Hofu ya Corona: Rais Magufuli asitisha mbio za Mwenge 2020. Fedha kupelekwa ktk maandalizi ya kupambana na Corona

Kuna jambo zuri litafuata kwa nchi yetu tukimaliza kutengana na haya makafara!
 
Sijasema CCM inashinda kwa nguvu za Giza, naomba usinilishe maneno. Nimesema CCM imekuwa inaendeshwa kwa nguvu za Giza na mazindiko.
Kwani hujui kuwa biashara ya viungo vya binadamu imeasisiwa na wataka madaraka wa CCM? Au hujui kuwa wapo viongozi wengi wa ccm ni watu wa mazindiko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sheikh yahya alikuwa mchumia tumbo na mwongomwongo anayeangalia fursa au umesahau alivyowatishia watakaopingana na JK watakufa ajabu hakuweza kutabiri kifo chake
 
Wazee hao walipewa kazi hiyo na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam enzi hizo kuhakikisha rais aliye madarakani hapingwi na mtu yeyote, zindiko hilo lilifanyika Bagamoyo katika moja ya mashimo yanayopatikana wilayani hapo na baadaye Mwalimu Nyerere alipelekwa Bagamoyo, akachinjwa mbuzi na Nyerere akaambiwa atambuke (aruke damu) baada ya kutokula kutwa nzima, jambo ambalo aliwahi kukiri hadharani katika moja ya hotuba zake.

Jr[emoji769]
 
Sasa ndio umeandika nini ewe punguani? Inaonekana na wewe ushafanywa zindiko tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu MKANDAHARI, Wathibi Yale yaleee! Tanzania ndiyo Maana watu wake ni masikini wa kutupwa ingawa furusa ni nyingi na hazielezeki, shida watu wake wamewekeza kwenye Ushirikina na uoga unsopindukia,

Fikra zako zooote ni viongozi wote kuwa walozi na mwenge kuwa zindiko,
Kwanza ktk yote uliyoongelea hayana uthibitisho yote ni fununu tu

Acha uwoga mkuu, jivike ujasiri, omba ubunge na utashinda, ndumba haisaidii na usimalize muda wako mwingi kufikiri uchawi mkuu

Kwa hiyo unataka kusema tusifanye mambo yetu kisa mwenge na CCM?
 
Majibu haya sina hakika kama in yangu. Sina imani hiyo, lakini nataka uelewe kuwa viongozi wengi wa CCM ni waabudu Giza na mazindiko.
Athari kwa jamii iliyo changanyikana na watu wa aina hiyo ni kubwa sana na ndio msingi wa hoja yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu zinaweza kuwa riwaya nzuri zisizo a uthibitisho.
 
Ngumu kumesa!
Tukumbuke Mwalimu alikuwa very smart upstairs na hakuwa mwoga.
Na kwa nyie ambao hamkumjua Mwalimu, kufikiri kwake kulikuwa kama mcheza chess, he could think two or three steps ahead of you.

Mwalimu ambaye alikuwa Mkristo tena Mkatoliki atawezaje kuwa take into confidence watu wasio wa imani yake, akaheshimu mila zao na kubwa zaidi kujenga umoja wa Kitaifa.
Mkuu MshanaJr tusiwe na a parochial view katika swala la kuwatumikia wananchi.

Haraharaka nitajiuliza,Je? Kikwete si mzaliwa wa maeneo karibu na Bagamoyo?
Wazee wa aina ya Forojo walisha kwishilia mbali?
 
Sasa mwenge wa nn hadi utumie gharama kubwa kukimbizwa.
Mwenge moto ni ibada za kishirikina zenye lengo la kupumbaza watu yaani kulaza watu akili.
 
Mshana Jr katika uboraaa ofkoz zindiko limekoma 2020 na ccm inasepa
 
Tumechoka na fix zile zile za miaka nenda rudi. Hamna jipya hapa.na huu ni uongo kama ulivyo uongo mwingine. Sheikh yahaya amenukuriwa akidanganya maneno aliyosema forojo ni tofauti na aliyosema sheikh yahaya.naye alikuwa muongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…