Hofu ya Corona: Rais Magufuli asitisha mbio za Mwenge 2020. Fedha kupelekwa ktk maandalizi ya kupambana na Corona

Wakati mwenge unanzidgwa hapakuwapo na nchi duniani inaitwa Tanzania. Hivyo hii hadithi imekufa kifo cha asili

Damu ya mbusi, mwanadamu, ndege haifui dafu kwa Damu ya Yesu. Mwenge uendelee kama kibatari chengine chechote kile.
 
Yajayo yanafikirisha
 
Wakati mwenge unanzidgwa hapakuwapo na nchi duniani inaitwa Tanzania. Hivyo hii hadithi imekufa kifo cha asili

Damu ya mbusi, mwanadamu, ndege haifui dafu kwa Damu ya Yesu. Mwenge uendelee kama kibatari chengine chechote kile.
[emoji46][emoji47][emoji46][emoji47]

Jr[emoji769]
 
Wagiriki na mienge yao wapo wapi kama sio maskini wa kutupwa
 
du!
 
Shindwa kabisa. Wataka mimi mwanachama wa CCM nifutike niende wapi? Omba CCM iwe chama cha upinzani ili tuionje shubiri ya kuwa chama cha upinzani tukome kutumia mali za umma kwa maslahi ya chama.
Hii imekaa vizuri...ccm wawe hivi
 
Binafsi sijawahi kuona faida za Mwenge!

Na Mara nyingi watu walikuwa wakihoji nini faida ya Mwenge nchini mwetu??
Maana yake wengi hawajawahi kuona faida ya Mwenge

Je, Mwenge, umewahi kuleta faida ama kuzalisha chochote badara ya kutumika kama chuma ulete Kwa kupoteza mabilioni ya fedha kukimbiza Mwenge ambapo kama shida ni Mwenge uwake, ungewekwa pale kariakoo kwenye mnara ukatulizana hapo

Baada ya miungu hiyo ya kale kupigwa marufuku ndipo tumeanza kuona Neema na Baraka za Mungu juu ya Taifa letu

Tujiulize, kama kipindi cha korona tungelikuwa tukiongozwa na mungu wa kale Mwenge badala ya Mungu tuliyemwomba Kwa siku tatu tukamlilia ili atuepushe na korona na Mungu muumbaji akatujibu Kwa ishara na maajabu, je tungelikuwa na miungu hiyo ya kale tungelivuka kweli?

Hatutaki tena hiyo miungu nchini mwetu, maana haijawahi kutusaidia, badala yake huwa tunaigharamia kwa fedha zetu na kuiwekewa ulinzi bule
By by Mwenge

Mungu Hoyeee!!!
Mungu ibariki Tanzania
 
Kumbe lengo lilikuwa ni kutaka corona iingie Tanzania ili ahairishe uchaguzi? Sasa akafeli wapi uchaguzi ukafanyika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…