Hofu ya Kenya katika akili za Tanzania

Mambo mengi lakini wimbo bado ni ule ule "Tutaipiku Kenya" , ila tofauti kati yetu kiuchumi inazidi kuongezeka Kenya ikiongoza.
Now to english:

These acts are carefully crafted on the side of Kenya to put a narrative and Tanzania keeps falling in the same trap everytime. To attract investments a government should look amicable to business and to the cries of the private sector. Look at the steps below

Tanzania reacts without strategy:
-Kenya takes a measure taken by all countries in the world knowing full well GOT will go ballistic.
-GOT responds as GOK expects with draconian and punitive edicts.
-The east african business council approaches GOK for talks to help resolve the issue and GOK lends a listening ear and assures the business community in east africa that GOK will talk it out with GOT.
-Kenya comes out looking as the most friendly country to business and diplomacy

Kenya has been a master at crafting an image of Tanzania through out history as a hostile place for business. Because GOT is driven by ego not intellect they advertise their actions against Kenya world wide while Kenya controls the narrative on who is hostile.

If you have not noticed through all these years, Kenya has always come out of trade wars with Tanzania by crafting an image of the country that is always willing to talk and very diplomatic, while Tanzania comes out looking like the envious small brother who has anger management issues.

Al these years, Kenya has carefully played this game to make sure investors , private businesses and international organizations view Tanzania as a hostile place,Leaving Kenya as the only option.

We did it to them when the UN office was to be set up and given that their ego can not let them see past their nose, they keep falling for the same trap. This is how you engineer consent in people without using violence.

I would advise Tanzanians and GOT to start reading on engineering consent. I can make other people hate you without having ever interacted with you by how I control the narrative getting out and the image I portray.

Tanzanians you are in a propaganda war and you have not noticed that Kenya is winning. Kenya plays a fiddle and you dance to the tune.
 
Mk254, wewe ni mmoja wa wakenya wachache wanaojitahidi kujenga hoja angalau zenye mashiko,humu JF,kwa hili,umeandika upuuzi kabisa,mtoa post,amejikita kwenye hoja ya power struggle btn these two powers,TZ n Kenya,ningetegemea na wewe ujikite kutoa challenge zako Kama alivyofanya.umejikita kwenye stupid propaganda za Corona na kupost ramani kulingana na UAE tu na kusema ni dunia nzima.Corona haipo Tz hata nyinyi mnajua hilo.ni hivi,kila nchi Ina njia zake kupambana na tatizo kulingana na mazingira,hata Sweden,hakuenda curfew,Wala lockdown,walitumia njia Kama ya Tz,Ila huwezi kusikia majirani zake wakipiga kelele Kama mnavofanya.najua hii article imemaliza battle iliyomo humu muda mrefu,ndio maana hamna Cha kuipinga!
 
Hakuna article iliposema TZ itaipiku Kenya,imeeleza economic strategy ya Tz inavyoenda kuathiri Kenya. Ni hivi, hicho Kenya inachofanya haijafanikiwa, that's why we lead in FDI in EA.
 
Sasa sindiyo maana na sisi tumezuia ili tysiwaambukize korona ndege zenu zibaki kwenu na zetu zibaki kwetu na mpaka ufungwe hadi korona ikimalizika tz mbona mnakataa.
 
Hakuna mtu mwenye akili tz anawaza kuipiku Kenya, maana kenya sio umasikini, Kenya sio njaa, Kenya sio magonjwa. Tunapambana kuvipita hivyo mzee.

Nyinyi mnapambana kuwa mbele[emoji16][emoji16],unaona tofauti hiyo!

Ndio sababu hata baada ya kuwaacha mkae mbele bado tunaamua mstakabali wenu na wa uchumi wenu, sababu hamjui adui yenu ni nani kimsingi ila mnapambana kukaa mbele ya tz.

Mtakuja kushtuka baadae sana.
 
Niliambiwa na mtu humu kuwa wewe ni Mkenya unayeishi hapa TZ. Hivi unatafuta Nini hapa TZ? Je, kama ni kweli upo hapa TZ umeshawahi kuugua Corona?
 
Hizi chokochoko hazitotusaidia kama nchi Jirani kila mtu apambane kwa kwa hali yake, adui yetu mkubwa ni Umaskini sasa tumemuacha adui yetu tunaanza kupigana sisi kwa sisi. [emoji1787]Tuangalie hii migogoro nani anaanzisha? Nini kipo nyuma yake?kwa nini mwishoe mnataka maridhiano.watanzania sisi ni wakarimu sana ila tunakaukorofi tukichokozwa. Tuwe kitu kimoja, rais wetu ametuambia tukuze Kiswahili [emoji41][emoji41]
 
Nyie Kenya ndio viranja wa covid19 hapa E.A 🤣 🤣 sasa subirini the coming giant kiulaini bila ugomvi 💪
 

Vuta nikuvute ya sasa inahusu corona, na nguvu mnazotumia nyingi kuifanya ionekane kivingine, nyie huko mumetelekeza juhudi za kupima na kutoa taarifa, mumeingia kwenye matamko ya wanasiasa kwamba hamna corona ilhali hamuonyeshi mumetumia vigezo gani vya kisayansi na kusema corona haipo, halafu hapo hapo mnataka muingie kwenye mataifa ya watu kwa kulazimishia.

Hizi insha nyingi mnaandika mara KQ mara sijui vita vya uchumi ni kawaida yenu tulishawazoea miaka yote hii, mfumo wenu wa ujamaa umewaweka muamini kla kitu dunia hii kipo kwa ajili ya kuihujumu Tanzania, kila mu popote alipo anaiwaza kuihujumu Tanzania, corona imeletwa kwa ajili yenu tu.
 
Corona imeanza juzi!
 
Niliambiwa na mtu humu kuwa wewe ni Mkenya unayeishi hapa TZ...hivi unatafuta Nini hapa TZ...je, Kama ni kweli upo hapa TZ umeshawahi kuugua Corona?

Baki kwenye hoja, tunaijadili corona na mbinu zenu za kutokufanya chochote huku mkilazimisha muingie kwenye mataifa ya watu bila kupimwa.

Mimi nimesema mara nyingi humu kwamba nimewahi kuishi Tanzania, nilikatiza mikoa mingi sana hata kuwaliko wengi wenu ambao huwa mumeganda Dar tangu kuzaliwa, hivyo hamna haja ya kunijadili, pambana na mimi kwenye hoja, la sivyo nitakupuuza kama ninavyowapuuza baadhi ya ndugu zako.

Binafsi huwa sina chochote dhidi ya Tanzania nje ya ligi za kawaida baina ya ndugu na watani, ila humu huwa tunaumbuana ikitokea mmoja kaleta taarifa za kuisifia nchi yake ilhali zina kasoro.

Corona ni tatizo la kisayansi, na haiwezekani mkapona kwa kutumia matamko au mikwara ya wanasiasa.
 
Nyie wa TZ msibishane na hawa watumwa wa fikra za kiulaya na kimagharibi.
 
Khaa majibu yenu sasa
 
Mpaka Sasa kupima na kutoa taarifa imewasaidiaje kuamaliza Corona?alafu wewe una ubongo mdogo Sana,nimekwmbia hivi,kila nchi Ina njia zake za kupambana na tatizo, nyinyi mme opt kupima na kutangaza bila kuchukua hatua ya kupunguza maambukizi, usilazimishe tufuate huo utaratibu wenu.

Sisi sio kila Jambo lazima sayansi itumike bali akili,hiyo kupima na kutangaza ndio sayansi ya kumaliza maambukizi, au? Alafu mtoa post, amejikita kwenye uchumi na kuliko Corona wewe una divert mada, hakuna mtz anayetaka kuingia kwenye mataifa mengine, kwa nguvu, kama unaweza yataje hapa. Sisi tumepiga marafuku hivyo vindege vyenu, mna'nga'ngania kuja TZ eti mnataka mazungumzo, sisi, hatutaki mtuletee Corona huku.
 
Yaani yote uliyoyasoma hapo juu umeona kikwazo ni Corona tu, Una jamaa na marafiki hapa Tanzania hebu sema ukweli wangapi wameathirika na Corona? Mna yenu kusema hamuezi na bado, si ukuta wa Mererani wala utalii bado mengi yanakuja hatutoheshimiana mtatuheshimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…