Hofu imenitanda, Nimeona mtu anachinjwa shingo

Mwezi uliopita niliona muwindaji amemkamata mwewe akamkata na mkasi kachaa!!! mara moja miguu yake miwili, chakushangaza mwewe aliishiwa ujanja kabisa ila kucha na vidole vyake vikawa vinanikamata mikononi mwangu vilikuwa vinaendelea kufanya kazi licha ya kuwa vimetenganishwa na miguu ya yule mwewe... Wiki kadhaa baadae nasikia JF imefungiwa... nikaamua kulazimisha haya matukio mawili yahusiane kama hivi.

Wiki hii nimeona;
Mwanaume mmoja wamakamo na ni mwembamba hivi sikutaka kushuhudia tukio niligeukia pembeni ila nilisikia akisema mama weee! Pindi kisu kikali kinavyotenganisha mishipa na misuli ya shingo yake... Wakati yule mtu akiendelea kuhangaika nikashtuka kutoka usingizini...

Ikikupendeza eee Mungu kikombe hicho kimuepuke... ameni.
mkuu amka usije ukajinyea kitandani!
 
Huyo mtu nilimuona kama alikua tayari kwa lolote litakalompata, yaani alikua anaonyesha ushilikiano kama mgonjwa aliesaini kukatisha uhai wake Kutokana na maradhi yanayomsibu..
=+=+=+=+=+=+=+=+=+=+=+=+=+=

Kwa uzoefu wangu nimeona mambo mengi na yakatokea... Na baadhi ya huwa zinafutwa sababu hazi-make sense kwa upeo wa kawaida. Na nyuzi zingine zipo humu jukwaani.

Sasa mimi nitoe rai yangu kwa watu wote wanaohisi wako rehani kwa namna moja au nyingine...

Mfano: Wale wanaharakati wanaonaikalia kooni serikali wawe makini,

Pia watu wanaomiliki page channels, websites like JF, zinazojihusisha na kuikalia kooni serikali basi wawe chonjo kama kuna onyo walipewa direct basi watii kama anaupenda ugali ila kama wanaupenda uzarendo basi lolote linaweza kutokea.

Kuna watu ni highly trained hawana hisia za kibinadamu(Rational being, they do not reason logically, hata ujieleze kwa ustadi na hisia vipi watakumaliza tu) Ni watu wabaya jitahidi usiingie kwenye 18 zao kwa namna yoyote ile "kama unaiba iba ila usikamatwe"
 
Hii taarifa kumkata shingo L1ssu au Pol3pole?
Mbona hao wako tayari kwa lolote?
Nyie endeleeni tu kufanya yenu lakini mkumbuke maisha ni mzunguko. Kucheka kwa zamu.
Ikifika zamu yenu msilielie na kutafuta huruma.
Hakuna marefu yasiyo na ncha.
 
Pia watu wanaomiliki page channels, websites like JF, zinazojihusisha na kuikalia kooni serikali basi wawe chonjo kama kuna onyo walipewa direct basi watii kama anaupenda ugali ila kama wanaupenda uzarendo basi lolote linaweza kutokea.
Ndugu yetu Maxence Melo naona mdau anakutisha huku.
Mungu akulinde na akupe ujasiri maana kosa lako sijaliona sababu JF Ni user generated content social media.
 
Hii taarifa kumkata shingo Lissu au Polepole?
Mbona hao wako tayari kwa lolote?
Nyie endeleeni tu kufanya yenu lakini mkumbuke maisha ni mzunguko. Kucheka kwa zamu.
Ikifika zamu yenu msilielie na kutafuta huruma.
Hakuna marefu yasiyo na ncha.
Mimi mwenyewe hofu imenitanda na natumaini halitatokea.

Sina uhakika na hili na sijui nani wapi lini na kwanini nilichoona ni kivipi tukio litakua, tukio la yule Kibao ndio lilifanya nijui kumbe haya mambo ni siriazi yanagalimu uhai wa mtu, Kwahiyo hii ni moja ya initiative niliyoamua kuchukua angalau watu wenyekufikiwa na ujumbe wawe alerted na kuchukua hatua kama ulinzi ama kusari na maombi, nak.
 
Mwezi uliopita niliona muwindaji amemkamata mwewe akamkata na mkasi kachaa!!! mara moja miguu yake miwili, chakushangaza mwewe aliishiwa ujanja kabisa ila kucha na vidole vyake vikawa vinanikamata mikononi mwangu vilikuwa vinaendelea kufanya kazi licha ya kuwa vimetenganishwa na miguu ya yule mwewe... Wiki kadhaa baadae nasikia JF imefungiwa... nikaamua kulazimisha haya matukio mawili yahusiane kama hivi.

Wiki hii nimeona;
Mwanaume mmoja wamakamo na ni mwembamba hivi sikutaka kushuhudia tukio niligeukia pembeni ila nilisikia akisema mama weee! Pindi kisu kikali kinavyotenganisha mishipa na misuli ya shingo yake... Wakati yule mtu akiendelea kuhangaika nikashtuka kutoka usingizini...

Ikikupendeza eee Mungu kikombe hicho kimuepuke... ameni.

View: https://youtu.be/J4uvZzmAL6w?si=cOxl9o_FXisLjk8n

Nimekutana na Habari hii ya watu watano kuuawa kwa kuchinjwa, ni tukio linalohusisha migogoro ya wakulima na wafugaji.

tukio hili linaendana na maono haya kwa kigezo kimoja, ambacho ni; kipindi naona mtu anachinjwa ni tulikua mazingira ya zizi la ng'ombe na ng'ombe mmoja alikua amelala chini, katika eneo hilo tulikuwa watu watano wawili wachinjaji mmoja aliyekua anachinjwa alafu wawili tulikua pembeni tumewapa mgogo wachinjaji ni kama tulikua tunasubili zamu yetu kuchinjwa maana tulijawa na hofu huku tukiwa tumekata tamaa, liwalo na liwe nikiwa pale sikutaka kushuhudia mwezangu akichinjwa na kutapatapa, hivyo niligeukia pembeni... Nil kumbe baada ya yule wenzetu kuchinjwa na sisi tulifuatia kuchinjwa , na kuna wengine sehemu nyingine walishambuliwa jumla usiku ule walichijwa watano. Ni Habari mbaya na ya huzuni tumewapoteza ndugu zetu katika mgogoro huo
 
Hee kazi kweli kweli natumaini huu ufunuo uwe umeishia kwa watu hao hao waliokwishwa kuchinjwa basi na umekoma/hitimishwa.

Hivyo huyu dugu yetu kwa mujibu wa tetesi zilizopo, yupo na atakuwa salama AMINA.
 
Back
Top Bottom