Hofu imetanda, Marekani imedeploy ndege wanajeshi Miami Beach

Hofu imetanda, Marekani imedeploy ndege wanajeshi Miami Beach

Yaani ulitaka wavamie nuclear powered submarine? Mzee Biden hapiganishi vita. Ma four star generals ndo hupiganisha vita baada ya impact assessment. Sasa hivi all US generals Wana downplay au wanapuuza hilo tukio kuwa act of war! While in real sense wanajadili how to go easy about it. Unajua kwanini? Hawakujiandaa na hawajiandaa kuingia vitani na Russia. Halafu kumbuka Russia na USA ni karibu mno, wanakutania Alaska hawapitii katikati ya ramani ya Dunia kama unavyooiona ktk picha.
Usikute hajui kuwa Russia na US ni ajirani
 
Hiyo Nyambizi na Manowari hazina Silaha za Kinuklia.
soma uelewe hatari na upekee wa hii manowari na kwanini eu na nato wanaiogopa
 
Attachments

  • Screenshot_20240614-030440_Chrome.jpg
    Screenshot_20240614-030440_Chrome.jpg
    360.6 KB · Views: 4
Yaani ulitaka wavamie nuclear powered submarine? Mzee Biden hapiganishi vita. Ma four star generals ndo hupiganisha vita baada ya impact assessment. Sasa hivi all US generals Wana downplay au wanapuuza hilo tukio kuwa act of war! While in real sense wanajadili how to go easy about it. Unajua kwanini? Hawakujiandaa na hawajiandaa kuingia vitani na Russia. Halafu kumbuka Russia na USA ni karibu mno, wanakutania Alaska hawapitii katikati ya ramani ya Dunia kama unavyooiona ktk picha.
nimesoma mahali wanasema Russia ana nyambizi pacific na zingine antlatic, that means yuko pande zote za US.........

majenerali wa US wanasema ndani ya miaka 2-5 ijayo Russia atakua na uwezo wa kudeploy nyambizi zaidi ya 5 kila upande (i.e pacific & antlatic) na hii wanasema itasumbua sana kiulinzi
 
Wenzetu wanaishi, kila siku mbongo zao zinawaza new high advance technology, sisi tumebaki majungu
 
Baada ya Urusi kupeleka Nyambizi na Meli za Kivita Marekani wameingiwa na uwoga na kuamua kupeleka ndege za Kivita Miami na zinashinda hewani ziki zunguka kwa hofu 🤣🤣🤣🤣🤣

#BREAKING -🚨⚡🇺🇸 The deployment of US navy in Miami due to Russian Warships, 6/12

View attachment 3016660
Ndege zinazunguka kwa hofu😂😂.
Ni vile tu Russia hawajieni, ilitakiwa iwe inawalipieni japo bundle? Maana hata Warusi wenyewe hauwezi kuwakuta wakitoa michango kama hii
 
Baada ya Urusi kupeleka Nyambizi na Meli za Kivita Marekani wameingiwa na uwoga na kuamua kupeleka ndege za Kivita Miami na zinashinda hewani ziki zunguka kwa hofu 🤣🤣🤣🤣🤣

#BREAKING -🚨⚡🇺🇸 The deployment of US navy in Miami due to Russian Warships, 6/12

View attachment 3016660
Hizo ndege hazina uhusiano wowote na unachojaribu kukihisisha nacho.
Alichofanya US ni kuisogeza hapo Guantanamo bay USS Helena ambayo ni ni nuclear powered fast attack submarine. Ipo hapo Guantanamo, just 900+ Km from Havana na ni straight line.
Hili swala la Russia kupeleka hizo nyambizi zake naona mmelikomalia sana kwa kuwa ni mara yenu ya kwanza kulisikia.
Kajifunzeni kuhusu ‘The flotilla’ , makubaliano ya kirafiki ya Majeshi ya Majini ya nchi mbili ambapo kila baada ya muda fulani hutembeleana na kufanya mazoezi ya pamoja. Hii siyo mara ya kwanza, imeshakuwa hivyo mara kadhaa huko nyuma.
 
Kwa wale waliokua wanaiona Urusi kama Haina akili utu na ustaarabu kuizuia NATO isiisogelee karibu Sasa nadhani watakua wamepata majibu sahihi kabisa kua NATO kuja karibu na Urusi ni hatari na shari.
Sasa hebu fikiria Urusi Haina ugomvi na USA je ni Nini kikepelekea USA kupeleka silaha karibu na Cuba mara baada TU ya Urusi kupeleka melivita nchini Cuba kwa ajili ya kufanya mazoezi?
Je mbona USA hufanya mazoezi na nchi nyingine sehemu nyingine hapa duniani lakini hatujaona Urusi akipelela majeshi namna hiyo?
Kwa Hali hiyo ndio wale waliokua wanailaumu Urusi kwa kuizuia Ukraine isijiunge na NATO Kwa sababu Ukraine kua mwanachama wa NATO kunapelekea USA kuikaribia Urusi kama vile Urusi ilivyoikaribia USA kupitia kwa Cuba.
Kama USA anaona si sahihi kwa Cuba kama taifa huru kukaribisha marafiki zake ambao ni maadui wa USA basi vivyo hivyo kwa Urusi ndivyo anavyoona sio sahihi kwa Ukraine kuwakaribisha maadui zake NATO
Kwa hofu aliyoipata USA basi Urusi anayo haki ya kuipiga Ukraine.
Wenye akili watakua wamenielewa.
 
Back
Top Bottom