Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Yote haya anayataka bi Titi alitakiwa kuweka ili jambo wazi kwenye TV ili tumjue anayeharibu 4R za Bibi mdashi.Joseph Mhagama ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Katiba ya Bunge , akiongoza vikao vya kipokea maoni juu ya marekebisho ya Sheria za Uchaguzi , amewazuia wadau kumpigia makofi , Katibu Mkuu wa Chadema alipokuwa anawasiliaha Nondo kabambe mbele ya Kamati hiyo .
Yaani Mhagama roho nusura imtoke baada ya Mnyika Kupongezwa kutokana na hoja zilizoshiba !
Hii ni aibu sana !
Hangaya anazuga tu hana mpango na Uchaguzi huru , ila tutamlazimisha , atake asitakeYote haya anayataka bi Titi alitakiwa kuweka ili jambo wazi kwenye TV ili tumjue anayeharibu 4R za Bibi mdashi.
Kabisa yaaniEvolution....haizuiliki
Uchaguzi huru na wa haki sio takwa la mama Abdul ni takwa la wananchi ili wachague watu wanaowataka!Hangaya anazuga tu hana mpango na Uchaguzi huru , ila tutamlazimisha , atake asitake
NaamUchaguzi huru na wa haki sio takwa la mama Abdul ni takwa la wananchi ili wachague watu wanaowataka!
Let's keep the records straight, sii kweli kuwa Mwenyekiti alizuia Mnyika asishangiliwe, bali alikuwa anakumbushia taratibu za vikao vya kamati, hakuna wachangiaji wowote kushangiliwa!, haswa ukizingatia JJMnyika ametinga na kundi kubwa la wafuasi wa Chadema na kuanza zile amsha amsha za shangilia kichawa chawa kila Mnyika anapozimiwa mic, ndipo Mwenyekiti akakumbushia mtu anayeryhusuwa kushangiliwa ni mmoja tuu!, unaweza kudhani Mwenyekiti wa ile kamati ni member wa lile kundi la chawa wa Mama!.Joseph Mhagama ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Katiba ya Bunge , akiongoza vikao vya kupokea maoni juu ya marekebisho ya Sheria za Uchaguzi , amewazuia wadau kumpigia makofi , Katibu Mkuu wa Chadema alipokuwa anawasiliaha Nondo kabambe mbele ya Kamati hiyo
Yaani Mhagama roho nusura imtoke baada ya Mnyika Kupongezwa kutokana na hoja zilizoshiba !
Hii ni aibu sana !
Sasa unafafanua , unabisha au unachangia ?Let's keep the records straight, sii kweli kuwa Mwenyekiti alizuia Mnyika asishangiliwe, bali alikuwa anakumbushia taratibu za vikao vya kamati, hakuna wasemaji wowote kumshangilia!. Sawa JJMnyika ametinga na kundi kubwa la wafuasi wa Chadema na kuanza zile amsha amsha za shangilia kila Mnyika anapozimiwa mic, ndipo Mwenyekiti akakumbushia mtu anayeryhusuwa kushangiliwa ni mmoja tuu!, unaweza kudhani Mwenyekiti wa ile kamati ni member wa lile kundi la chawa wa Mama!.
P
Mimi nilikuwepo pale siku zote 4, namtetea Mwenyekiti kwa kufafanua, sio JJMnyika pekee alizuiwa kushangiliwa, wengi wamezuiliwa kushangiliwa!. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Sasa unafafanua , unabisha au unachangia ?
Haya , japo hatukusikia mwingine aliyezuiliwa zaidi ya MnyikaMimi nilikuwepo pale siku zote 4, wengi wamezuiliwa kushangiliwa hivyo sio JJMnyika pekee!.
P
Uje na Mnyika, siku ya mwisho, au uhadithiwe na waliokuja nae, utasikia wapi?. Tuko pale 4 days, wamezuiliwa wengi!.Haya , japo hatukusikia mwingine aliyezuiliwa zaidi ya Mnyika
Shetani hajawahi kumshinda MunguNi ushamba mkubwa. Kamati ya Kudumu ya Bunge inajifanya wapo makini kufanya jambo jema kwa nchi, Leo kamati imezidi kujiabisha kwa kuonekana wanafanya usanii.
Lakini mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge la chama kimoja kongwe dola CCM alishindwa na nguvu ya umna, watu waliendelea kupiga makofi kila wakati katibu mkuu wa CHADEMA alipojenga hoja katika wasilisho la karne kutoka chama makini cha kisiasa nchini.
Hizi kauli mkawadanganye watoto wa juziHangaya anazuga tu hana mpango na Uchaguzi huru , ila tutamlazimisha , atake asitake
Lakini mi nadhani kamati na mwenyekiti wake wanakosea. nIkiwa inataka kupata maoni kwanini kuwe mtoa maoni asiachwe akatoa maoni yake mwanzo mwisho, badala yake yeye mwenyekiti wa kamati anaongea sana kwa kutumia muda wa mtoa maoni, na kisha nanaruhusu miongozo yeye huyo huyo, halafu anakataa kuoa muda kumruhusu mtoa maoni kumalizia kutoa maoni yake.Let's keep the records straight, sii kweli kuwa Mwenyekiti alizuia Mnyika asishangiliwe, bali alikuwa anakumbushia taratibu za vikao vya kamati, hakuna wachangiaji wowote kushangiliwa!, haswa ukizingatia JJMnyika ametinga na kundi kubwa la wafuasi wa Chadema na kuanza zile amsha amsha za shangilia kichawa chawa kila Mnyika anapozimiwa mic, ndipo Mwenyekiti akakumbushia mtu anayeryhusuwa kushangiliwa ni mmoja tuu!, unaweza kudhani Mwenyekiti wa ile kamati ni member wa lile kundi la chawa wa Mama!.
P
Yaani Mhagama roho nusura imtoke baada ya Mnyika Kupongezwa kutokana na hoja zilizoshiba ![emoji3]Joseph Mhagama ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Katiba ya Bunge, akiongoza vikao vya kupokea maoni juu ya marekebisho ya Sheria za Uchaguzi , amewazuia wadau kumpigia makofi , Katibu Mkuu wa Chadema alipokuwa anawasiliaha Nondo kabambe mbele ya Kamati hiyo .
Yaani Mhagama roho nusura imtoke baada ya Mnyika Kupongezwa kutokana na hoja zilizoshiba !
Hii ni aibu sana !
P, misimamo yako dhidi ya Chadema inakutoa nje ya 4R, penye Chadema P yupo na manati yake, pasipo Chadema P anapotezea. P narudia tena kukuambia kuwa hautaweza kuwa wala kumkaribia Lakha(deceased) na 4R si sehemu yako.Let's keep the records straight, sii kweli kuwa Mwenyekiti alizuia Mnyika asishangiliwe, bali alikuwa anakumbushia taratibu za vikao vya kamati, hakuna wachangiaji wowote kushangiliwa!, haswa ukizingatia JJMnyika ametinga na kundi kubwa la wafuasi wa Chadema na kuanza zile amsha amsha za shangilia kichawa chawa kila Mnyika anapozimiwa mic, ndipo Mwenyekiti akakumbushia mtu anayeryhusuwa kushangiliwa ni mmoja tuu!, unaweza kudhani Mwenyekiti wa ile kamati ni member wa lile kundi la chawa wa Mama!.
P