Uchaguzi 2020 Hofu kubwa kwa wana CCM juu ya Lissu, wanafahamu wazi kabisa Lissu sio kondoo kama Lowassa

Lissu hana madhara alipokuwa mzima sembuse asa ivi tia maji tia maji.. tatizo ya Chadomo ni madomo kaya na kupenda kujifariji ila ni nzuri kwa afya jealous down.
 
Nimekuuliza ni kwanini ?!. Hata Mutharika alijua wa Malawi hawawezi kumtosa . Mambo ya kura usijiamini kupita kiasi

Utanipandisha Hasira zangu nikujibu vibaya unichukie sawa? Nimekuambia Rais Magufuli na CCM yake atashinda kwa Kishindo hutaki Kafie mbele!!
 
Hamjitambui Kama asiyejitambua huyo TL wenu!
 

Nakubaliana nawe ila Kwangu Mimi kwa Nyalandu huyu huyu aliyekuwa huku CCM Kwetu ukiniwekea na Lissu namchagua mapema tu Tundu Lissu.
 
Walisema harudi, amerudi sasa wasi wasi wa nini? Mengine tuachie sheria zichukue mkondo wake na tushuhudie mpambano wa sera.
Lissu akiteuliwa itakuwa ni mtego wa kisiasa na kiuchumi kwa serikali hii ya Magufuli.
Akijaguswa na mamlaka akaondolewa na NEC
mambo mawili yanaweza yakatokea:
1.Wapo wananchi watakaopiga kura za chuki,kuwanyima CCM kura za udiwani, ubunge,hata uraisi.

2.Lakini kuna mikono ya wababe wa dunia watakaoshindikizwa na wanaharakati wa haki za binadamu, hilo ndio baya zaidi wakishakuwekea vikwazo vya aina aina.
 
Lissu sio mbuzi. Wajiangakie vizuri hao jamaa Amsterdam atawalima barua nyingine watanywea kama ilivyokuwa juzi tar 28 july
 
Tuko tayari kushirikiana na Mabeberu wa Kizungu kuliko hawa imbeciles za kiafrika.
 
Siitwi Gentamicin bali naitwa GENTAMYCINE tafadhali. Ni Mpumbavu ( Popoma ) tu pekee ndiyo ataamini kuwa Rais JPM na CCM yake hatoshinda!!
Ni upopoma wa hali yajuu kuamini kuwa chini ya tume huru hata kwa asilimia 30 tu kwamba Jpm anawesa kishinda.
 
Siitwi Gentamicin bali naitwa GENTAMYCINE tafadhali. Ni Mpumbavu ( Popoma ) tu pekee ndiyo ataamini kuwa Rais JPM na CCM yake hatoshinda!!

Kauli ya Malofa na wapumbavu bado unayo?

JPM ni nani, yani ujinga wako ndio unamfanya kujiona yeye ndio bora?

Kama yeye aliweza kumpiga risasi 16 na pia kumponya basi hawezi kushindwa. Watu wasomi hawana kauli hizi?
 
Ni wapi CCM ' imemuhujumu ' Tundu A Lissu Mkuu? Je, unao ' Ushahidi ' wa Kutosha usio na Shaka juu ya haya ' Madai ' yako ya ' Kipopoma ' hivi?
Genta we ndio popoma zaidi humu ndani yaani wewe kwa upopoma wako unadhani unaweza kuwashinda watu kwa hoja kwa mitusi yako. Imbecile!
 
Genta we ndio popoma zaidi humu ndani yaani wewe kwa upopoma wako unadhani unaweza kuwashinda watu kwa hoja kwa mitusi yako. Imbecile!

Najua kwakuwa unajua ID yako siyo ' Brand ' hivyo unataka ijulikane sasa ' Unanichokoza ' ili ' tujibizane ' ili niipaishe kama zingine nawe ujulikane.
 
Ni upopoma wa hali yajuu kuamini kuwa chini ya tume huru hata kwa asilimia 30 tu kwamba Jpm anawesa kishinda.
Kwahiyo Lisu na na machadema wengine wite nyie ni mapopoma?
 
Nyalandu ni chaguo la CCM wanajua ni dhaifu mno hawapi pressure kwenye kampeni watapeta kiwepesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…