Pre GE2025 Hofu: Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba na Sheria aliwazuia Wajumbe kumpigia Makofi Mnyika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kupigiwa makofi kunachangia nini katika kuwakilisha hoja! Usipopigiwa makofi ndio hufanya hoja yako kuwa pungufu zaidi ya yule aliyepigiwa makofi. Haya ni mawazo ya KIHARAKATI HARAKATI.

Tujikite katika hoja na sio kupigiwa makofi. Hii siyo kampeni. Kampeni subirini 2024-chaguzi za serikali za mitaa na 2025 uchaguzi mkuu.
 
Nimesoma hoja za CHADEMA. Nakiri kwamba jamaa wameiva na wanaweka utaofa mbele kuliko watawala wetu na wanausalama wao
 
Kwani wakipigiwa inaharibu nini ?
 
Kwani wakipigiwa inaharibu nini ?
Wachangiaji ni wengi, kila kupigiwa makofi kunameza karibu dakika 1. Pili utaratibu wa kamati kupiga makofi wakati hoja zinatolewa. Najua mmezoea lakini hapo si mahali pa makofi.
 
vikao vya kamati za bunge sio vikao vya ushabiki wa vyama bali ni vikao vinavyotakiwa kuwa makini hivyo kukataza ushabiki wa kushangilia wa aina yeyote inapotimiza majukumu yake!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…