dhahiri akikuvizia hapo hakuna cha ku discuss!! Tutakwambia tu kuwa hofu hiyo imesababishwa na madhara yanayoweza kusababishwa na simba ambayo wewe mwenyewe unayajua, otherwise hofu pia ina faida zake, tena nyiingi tu, ndiyo maana imechangia hadi wewe leo unaishi kwenye nyumba yenye kuta imara! Yenye fence na ulinzi imara, una bima ya afya na mali pia, una akaunti benki na makoti ya baridi japo ni msimu wa jua kali nk nk nk.
 
Wasiwasi hausaidii. Imeandikwa katika Zaburi 37:8 "Ukomeshe hasira, uashe ghadhabu, usikasirike, mwisho wake ni kutenda mabaya."

Hakuna haja ya kuwa na hofu.. Mungu yuko nasi. Imeandikwa katika Mathayo 6:31-33 "Msisumbukie, basi mkisema, tuleni nini? au tunyweni nini, au tuvae nini? kwa maana hayo yote mataifa huyatafuta kwa sababu Baba yenu wa mbinguni anajua ya kuwa mnahitaji hayo yote. Basi utafuteni kwanza ufalme wake na haki yake na hayo yote mtazidishiwa."

Hatuwezi kuondoa hofu katika maisha yetu hadi tuwe na jambo jingine jema na maombi. Imeandikwa Wafilipi 4:6- 7 " Msisumbukie kwa neno lo lote, bali katika kila neno kwa kusali na kuomba pamoja na kushukuru haja zenu na zijulikane na Mungu na amani ya Mungu ipitayo akili zote itawahifadhi mioyo yenu na nia zenu katika Kristo Yesu."

Kuwa na hofu ni kupoteza muda. Imeandikwa katika Luka 12:25-26 "Na yupi kwenu ambaye ajisumbua ambaye aweza kujiongeza kimo chake hata mkono mmoja basi ikiwa hamwezi hata neno lililo dogo kwa nini kujisumbua na hayo mengine?."

Mpe Mungu hofu zako. Imeandikwa katika 1Petro 5:7 "huku mkimtwika yeye fadhaa zenu zote kwa maana yeye hujishuguliza sana kwa mambo yenu."
 
acha kukariri, kwani ukikutana na simba au mnyama yeyote mkali ukapatwa na hofu hapo utasemaje simba huyo hana upendo? Au ikipiga radi ukapatwa na hofu utasemaje mungu aliyeumba hiyo radi hana upendo?

kungekua na upendo kati ya simba na mwanadamu kusinge kuwa na hofu(kama tunavyosimuliwa na vitabu vya imani adam alitembea na simba .pia kulikua na wanyama wote ambao kwa leo tuna waita wakali)
 
Tusaidie ndugu,unamaanisha nin?

Nilimaanisha kuwa binadamu ana uwezo kabisa wa kuchukua usukani na kuwa na control ya akili yake. Kitu kikifanywa mara nyingi hujenga mazoea na mazoea ugeuka tabia. Una uwezo unaoitwa will power, ukiamua unaweza kuibadili hali yoyote.
 
Hivi ukiwa na "will power" unaweza kubadili kila kitu?

Je hiyo 'will power' inayotoka kwa mtu ni lazima iwe na back up ya higher orders au si lazima?
 
Nilimaanisha kuwa binadamu ana uwezo kabisa wa kuchukua usukani na kuwa na control ya akili yake. Kitu kikifanywa mara nyingi hujenga mazoea na mazoea ugeuka tabia. Una uwezo unaoitwa will power, ukiamua unaweza kuibadili hali yoyote.

Unaanze kwa mfano?maana hiyo yaweza kua elimu tusiyoijua mkuu,natamani kujua hatu za kuchukua na unafanyaje
 
Back
Top Bottom