Hofu imetanda, Marekani imedeploy ndege wanajeshi Miami Beach

Achana na ngonjera za kupitia sijui Alaska, hakuna kitu kama hiko, lazima wapite katikati.
 
Neno uoga umelitumia vibaya.Ungetueleza kwamba wameongeza umakini na kuwa suspicious na kila jambo.
 
Mbona sasa Marekani wamepeleka kila silaha sehemu hiyo?aisee wewe huna akili kabisa Marekani wenyewe waneona hatari wakaamsha jeshi lao
Hakuna hatari yoyote hizo ni porojo za jihadists tu wakishagonga vichwa chini. There is no winner in nuclear war.
 
Kwa hiyo Marekani ameivamia Cuba.
 
Kwamba Us anaenda kuivamia Cuba sasa kama Russia ilivovamia Ukraine?
Kuwa jirani na Russia ni Kazi kubwa sana, hawezi kuishi vizuri na majirani zake.
 
Mbona ni utaratibu wa kawaida tu Russia kwenda Cuba na kuondoka? Kwa kuwa mnalisikia kwa mara ya kwanza ndiyo mmeamua kulitungia story.
Russia wameenda pale na watakuwepo hadi Jumatatu ndiyo wataondoka lakini ninyi mnaenda mbali zaidi na kusema eti anaenda kujenga kambi kabisa. Hata angejenga kambi pia isingekuwa jambo geni sababu USSR ilikuwepo Cuba miaka mingi tu na hakuna ilichofanya.
Kingine, Russia amepeleka hizo meli zake pale, masaa machache baadaye Canada naye amepeleka HMCS Margaret Brooke.
Watu mnashangilia tu kichwakichwa, Russia na Canada wote wamealikwa kuhudhuria maazimisho ya mapinduzi ya Kijesho ya Cuba.
Halafu US ukumbuke siku zote yupo pale Guantanamo, hiyo nuclear powered submarine aliyoisogeza ni baada ya kuona aina ya manowalibambayobRussia ameenda nayo, kwani kuna shida? Kingine fuatilia vizuri, Russia wamelalamikabkuwa kabla hawajaenda walituma signal kwa US lakini US haiku respond
 
Daah
 
Mkuu asiekuelewa hapa basi tena na hii ndio sababu ya kwanini ukraine lazima atandikwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…