Uchaguzi 2020 Hofu kubwa kwa wana CCM juu ya Lissu, wanafahamu wazi kabisa Lissu sio kondoo kama Lowassa

Nina uhakika leo kwa jinsi unavyoendelea ' Kujibizana ' hivi nami basi hata ID yako nayo ' itapaa ' na ' Members ' wataijua na nitakuinua vyema pia.
Hahaha Gentamycine bwana! Umeshamaliza msiba wa baba yako huko masasi?
 
Lissu atasaidia tu kumpa ' Changamoto ' za ' Kimjadala ' Rais JPM na CCM yake, ila kwa Suala zima la Yeye kuwa Rais nchini Tanzania hilo lisahau.

Hiyo changamoto atakayompa JPM inaonekana pia ccm hawataki kuiona...
 
Hahaha Gentamycine bwana! Umeshamaliza msiba wa baba yako huko masasi?

Kwani na Wewe ' Kikatiba ' Hayati huyo wa Lupaso Masasi Mkoani Mtwara hakuwa Baba yako pia? Acha ' Ubwege ' na ' Upimbi ' tafadhali sawa?
 
kuna interview moja amefanya na mwanchi digital, amewavua nguo ccm namsubiri kwa hamu sana kwenye kampeni azidi kuwaonyesha walivyo weupe.
 
Lissu atasaidia tu kumpa ' Changamoto ' za ' Kimjadala ' Rais JPM na CCM yake, ila kwa Suala zima la Yeye kuwa Rais nchini Tanzania hilo lisahau.
Wewe kama nani? Una kura moja kama MTU mwingine yeyote, hivyo tuache uchaguzi uwe huru na haki kisha tuone maamuzi ya RAIA.
Tuone wanataka nini? SGR au huduma bora za maji? Mandege au ajira kwa vijana?
 
Kwanini unawazungumzia CCM. Umeingia mioyoni mwao. Mpiga Kelele ndo mwenye hofu.
 
Wewe kama nani? Una kura moja kama MTU mwingine yeyote, hivyo tuache uchaguzi uwe huru na haki kisha tuone maamuzi ya RAIA.
Tuone wanataka nini? SGR au huduma bora za maji? Mandege au ajira kwa vijana?

Mimi kama GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE a.k.a ' Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ' au Wewe ulikuwa haulijui?
 
Keep record straight, lowasa hakuwa kondoo, Lowasa alikuja kuuvuruga upinzani tu
 
Hakikisheni tu bao la mkono halifungwi, CHADEMA inashinda kupitia kamanda Lissu October mapema asubuhi.
Huyo Lisu anatakiwa mahakamani kwa kuruka dhamana. Nampa pole kwani anaweza kufanyia kampeni zake gerezani
Usiofu hata Mandela alitokea huko huko gerezani
Hicho ndio tunachokitaka
Huu ujinga wa kuwakomoa watu kifala fala kwa kesi za kubambikiwa kwenye mahakamaccm ndiyo umempa umarufu Tundu lisu na kadri mnavyoendelea na ujinga wenu ndivyo mnazidi kumfanyia promo zaidi
Lissu atasaidia tu kumpa ' Changamoto ' za ' Kimjadala ' Rais JPM na CCM yake, ila kwa Suala zima la Yeye kuwa Rais nchini Tanzania hilo lisahau.
CCM si mmjenga Reli, barabara, bwawa la umeme, Hosptal mmeleta maendeleo tumieni hayo kuomba kura, ni kwa nini hamuamini kuwa hivyo vinatosha kuwapa kura mpaka mnaenda kumhujumu Tundu lisu?
Lissu sio mtu wa kukubali kirahisi anaweza alete taharuki baada ya uchaguzi
 
Upinzani ungekuwa mzuri sana kama ingelikuwa wanahaidi ni kitu gani watakwenda kuwafanyie watanzania.
Ikiwa mtajikit kukosoa maendeleo yaliyofanywa na Rais JPM hakika mtaendeshindwa vibaya sana.

Mkae mkijua, watanzania sasa hivi wamechoka siasa wanataka vitendo, siasa za maneno matamu zimefanywa sana miaka hiyo, kipindi hiki tunataka maneno machache utendaji mwingi.
 
CCM utendaji mwingi ni kuchukua pesa za walipa kodi kwenda kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge, utendaji mwingi ni kuwabambikia kesi kesi wapinzani, utendaji mwingi ni kuwahujumu kuwabambikia kesi kesi chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…