Hofu imenitanda nahisi nina tezi dume

Hofu imenitanda nahisi nina tezi dume

Umenikumbusha kuna kipindi niliumwa dalili zote za matatizo ya figo.. lakini nilipoenda hospital..nikakutwa Niko vizuri.

Unajipa woga wa bure..nenda hospital kubwa yenye mtaalamu wa mfumo wa mkojo (urologist) atakutibu bila shida
 
Jibu
Ondoa hofu Tezi dume ( prostate gland ) haihusiani moja kwa moja na mfumo wa mkojo (ni mfumo wa uzazi) ila ipo karibu karibu na kibofu ikiwa tatizo lako halitatibiwa vizuri na hauto pata mlo sahii inflamation inaweza kufika eneo hilo. Hivyo kupata tezi dume itategemea wewe kuzingatia matibabu na ulaji bora. Uwezekano ni 30%
females-puberty-organs-hormones-males-reproduction-egg.jpg
 
Umenikumbusha kuna kipindi niliumwa dalili zote za matatizo ya figo.. lakini nilipoenda hospital..nikakutwa Niko vizuri..
Unajipa woga wa bure..nenda hospital kubwa yenye mtaalamu wa mfumo wa mkojo (urologist) atakutibu bila shida
Shukrani mkuu
 
Hali yangu nimepata nafuu ingawa ya mashaka, bado najisikilizia nione maana ni 23 ya mwezi uliyopita nilimaliza dozi
Pole sana. Usiache ku share nasi maendeleo yako.

Ila mie ngoja nikushauri kitu. Ndugu kunywa maji mengi sana walau lita 3 kwa siku. Narudia kunywa maji. Utakuja kunishukuru sana
 
Back
Top Bottom