Pre GE2025 Hofu: Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba na Sheria aliwazuia Wajumbe kumpigia Makofi Mnyika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Joseph Mhagama ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Katiba ya Bunge, akiongoza vikao vya kupokea maoni juu ya marekebisho ya Sheria za Uchaguzi , amewazuia wadau kumpigia makofi , Katibu Mkuu wa Chadema alipokuwa anawasiliaha Nondo kabambe mbele ya Kamati hiyo .

Yaani Mhagama roho nusura imtoke baada ya Mnyika Kupongezwa kutokana na hoja zilizoshiba !

Hii ni aibu sana !
Kupigiwa makofi kunachangia nini katika kuwakilisha hoja! Usipopigiwa makofi ndio hufanya hoja yako kuwa pungufu zaidi ya yule aliyepigiwa makofi. Haya ni mawazo ya KIHARAKATI HARAKATI.

Tujikite katika hoja na sio kupigiwa makofi. Hii siyo kampeni. Kampeni subirini 2024-chaguzi za serikali za mitaa na 2025 uchaguzi mkuu.
 
Nimesoma hoja za CHADEMA. Nakiri kwamba jamaa wameiva na wanaweka utaofa mbele kuliko watawala wetu na wanausalama wao
 
Hakika

JamiiForums442997317_236x211.jpeg
 
Kupigiwa makofi kunachangia nini katika kuwakilisha hoja! Usipopigiwa makofi ndio hufanya hoja yako kuwa pungufu zaidi ya yule aliyepigiwa makofi. Haya ni mawazo ya KIHARAKATI HARAKATI.

Tujikite katika hoja na sio kupigiwa makofi. Hii siyo kampeni. Kampeni subirini 2024-chaguzi za serikali za mitaa na 2025 uchaguzi mkuu.
Kwani wakipigiwa inaharibu nini ?
 
Kwani wakipigiwa inaharibu nini ?
Wachangiaji ni wengi, kila kupigiwa makofi kunameza karibu dakika 1. Pili utaratibu wa kamati kupiga makofi wakati hoja zinatolewa. Najua mmezoea lakini hapo si mahali pa makofi.
 
Let's keep the records straight, sii kweli kuwa Mwenyekiti alizuia Mnyika asishangiliwe, bali alikuwa anakumbushia taratibu za vikao vya kamati, hakuna wachangiaji wowote kushangiliwa!, haswa ukizingatia JJMnyika ametinga na kundi kubwa la wafuasi wa Chadema na kuanza zile amsha amsha za shangilia kichawa chawa kila Mnyika anapozimiwa mic, ndipo Mwenyekiti akakumbushia mtu anayeryhusuwa kushangiliwa ni mmoja tuu!, unaweza kudhani Mwenyekiti wa ile kamati ni member wa lile kundi la chawa wa Mama!.
P
vikao vya kamati za bunge sio vikao vya ushabiki wa vyama bali ni vikao vinavyotakiwa kuwa makini hivyo kukataza ushabiki wa kushangilia wa aina yeyote inapotimiza majukumu yake!!
 
Back
Top Bottom