Hofu inayotawala Mataifa ya Ulaya Dhidi ya Waafrika na Bara lao

Tulikuwa naye. Usimsahau Hayati Magufuli. Tulikuwa tunaelekea huko. Basi tu Mungu katuonjesha utawala unaothamini binadam wenzake. Mungu ambariki Magufuli huko aliko. Aturehemu tupate viongozi wenye vision kama yeye.
Amina! Sasa hivi tunaona tofauti ya utawala bora na bora utawala.
 
Tulikuwa naye. Usimsahau Hayati Magufuli. Tulikuwa tunaelekea huko. Basi tu Mungu katuonjesha utawala unaothamini binadam wenzake. Mungu ambariki Magufuli huko aliko. Aturehemu tupate viongozi wenye vision kama yeye.
Huyu aliyewajengea viongozi wastaafu majumba ya mabilioni wakati kuna sehemu kuna uhitaji wa pesa hiyo zaidi.
Mimi sijaona kiongozi ambaye ana moyo wa dhati kabisa wa kuendeleza taifa na ambaye ni mzalendo kweli.
Uzalendo unaambatana na kubana matumizi kujiepusha na matumizi ya ovyo, lakini nilishuhudia misafara ya magari mengi sana enzi hizo mpaka ya wakuu wa wilaya. Nchi hizi maskini tunachoma sana pesa kwa mambo yasiyo ya msingi kabisa.
Pia ili nchi iendelee inabidi serikali ikubali ukweli siyo idanganye na kupika takwimu kama zile za ndani ya miaka kadhaa vimejengwa viwanda 3000 kumbe wanahesabu mpaka cherehani kwa fundi Ally. Hivi uongo kama huu kama siyo milleage ya kisiasa utasema kweli watu wana nia ya dhati ya kutupeleka juu au lengo ni kuzidi kubaki madarakani.
Uzalendo watu wanaongea tu jukwaani yani wanaongea maisha ambayo wao hawayaishi.
 
Makala yako ni parochial , narrow minded.
Africa population 1.34 bil
China peke yske1.43 bil
India 1.38 bil
Kwanini threat iwe Africa tu wakati Asia peke yake ina 4.6 bil.
Kumbuka hapo kuna mmoja bado yupo gizani. Na wenzie wameisha toka kwenye giza ila wanaitaji huyo aliyepo gizani abaki huko huko ili wao waendelee kunufaika na resources zake.
Labda angesema Issue sio population, issue ni kuogopa waafrika kufumbuka macho, issue ni kuogopa wao kupoteza original race yao(black kwenda kuzaa na race zao) nk
 
tunasema Africa ndio soko lao, inakuache tena wa control population badala ya ku encourage tuzidi kuzaliana? inaonekana hujui sababu za wao ku control population in Africa.
 
tunasema Africa ndio soko lao, inakuache tena wa control population badala ya ku encourage tuzidi kuzaliana? inaonekana hujui sababu za wao ku control population in Africa.
We unavyoona wana encourage population? Fanya tafiti wanawake wangapi wameathirika na vidhibiti mimba.
 
Makala yako ni parochial , narrow minded.
Africa population 1.34 bil
China peke yske1.43 bil
India 1.38 bil
Kwanini threat iwe Africa tu wakati Asia peke yake ina 4.6 bil.
Kasi ya china na Africa kwenye kuzaliana kwa sasa inalingana?
 
soma na kutoa mifano haindani na maudhui
Asipofanya hivyo, utajuaje anaijua, parochial? Ndiyo maana CIA inafanya reshuffle na restructuring kwa sababu siku hizi imekuwa rahisi ku debug " assets" wao. Waliboronga mahali. Mifano ni kama hii.
 
Nyie msioweza kujenga matundu ya vyoo kwa watoto wenu wa shule ndio muwe tishio kwa watu wanaochunguza maisha sayari nyingine huko? Huu ulevi wa kahawa umewazidia naona
Ni dhana tulijengewa na Wazungu kuwa hatuwezi kitu. Ila amini hata hapa Tanzania kuna Familia zakawaida kabisa tu zinamiasha mazuri sana kupita hata familia za kizungu. Pia kuna waafrika wana akili kuliko unavyodhani. Malkia wa uingereza alifanyiwa operation na Kamuzu Banda mwafrika hapo jirani yetu. Ni ushamba sana na kujiaibisha kujiona we mwafrika ni takataka.


Ukiona mahali unapingwa sana au haukabaliki bila sababu jua kuna kitu unawazidi. Ni juhudi zako kujua wanateseka na nini juu yako.
 
Onyesheni kwa vitendo kuwa mnaweza sio blabla za maneno.
 
Uliyopost ni kweli kabisa Misss Chuga
Lakini pia njia nyingine wanazotumia ni chanjo.
Bill gate - jambazi kuu - aliwahi kusema kuwa "Tukifanya vema katika chanjo, tutaweza kupunguza population ....

Conclusion yako ni poa sana, kwamba:
//Na waasa sana Waafrika tujichunge sana maana Ongezeko letu sio pendezo kwa mataifa mengine. Chunga uhai wako tuwe wadadisi kwa vitu tunavyoletewa. Pia waafrika wenzangu tuwatunze watoto tunaowazaa kwa kuwalea vyema kwa kufanya kazi kuwalisha ili waweze kuwa imara wenye afya.//

Tatizo ni kuwa viongozi wengi wa Africa wako tayari kunyenyekea wazungu kwa sababu ya vijisenti, kiasi kwamba wako tayari kutoa sadaka waafrika wenzao. Mungu anawaona.
 
Ni kweli waafrika tuna ubinafsi sana, na akishapata uongozi ndo basi anajiona Mungu mtu.
 
Kwani mtu kukuletea uzazi wa mpango anakuwa hana nia njema na wewe? Sijajua we ni jinsia gani ila kama ushawahi kuona madhira yanayowakumba wazazi waliacha kutumia uzazi wa mpango basi utakubali kuwa kila kwenye ubaya kuna chembe chembe za wema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…