Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,239
- 11,731
Nchi nzima na wewe umejihesabia?Pure depiction of A Faustian Pact.
Nchi nzima inamuabudu Shetani.
Nchi ya wapumbavu kabisa hii.
Wengine hatumo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi nzima na wewe umejihesabia?Pure depiction of A Faustian Pact.
Nchi nzima inamuabudu Shetani.
Nchi ya wapumbavu kabisa hii.
Kuna jambo zuri litafuata kwa nchi yetu tukimaliza kutengana na haya makafara!Laana isiyo na sababu haimpati mtu, watu waendelee kuombea nchi, ikiwa ni wakati ambao Mungu ameruhusu CCM ipatwe na mabaya basi itapatwa, ikiwa yeye hajaruhusu basi haitatokea.
Kikubwa uovu wa nchi umeondolewa kwa sasa, ashukuriwe Mungu aliyeumba mbingu na nchi, tuzidi kuombea Taifa letu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijasema CCM inashinda kwa nguvu za Giza, naomba usinilishe maneno. Nimesema CCM imekuwa inaendeshwa kwa nguvu za Giza na mazindiko.Mkuu ume
umeanza lini kuwa hivi, Kwa hiyo na wewe unaamini nguvu za Giza siyo?
Ni Kwa nini sasa isiwe agenda maalumu kwenye Chama chako Ambacho mmeshindwa kuing'oa CCM mkiamini ni ndumba kupitia mwenge, mkawekeza nguvu zote kuhakikisha mnaondoa Kwanza hicho kikwazo?
Kwa nini kuwekeza nguvu kwenye Tume huru ambapo mnajua kabisa kwamba, bado CCM itakuwa inashida tu Kwa kuwa shinda yake ni Mwenge,
Mbona mnauhadaa umma Kwa mambo ambayo siyo?
Wazee hao walipewa kazi hiyo na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam enzi hizo kuhakikisha rais aliye madarakani hapingwi na mtu yeyote, zindiko hilo lilifanyika Bagamoyo katika moja ya mashimo yanayopatikana wilayani hapo na baadaye Mwalimu Nyerere alipelekwa Bagamoyo, akachinjwa mbuzi na Nyerere akaambiwa atambuke (aruke damu) baada ya kutokula kutwa nzima, jambo ambalo aliwahi kukiri hadharani katika moja ya hotuba zake.Sikubaliani na muelekeo wako wa kuona kuwa Mwenge ni zindiko.
Maneno yaliyotolewa juu ya mwenge ni ya kuhamasisha wananchi na kuhimiza umoja.
Umoja ndio uchawi mkubwa wa kuondoa matatizo katika jamii.
Nakubali mwenge usipoendelea basi umoja huo utatoka wapi?
Ila kusema kukimbiza mwenge ni zindiko huko ni kuturudisha kwenye ujima kuamini kafara na tabia zisizopendeza.
Mkuu MKANDAHARI, WathibiSasa ndio umeandika nini ewe punguani? Inaonekana na wewe ushafanywa zindiko tayari
Sent using Jamii Forums mobile app
Yale yaleee! Tanzania ndiyo Maana watu wake ni masikini wa kutupwa ingawa furusa ni nyingi na hazielezeki, shida watu wake wamewekeza kwenye Ushirikina na uoga unsopindukia,Sijasema CCM inashinda kwa nguvu za Giza, naomba usinilishe maneno. Nimesema CCM imekuwa inaendeshwa kwa nguvu za Giza na mazindiko.
Kwani hujui kuwa biashara ya viungo vya binadamu imeasisiwa na wataka madaraka wa CCM? Au hujui kuwa wapo viongozi wengi wa ccm ni watu wa mazindiko?
Sent using Jamii Forums mobile app
Majibu haya sina hakika kama in yangu. Sina imani hiyo, lakini nataka uelewe kuwa viongozi wengi wa CCM ni waabudu Giza na mazindiko.Mkuu MKANDAHARI, Wathibi
Yale yaleee! Tanzania ndiyo Maana watu wake ni masikini wa kutupwa ingawa furusa ni nyingi na hazielezeki, shida watu wake wamewekeza kwenye Ushirikina na uoga unsopindukia,
Fikra zako zooote ni viongozi wote kuwa walozi na mwenge kuwa zindiko,
Kwanza ktk yote uliyoongelea hayana uthibitisho yote ni fununu tu
Acha uwoga mkuu, jivike ujasiri, omba ubunge na utashinda, ndumba haisaidii na usimalize muda wako mwingi kufikiri uchawi mkuu
Thibitisha mkuu,Majibu haya sina hakika kama in yangu. Sina imani hiyo, lakini nataka uelewe kuwa viongozi wengi wa CCM ni waabudu Giza na mazindiko.
Athari kwa jamii iliyo changanyikana na watu wa aina hiyo ni kubwa sana na ndio msingi wa hoja yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu zinaweza kuwa riwaya nzuri zisizo a uthibitisho.Wazee hao walipewa kazi hiyo na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam enzi hizo kuhakikisha rais aliye madarakani hapingwi na mtu yeyote, zindiko hilo lilifanyika Bagamoyo katika moja ya mashimo yanayopatikana wilayani hapo na baadaye Mwalimu Nyerere alipelekwa Bagamoyo, akachinjwa mbuzi na Nyerere akaambiwa atambuke (aruke damu) baada ya kutokula kutwa nzima, jambo ambalo aliwahi kukiri hadharani katika moja ya hotuba zake.
Jr[emoji769]
Mkuu zinaweza kuwa riwaya nzuri zisizo a uthibitisho.
Jr[emoji769]
Sasa mwenge wa nn hadi utumie gharama kubwa kukimbizwa.Ngumu kumesa!
Tukumbuke Mwalimu alikuwa very smart upstairs na hakuwa mwoga.
Mkristo tena Mkatoliki atawezaje kuwa take into confidence watu wasio wa imani yake, akaheshimu mila zao na kubwa zaidi kujenga umoja wa Kitaifa.
Mkuu MshanaJr tusiwe na a parochial view katika swala la kuwatumikia wananchi.
Haraharaka nitajiuliza,Je? Kikwete si mzaliwa wa maeneo karibu na Bagamoyo?
Wazee wa aina ya Forojo walisha kwishilia mbali?
Kwa nini unaenda Kanisani au msikitini?Sasa mwenge wa nn hadi utumie gharama kubwa kukimbizwa.
Mwenge moto ni ibada za kishirikina zenye lengo la kupumbaza watu yaani kulaza watu akili.
Ndo chanzo cha ufukara wetuKuna jambo zuri litafuata kwa nchi yetu tukimaliza kutengana na haya makafara!
Mshana Jr katika uboraaa ofkoz zindiko limekoma 2020 na ccm inasepaUTANGULIZI: Akinukuu maneno hayo Sheikh Yahya alisema Forojo alimwambia Nyerere: “Baba, sisi tunataka kuwasha mwenge na kuuweka juu ya Mlima Kilimanjaro, umulike hata nje ya mipaka yetu, ulete tumaini mahala pasipo na tumaini, faraja palipo na huzuni, tumaini pasipo na tumaini, upendo penye chuki na heshima palipo na dharau.
“Baada ya kutamka hayo mbele ya Mwalimu Nyerere, Ganze alikata roho na siku chache baadaye Mwalimu Nyerere akayafanyia kazi maneno yake na kuanzisha Mwenge wa Uhuru ambao ulipandishwa Mlima Kilimanjaro na Kapteni Alexander Nyirenda aliyekuwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ),” alisema Sheikh Yahya.
Hata hivyo, mtaalam huyo wa unajimu alisema kilichowashangaza wengi ni maneno yaliyoongozwa yasemayo “UMULIKE NJE YA MIPAKA YETU ULETE TUMAINI” akahoji ina maana ndani ya nchi tubaki gizani? Sheikh Yahya Hussein alisema anashangazwa kwa nini Forojo Ganze hakutangazwa kama mwanzilishi wa Mwenge wa Uhuru kwani baada ya mazishi ya Forojo, ulianzishwa ambao ulikimbizwa nchi nzima mara tu baada ya uhuru mwaka 1961 na unaendelea kukimbizwa hadi sasa.
Nyerere alimuagiza Sheikh Yahya Hussein atafsiri maana ya ile namba 115 aliyokuwa ameiandika mkononi Forojo akamwambia:
“Namba 115 maana yake utakufa ukiwa na umri wa miaka 77 na Taifa la Tanzania kwa kipindi hicho litakuwa na umri wa miaka 38,” na ndivyo ilivyokuwa. Mwaka 1999 Mwalimu Nyerere alikufa akiwa na miaka 77 na taifa lilikuwa na miaka 38 ya uhuru na 77+38=115, namba aliyoiandika Forojo Ganze mkononi.
Unaitwa Mwenge wa uhuru na ulikimbizwa nchi nzima mara baada tu ya uhuru. Kuna mtu mmoja muhimu sana kwenye hili jambo naye si mwingine bali ni Mzee Forojo Ganze. Aliekuwa kaandika mkononi mwake no 115. Tafsiri yake ilikuwa hii. Mwalimu Nyerere atakufa akiwa na miaka 77. Wakati wa kifo chake taifa huru la Tanzania litakuwa na umri wa miaka 38. Utabiri huu ulitimia.
Kuna kitu Mzee Ganze hakukisema pengine kwa kupitiwa ama kifo kumuwahi kabla hajakisema. Nacho ninini kitamtokea mtu atakayevunja masharti ya zindiko. Imeshasemwa mara nyingi ya kwamba Mwenge ni zindiko na kafara la kukimbiza moto na lilikuwa maalum kwa ajili ya kumbakisha mwalimu madarakani na kulinda uhuru. Je, kuna ukweli kwenye hili?
Baba, sisi tunataka kuwasha mwenge na kuuweka juu ya Mlima Kilimanjaro, umulike hata nje ya mipaka yetu, ulete tumaini mahala pasipo na tumaini, faraja palipo na huzuni, tumaini pasipo na tumaini, upendo penye chuki na heshima palipo na dharau.
Je, mwenge umeendelea kuleta tumaini pasipo na tumaini?
Je, mwenge umeendelea kuleta upendo palipo na chuki?
Je, mwenge umeendelea kuleta heshima palipo na dharau?
Je, mwenge umeendelea kuleta tumaini pasipo na tumaini?
Kusitishwa sherehe za uhuru pengine ilikuwa kiashiria cha kwanza cha kuvunja masharti ya zindiko na kafara la moto.. Na kama bado huamini hili ona na mbio za mwenge mwaka huu zimesitishwa kwa sababu ya corona.. Sababu huwa kichokoo kikubwa cha kuvunja agano na masharti yake
Wahusika wote wenye ufahamu na hili jambo hawapo tena duniani.. Wa mwisho alikuwa mnajibu na mtabiri maarufu Sheikh Yahaya. Hakuwahi pengine kuzungumzia au walau kuulizwa nini kitatokea kama zindiko lisipofanyika? I mean la kukimbiza moto. Ni wazi sote tulitiwa upofu na kusahau haya yote.
Zindiko na kafara huwa na kikomo cha kuwa hasa lisipohudumiwa.. Ndio maana waliofanikiwa hawaachi kufanya mazindiko na makafara kila wiki, mwezi au mwaka ili ku boost. Ubaya wake ni mmoja tuu kamwe zindiko na kafara havina rivasi na KIPIMO huongezeka kila wakati. Kikomo cha kuwa kinapofikia ukomo. Nyakati zinapotimia sababu ndogo mno hubatilisha kila kitu.
Kuna sababu nzito za kiroho zilizo juu ya ufahamu wetu wa kawaida wa kibinadamu zilizosababisha kusitishwa kwa mbio za mwenge na sherehe za uhuru. Picha ya mwenge wa uhuru ilitumika vilivyo kwenye mabango ya ccm na PICHA za wagombea wake. Je, ndio ilikuwa matumizi ya mwisho?
Wakati utasema.
Jr[emoji769]
Kafara la kukimbiza moto linavyoligharimu Taifa - JamiiForums
Kwa hiyo unaamini kwamba ccm hatuibi kura bali ni mwenge ndio unatusaidia!Wakati utasema.
Human soul is immortalKwenye mazindiko na makafara kuna roho huwa zinaumbwa na kumbuka roho hazifi
Jr[emoji769]