Uchaguzi 2020 Hofu kubwa kwa wana CCM juu ya Lissu, wanafahamu wazi kabisa Lissu sio kondoo kama Lowassa

Lisu amekiri mwenyewe, haki isipotendeka hakuna neno (kumwachia Mungu)
 
CCM utendaji mwingi ni kuchukua pesa za walipa kodi kwenda kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge, utendaji mwingi ni kuwabambikia kesi kesi wapinzani, utendaji mwingi ni kuwahujumu kuwabambikia kesi kesi chadema
Wakat mwingine ni bora ukae kimya tu kwani Chato ikijengwa shida iko wapi? mimi kwetu kaskazini lakini siko huko leo nafaidika na maendeleo ya sehemu niliopo.
 
Baada ya Lissu kushinda kura za maoni maCCM yemeanza kupepereka kama kuku aliyekatwa kichwa.
 
..changamoto za kiafya zilikuwa zinamzuia Mzee Lowassa kuongea majukwaani na kufanya kampeni.

..TL akifanya kampeni za kisasa na za nguvu anaweza kuwatoa kimasomaso wapinzani.
 
Kabisa kabisa Mkuu, n.g.u.r.u.w.e wa lumumba WANATAPATAPA tu sasahivi.
 
Utanipandisha Hasira zangu nikujibu vibaya unichukie sawa? Nimekuambia Rais Magufuli na CCM yake atashinda kwa Kishindo hutaki Kafie mbele!!
Hahaha, atashindaje boss? Hebu elezea kidogo basi.
 
Hongera nabii wetu
 
Mitaani kote ni Tundu Lissu tu. Watanzania wanamkubali sana. Ama kwa hakika atashinda kwa kishindo hiyo October 28.
 
Lissu atasaidia tu kumpa ' Changamoto ' za ' Kimjadala ' Rais JPM na CCM yake, ila kwa Suala zima la Yeye kuwa Rais nchini Tanzania hilo lisahau.

Upepo umebadilika..... Usiyo yaamini yanaenda kufanyika...
 
Oktoba 28 ni kesho tu. Ushindi kwa Magufuli ni dhahiri. Ya nini kuandika mate na wino upo?
 
Yaani hicho kichwa cha habari kina idhalilisha Chadema ,kwa hiyo 2015 akina Lissu,Mdee,Mbowe,Mnyika,Msigwa,Sugu,Professor Jay walikuwa wana mpamba na kumpigia kampeni Kondoo achukue nchi.
 
..changamoto za kiafya zilikuwa zinamzuia Mzee Lowassa kuongea majukwaani na kufanya kampeni.

..TL akifanya kampeni za kisasa na za nguvu anaweza kuwatoa kimasomaso wapinzani.
Mkuu Nec wanataka kuitengea penalty ccm, lkn hawayofanikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…