Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu sio mtu wa kukubali kirahisi anaweza alete taharuki baada ya uchaguzi
Nimekuuliza ni kwanini ?!. Hata Mutharika alijua wa Malawi hawawezi kumtosa . Mambo ya kura usijiamini kupita kiasiSiitwi Gentamicin bali naitwa GENTAMYCINE tafadhali. Ni Mpumbavu ( Popoma ) tu pekee ndiyo ataamini kuwa Rais JPM na CCM yake hatoshinda!!
Nimekuuliza ni kwanini ?!. Hata Mutharika alijua wa Malawi hawawezi kumtosa . Mambo ya kura usijiamini kupita kiasi
Huyo Lisu anatakiwa mahakamani kwa kuruka dhamana. Nampa pole kwani anaweza kufanyia kampeni zake gerezani
Hamjitambui Kama asiyejitambua huyo TL wenu!Wana ccm wanapiga propaganda ili ionekane Lisu atakatwa jina lake, lakini niwadhihirishie hizo zitabaki kuwa propaganda na kama Lisu akipitishwa na chama hawana uwezo wakukata jina lake huko tume ccm, ccm nawatahadharisha Lisu sio kondoo kamaa mzee Lowasa anajua namna yakudai haki yake
Uongozi wa Magufuli mnasema umenunua ndenge,umejenga fly over,umejenga viwanja vya ndege chato, umewasamehe wakina Lugola ubadhirifu wa tril 1, umejenga meli, umejenga barabara, umekwapua tril 1.5 , umefanya maendeleo kedekede, tunachohitaji nendeni mkawaeleze wananchi mliyoyafanya wawape tena 5 nyingine. Lakini kutegemea Lisu asigombee tume ccm haiwezi wasaidia.
Sisi tunaenda na Lisu tuu,na CDM tunamuhitaji Lisu heri tushindwe tupigwe mabom tukiwa na Lisu, kama mnahitaji chama kife msimpitishe Lisu kuwa mgombea wenu
Nawatahadharisha tu ccm Lisu sio kondoo kama mzee Lowasa anajua kuidai haki.
Lisu anataka michango ya kampeni ale Wala Sio mgombea serious ndio maana alipotangaza Nia time akatoa namba za simu watu wamchangie akitaraji akipata wachangiaji milioni moja wakatoa elfu Mona moja atakuwa tayari kapata bilioni moja!! Chadema wakamdhibiti chap chap kuwa mambo ya uchaguzi chama ndio kinatakiwa kichangiwe Sio yeye kuchangisha lakini bado anataka akiteuliwa anajua hakuna wa kumdhibiti kuchangisha akichangisha kibinafsi hakuna wa kumzuia Tena
Anachofanya Ni kupigana kufa na kupona achangiwe ale pesa
Marekani aliwaomba watanzania wa kule wawe wanamchangia hela ya nguo,Kodi , chakula na Ada za watoto wake
Binafsi myu aliyejitoa kwa Hali na Mali kugombea aliye serious Ni Nyalandu tu
Lisu anatafuta opportunity ya pesa tu za michango
Anaweza kuteuliwa akiwa huko huko gerezani!!Hicho ndio tunachokitaka
Lissu akiteuliwa itakuwa ni mtego wa kisiasa na kiuchumi kwa serikali hii ya Magufuli.Walisema harudi, amerudi sasa wasi wasi wa nini? Mengine tuachie sheria zichukue mkondo wake na tushuhudie mpambano wa sera.
Lissu sio mbuzi. Wajiangakie vizuri hao jamaa Amsterdam atawalima barua nyingine watanywea kama ilivyokuwa juzi tar 28 julyWana ccm wanapiga propaganda ili ionekane Lisu atakatwa jina lake, lakini niwadhihirishie hizo zitabaki kuwa propaganda na kama Lisu akipitishwa na chama hawana uwezo wakukata jina lake huko tume ccm, ccm nawatahadharisha Lisu sio kondoo kamaa mzee Lowasa anajua namna yakudai haki yake
Uongozi wa Magufuli mnasema umenunua ndenge,umejenga fly over,umejenga viwanja vya ndege chato, umewasamehe wakina Lugola ubadhirifu wa tril 1, umejenga meli, umejenga barabara, umekwapua tril 1.5 , umefanya maendeleo kedekede, tunachohitaji nendeni mkawaeleze wananchi mliyoyafanya wawape tena 5 nyingine. Lakini kutegemea Lisu asigombee tume ccm haiwezi wasaidia.
Sisi tunaenda na Lisu tuu,na CDM tunamuhitaji Lisu heri tushindwe tupigwe mabom tukiwa na Lisu, kama mnahitaji chama kife msimpitishe Lisu kuwa mgombea wenu
Nawatahadharisha tu ccm Lisu sio kondoo kama mzee Lowasa anajua kuidai haki.
Tuko tayari kushirikiana na Mabeberu wa Kizungu kuliko hawa imbeciles za kiafrika.Lissu akiteuliwa itakuwa ni mtego wa kisiasa na kiuchumi kwa serikali hii ya Magufuli.
Akijaguswa na mamlaka akaondolewa na NEC
mambo mawili yanaweza yakatokea:
1.Wapo wananchi watakaopiga kura za chuki,kuwanyima CCM kura za udiwani, ubunge,hata uraisi.
2.Lakini kuna mikono ya wababe wa dunia watakaoshindikizwa na wanaharakati wa haki za binadamu, hilo ndio baya zaidi wakishakuwekea vikwazo vya aina aina.
Ni upopoma wa hali yajuu kuamini kuwa chini ya tume huru hata kwa asilimia 30 tu kwamba Jpm anawesa kishinda.Siitwi Gentamicin bali naitwa GENTAMYCINE tafadhali. Ni Mpumbavu ( Popoma ) tu pekee ndiyo ataamini kuwa Rais JPM na CCM yake hatoshinda!!
Siitwi Gentamicin bali naitwa GENTAMYCINE tafadhali. Ni Mpumbavu ( Popoma ) tu pekee ndiyo ataamini kuwa Rais JPM na CCM yake hatoshinda!!
Halafu bila kujua wanayemhujum ana akili kubwa kuliko wao.CCM ndiyo wamempa umarufu Tundu lisu pasipo kujua kutokana na kuendelea na mbinu zao za kumhujumu kila kukicha
Genta we ndio popoma zaidi humu ndani yaani wewe kwa upopoma wako unadhani unaweza kuwashinda watu kwa hoja kwa mitusi yako. Imbecile!Ni wapi CCM ' imemuhujumu ' Tundu A Lissu Mkuu? Je, unao ' Ushahidi ' wa Kutosha usio na Shaka juu ya haya ' Madai ' yako ya ' Kipopoma ' hivi?
Genta we ndio popoma zaidi humu ndani yaani wewe kwa upopoma wako unadhani unaweza kuwashinda watu kwa hoja kwa mitusi yako. Imbecile!
Kwahiyo Lisu na na machadema wengine wite nyie ni mapopoma?Ni upopoma wa hali yajuu kuamini kuwa chini ya tume huru hata kwa asilimia 30 tu kwamba Jpm anawesa kishinda.
Nyalandu ni chaguo la CCM wanajua ni dhaifu mno hawapi pressure kwenye kampeni watapeta kiwepesiLisu anataka michango ya kampeni ale Wala Sio mgombea serious ndio maana alipotangaza Nia time akatoa namba za simu watu wamchangie akitaraji akipata wachangiaji milioni moja wakatoa elfu Mona moja atakuwa tayari kapata bilioni moja!! Chadema wakamdhibiti chap chap kuwa mambo ya uchaguzi chama ndio kinatakiwa kichangiwe Sio yeye kuchangisha lakini bado anataka akiteuliwa anajua hakuna wa kumdhibiti kuchangisha akichangisha kibinafsi hakuna wa kumzuia Tena
Anachofanya Ni kupigana kufa na kupona achangiwe ale pesa
Marekani aliwaomba watanzania wa kule wawe wanamchangia hela ya nguo,Kodi , chakula na Ada za watoto wake
Binafsi myu aliyejitoa kwa Hali na Mali kugombea aliye serious Ni Nyalandu tu
Lisu anatafuta opportunity ya pesa tu za michango
Usijipe umuhimu usiokuwa nao.Najua kwakuwa unajua ID yako siyo ' Brand ' hivyo unataka ijulikane sasa ' Unanichokoza ' ili ' tujibizane ' ili niipaishe kama zingine nawe ujulikane.