Hofu inayotawala Mataifa ya Ulaya Dhidi ya Waafrika na Bara lao

Wambie hawa watoto wanashindwa akili hata na Pole pole tu.
 
Halaf kitu kitawamaliza wazungu wengi ni ushoga, wanaume wengi hawawezi kudindisha, wengi ni mapunga. Sasa wamejaribu kupenyeza ushoga Africa wameshindwa. Na bado tunatumia miti shamba kuongeza nguvu za kiume. Hivyo ipo siku wazungu wa kike watakuja kufata marijali huku Africa. Na wamekwisha anza..
 
Huu ni utopolo kama utopolo mwingine.
Hivi Wazungu wakituacha tubaki na nguo zetu, vyombo vyetu na kila kitu chetu na wao wabaki na vitu vyao nani ataumia?
Wazungu wanaleta kitu ambacho wao pia wanakifanya.
Uzazi wa mpango ni sera ambayo hata wao wanaiishi.
 
Ongezeko letu sio pendezo kwa mataifa mengine.

Chunga uhai wako tuwe wadadisi kwa vitu tunavyoletewa. Pia waafrika wenzangu tuwatunze watoto tunaowazaa kwa kuwalea vyema kwa kufanya kazi kuwalisha ili waweze kuwa imara wenye afya.
Maandishi yana uhalisia sana kiasi fulani. Kiukweli hawa jamaa hawatupendi huo ndo ukweli.
 
Sasa mbona bado wanawapa Visa kama hiyo ndo sababu?
Labda kama wanatuogopa kwasababu tunawapelekea mzigo badala ya ahueni.
Unapewa visa ya kwenda kuishi au kwenda na kurudi?

Mwafrika ni mwafrika tu. Ngoja niondoke humu. Jf kuna viazi wengi sana.
 
Unapewa visa ya kwenda kuishi au kwenda na kurudi?

Mwafrika ni mwafrika tu. Ngoja niondoke humu. Jf kuna viazi wengi sana.
Hata kwenda kuishi wanatoa. Na program ya wamarekani kutoa visa si umesikia imefunguliwa rasmi kwa maombi? Watachukua waafrika kadhaa kama kawaida kwenye hiyo idadi ya watu 50000
 
Mtu ambaye mpaka dawa za kufubaza HIV anasaidiwa, mtu ambaye hata midoli hawezi kuunda.
Leo hii kawa tishio?
Sure
Hilo sasa ndo tishio lenyewe hamna tunachowaza zaidi kuzaa. Ni sawa kwenye familia mtoto ambaye hataki kujishighulisha na chochote ndani ya familia huwa anaonekana anawanyonya wenzake na kuonekana ni janga ndani ya familia. Alafu anakimbilia kuvaa nguo ambazo wenzake wametafuta au kula chakula ambacho wengine wametafuta na sisi ndo tunaonekana ivyo.
 
Hata kwenda kuishi wanatoa. Na program ya wamarekani kutoa visa si umesikia imefunguliwa rasmi kwa maombi? Watachukua waafrika kadhaa kama kawaida kwenye hiyo idadi ya watu 50000
Ni bure iyo program?
 
Hii ndio ilipaswa kuwa content.
Sio ule utopolo wa mleta mada
 
Ni bure iyo program?
Si ile bahati nasibu mkuu sisi tunaiita green card rotary japo ina jina maalum. Yes ni bure kabisa kuapply, na ukichaguliwa unapewa visa ya kwenda kuishi na kufanya kazi USA pia na watoto chini ya miaka 21, mke au mume wako
 
Umemrarua huyu mataga vibaya sana. Sijui dume zima linaona fahari gani kujifanya mwanadada
Jibu hoja wewe. Jinsia yangu inakusaidia nini? Ni kujiamini tu nachokisema usiogope.
 
Tulikuwa naye. Usimsahau Hayati Magufuli. Tulikuwa tunaelekea huko. Basi tu Mungu katuonjesha utawala unaothamini binadam wenzake. Mungu ambariki Magufuli huko aliko. Aturehemu tupate viongozi wenye vision kama yeye.
 
Jichunge sana. Kama uliwahi sikia kuna mikanda ya suruali ililetwa ina sumaku kipindi flani na badae ikakatazwa. Sema hapa ni kwanini ilikatazwa?
Sema wewe kwanini ilikatwaza.... Au unataka kusema kwamba sumaku inaathiri uwezo wa kufanya reproduction?

Unashangaa sumaku wakati hapa tulipo wote tunavutwa na sumaku, unafahamu chochote kuhusu gravitational force?
Hii mada ilianza vizuri mwisho wake imeangukia kwenye conspiracy theory..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…