Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja hujibiwa kwa hoja, wewe ulitaka aandike nini?Unaandikia nani insha refu za kiswAhili zilizojaa sycophancy.
Mk254, wewe ni mmoja wa wakenya wachache wanaojitahidi kujenga hoja angalau zenye mashiko,humu JF,kwa hili,umeandika upuuzi kabisa,mtoa post,amejikita kwenye hoja ya power struggle btn these two powers,TZ n Kenya,ningetegemea na wewe ujikite kutoa challenge zako Kama alivyofanya.umejikita kwenye stupid propaganda za Corona na kupost ramani kulingana na UAE tu na kusema ni dunia nzima.Corona haipo Tz hata nyinyi mnajua hilo.ni hivi,kila nchi Ina njia zake kupambana na tatizo kulingana na mazingira,hata Sweden,hakuenda curfew,Wala lockdown,walitumia njia Kama ya Tz,Ila huwezi kusikia majirani zake wakipiga kelele Kama mnavofanya.najua hii article imemaliza battle iliyomo humu muda mrefu,ndio maana hamna Cha kuipinga!Hizi nguvu mnatumia kuficha udhaifu wenu kwenye suala la corona na kulilia Wakenya, mngezitumia kwa kuhakikisha mnapima na na kutolea taarifa za hali yenu hamngejikuta kwenye hali hii ya kukataliwa na dunia, mtaandika hizi insha mpaka mjaze vitabu vya dunia ila hali ni ile ile, corona ni tatizo la kisayansi na linapaswa kushughulkiwa kisayansi sio kwa matamko ya wanasiasa.
Leo hii Mtanzania ukionyesha paspoti ya Tanzania kwenye uwanja wowote wa ndege jamaa wote ghafla wanavaa barakoa na kujilinda na kukupitishia kwenye ukaguzi wa hali ya juu, hii ramani inaonyesha mlivyotiwa alama nyekundu na kanuni za kuwakagua mara mbili mbili.
Yaani mtelekeze jitihada dhidi ya corona kwa jinsi mlivyojichokea kisha muanze kulazimisha na kung'ang'ania kuingia ndani ya mataifa ya watu.
Kwetu huku njooni tumewaruhusu mje maana mumelia sana ila lazima kila anayefika na paspoti ya Tanzania apanue mdomo hadi jino la mwisho lionekane kisha kifaa cha kupima corona kitumbukizwe humo, ukipita huo mtihani wa kupimwa walau mara mbili kisha utfuatiliwa siku 14, utolee taarifa wapi unakwenda na utaishi kivipi, zikiisha hizo 14 basi hapo unaruhusiwa kujiachia huru na kufurahia maziwa na asali ya Kenya.
Health Alert: U.S. Embassy Dar es Salaam | U.S. Embassy in Tanzania
![]()
Hakuna article iliposema TZ itaipiku Kenya,imeeleza economic strategy ya Tz inavyoenda kuathiri Kenya. Ni hivi, hicho Kenya inachofanya haijafanikiwa, that's why we lead in FDI in EA.Mambo mengi lakini wimbo bado ni ule ule "Tutaipiku Kenya" , ila tofauti kati yetu kiuchumi inazidi kuongezeka Kenya ikiongoza.
Now to english:
These acts are carefully crafted on the side of Kenya to put a narrative and Tanzania keeps falling in the same trap everytime. To attract investments a government should look amicable to business and to the cries of the private sector. Look at the steps below
Tanzania reacts without strategy:
-Kenya takes a measure taken by all countries in the world knowing full well GOT will go ballistic.
-GOT responds as GOK expects with draconian and punitive edicts.
-The east african business council approaches GOK for talks to help resolve the issue and GOK lends a listening ear and assures the business community in east africa that GOK will talk it out with GOT.
-Kenya comes out looking as the most friendly country to business and diplomacy
Kenya has been a master at crafting an image of Tanzania through out history as a hostile place for business. Because GOT is driven by ego not intellect they advertise their actions against Kenya world wide while Kenya controls the narrative on who is hostile.
If you have not noticed through all these years, Kenya has always come out of trade wars with Tanzania by crafting an image of the country that is always willing to talk and very diplomatic, while Tanzania comes out looking like the envious small brother who has anger management issues.
Al these years, Kenya has carefully played this game to make sure investors , private businesses and international organizations view Tanzania as a hostile place,Leaving Kenya as the only option.
We did it to them when the UN office was to be set up and given that their ego can not let them see past their nose, they keep falling for the same trap. This is how you engineer consent in people without using violence.
I would advise Tanzanians and GOT to start reading on engineering consent. I can make other people hate you without having ever interacted with you by how I control the narrative getting out and the image I portray.
Tanzanians you are in a propaganda war and you have not noticed that Kenya is winning. Kenya plays a fiddle and you dance to the tune.
Sasa sindiyo maana na sisi tumezuia ili tysiwaambukize korona ndege zenu zibaki kwenu na zetu zibaki kwetu na mpaka ufungwe hadi korona ikimalizika tz mbona mnakataa.Hizi nguvu mnatumia kuficha udhaifu wenu kwenye suala la corona na kulilia Wakenya, mngezitumia kwa kuhakikisha mnapima na na kutolea taarifa za hali yenu hamngejikuta kwenye hali hii ya kukataliwa na dunia, mtaandika hizi insha mpaka mjaze vitabu vya dunia ila hali ni ile ile, corona ni tatizo la kisayansi na linapaswa kushughulkiwa kisayansi sio kwa matamko ya wanasiasa.
Leo hii Mtanzania ukionyesha paspoti ya Tanzania kwenye uwanja wowote wa ndege jamaa wote ghafla wanavaa barakoa na kujilinda na kukupitishia kwenye ukaguzi wa hali ya juu, hii ramani inaonyesha mlivyotiwa alama nyekundu na kanuni za kuwakagua mara mbili mbili.
Yaani mtelekeze jitihada dhidi ya corona kwa jinsi mlivyojichokea kisha muanze kulazimisha na kung'ang'ania kuingia ndani ya mataifa ya watu.
Kwetu huku njooni tumewaruhusu mje maana mumelia sana ila lazima kila anayefika na paspoti ya Tanzania apanue mdomo hadi jino la mwisho lionekane kisha kifaa cha kupima corona kitumbukizwe humo, ukipita huo mtihani wa kupimwa walau mara mbili kisha utfuatiliwa siku 14, utolee taarifa wapi unakwenda na utaishi kivipi, zikiisha hizo 14 basi hapo unaruhusiwa kujiachia huru na kufurahia maziwa na asali ya Kenya.
Health Alert: U.S. Embassy Dar es Salaam | U.S. Embassy in Tanzania
![]()
Hakuna mtu mwenye akili tz anawaza kuipiku Kenya, maana kenya sio umasikini, Kenya sio njaa, Kenya sio magonjwa. Tunapambana kuvipita hivyo mzee.Mambo mengi lakini wimbo bado ni ule ule "Tutaipiku Kenya" , ila tofauti kati yetu kiuchumi inazidi kuongezeka Kenya ikiongoza.
Now to english:
These acts are carefully crafted on the side of Kenya to put a narrative and Tanzania keeps falling in the same trap everytime. To attract investments a government should look amicable to business and to the cries of the private sector. Look at the steps below
Tanzania reacts without strategy:
-Kenya takes a measure taken by all countries in the world knowing full well GOT will go ballistic.
-GOT responds as GOK expects with draconian and punitive edicts.
-The east african business council approaches GOK for talks to help resolve the issue and GOK lends a listening ear and assures the business community in east africa that GOK will talk it out with GOT.
-Kenya comes out looking as the most friendly country to business and diplomacy
Kenya has been a master at crafting an image of Tanzania through out history as a hostile place for business. Because GOT is driven by ego not intellect they advertise their actions against Kenya world wide while Kenya controls the narrative on who is hostile.
If you have not noticed through all these years, Kenya has always come out of trade wars with Tanzania by crafting an image of the country that is always willing to talk and very diplomatic, while Tanzania comes out looking like the envious small brother who has anger management issues.
Al these years, Kenya has carefully played this game to make sure investors , private businesses and international organizations view Tanzania as a hostile place,Leaving Kenya as the only option.
We did it to them when the UN office was to be set up and given that their ego can not let them see past their nose, they keep falling for the same trap. This is how you engineer consent in people without using violence.
I would advise Tanzanians and GOT to start reading on engineering consent. I can make other people hate you without having ever interacted with you by how I control the narrative getting out and the image I portray.
Tanzanians you are in a propaganda war and you have not noticed that Kenya is winning. Kenya plays a fiddle and you dance to the tune.
Niliambiwa na mtu humu kuwa wewe ni Mkenya unayeishi hapa TZ. Hivi unatafuta Nini hapa TZ? Je, kama ni kweli upo hapa TZ umeshawahi kuugua Corona?Hizi nguvu mnatumia kuficha udhaifu wenu kwenye suala la corona na kulilia Wakenya, mngezitumia kwa kuhakikisha mnapima na na kutolea taarifa za hali yenu hamngejikuta kwenye hali hii ya kukataliwa na dunia, mtaandika hizi insha mpaka mjaze vitabu vya dunia ila hali ni ile ile, corona ni tatizo la kisayansi na linapaswa kushughulkiwa kisayansi sio kwa matamko ya wanasiasa.
Leo hii Mtanzania ukionyesha paspoti ya Tanzania kwenye uwanja wowote wa ndege jamaa wote ghafla wanavaa barakoa na kujilinda na kukupitishia kwenye ukaguzi wa hali ya juu, hii ramani inaonyesha mlivyotiwa alama nyekundu na kanuni za kuwakagua mara mbili mbili.
Yaani mtelekeze jitihada dhidi ya corona kwa jinsi mlivyojichokea kisha muanze kulazimisha na kung'ang'ania kuingia ndani ya mataifa ya watu.
Kwetu huku njooni tumewaruhusu mje maana mumelia sana ila lazima kila anayefika na paspoti ya Tanzania apanue mdomo hadi jino la mwisho lionekane kisha kifaa cha kupima corona kitumbukizwe humo, ukipita huo mtihani wa kupimwa walau mara mbili kisha utfuatiliwa siku 14, utolee taarifa wapi unakwenda na utaishi kivipi, zikiisha hizo 14 basi hapo unaruhusiwa kujiachia huru na kufurahia maziwa na asali ya Kenya.
Health Alert: U.S. Embassy Dar es Salaam | U.S. Embassy in Tanzania
![]()
Nyie Kenya ndio viranja wa covid19 hapa E.A 🤣 🤣 sasa subirini the coming giant kiulaini bila ugomvi 💪Hizi nguvu mnatumia kuficha udhaifu wenu kwenye suala la corona na kulilia Wakenya, mngezitumia kwa kuhakikisha mnapima na na kutolea taarifa za hali yenu hamngejikuta kwenye hali hii ya kukataliwa na dunia, mtaandika hizi insha mpaka mjaze vitabu vya dunia ila hali ni ile ile, corona ni tatizo la kisayansi na linapaswa kushughulkiwa kisayansi sio kwa matamko ya wanasiasa.
Leo hii Mtanzania ukionyesha paspoti ya Tanzania kwenye uwanja wowote wa ndege jamaa wote ghafla wanavaa barakoa na kujilinda na kukupitishia kwenye ukaguzi wa hali ya juu, hii ramani inaonyesha mlivyotiwa alama nyekundu na kanuni za kuwakagua mara mbili mbili.
Yaani mtelekeze jitihada dhidi ya corona kwa jinsi mlivyojichokea kisha muanze kulazimisha na kung'ang'ania kuingia ndani ya mataifa ya watu.
Kwetu huku njooni tumewaruhusu mje maana mumelia sana ila lazima kila anayefika na paspoti ya Tanzania apanue mdomo hadi jino la mwisho lionekane kisha kifaa cha kupima corona kitumbukizwe humo, ukipita huo mtihani wa kupimwa walau mara mbili kisha utfuatiliwa siku 14, utolee taarifa wapi unakwenda na utaishi kivipi, zikiisha hizo 14 basi hapo unaruhusiwa kujiachia huru na kufurahia maziwa na asali ya Kenya.
Health Alert: U.S. Embassy Dar es Salaam | U.S. Embassy in Tanzania
![]()
Mk254, wewe ni mmoja wa wakenya wachache wanaojitahidi kujenga hoja angalau zenye mashiko,humu JF,kwa hili,umeandika upuuzi kabisa,mtoa post,amejikita kwenye hoja ya power struggle btn these two powers,TZ n Kenya,ningetegemea na wewe ujikite kutoa challenge zako Kama alivyofanya.umejikita kwenye stupid propaganda za Corona na kupost ramani kulingana na UAE tu na kusema ni dunia nzima.Corona haipo Tz hata nyinyi mnajua hilo.ni hivi,kila nchi Ina njia zake kupambana na tatizo kulingana na mazingira,hata Sweden,hakuenda curfew,Wala lockdown,walitumia njia Kama ya Tz,Ila huwezi kusikia majirani zake wakipiga kelele Kama mnavofanya.najua hii article imemaliza battle iliyomo humu muda mrefu,ndio maana hamna Cha kuipinga!
Corona imeanza juzi!Vuta nikuvute ya sasa inahusu corona, na nguvu mnazotumia nyingi kuifanya ionekane kivingine, nyie huko mumetelekeza juhudi za kupima na kutoa taarifa, mumeingia kwenye matamko ya wanasiasa kwamba hamna corona ilhali hamuonyeshi mumetumia vigezo gani vya kisayansi na kusema corona haipo, halafu hapo hapo mnataka muingie kwenye mataifa ya watu kwa kulazimishia.
Hizi insha nyingi mnaandika mara KQ mara sijui vita vya uchumi ni kawaida yenu tulishawazoea miaka yote hii, mfumo wenu wa ujamaa umewaweka muamini kla kitu dunia hii kipo kwa ajili ya kuihujumu Tanzania, kila mu popote alipo anaiwaza kuihujumu Tanzania, corona imeletwa kwa ajili yenu tu.
Niliambiwa na mtu humu kuwa wewe ni Mkenya unayeishi hapa TZ...hivi unatafuta Nini hapa TZ...je, Kama ni kweli upo hapa TZ umeshawahi kuugua Corona?
Khaa majibu yenu sasaBro uchambuzi makini sana.sema sababu haujaandikwa kiingereza wale wapumbavu wasio na akili wataisoma bila umakini.
Lakini hali halisi ndio hiyo,hawa jamaa wana kiwewe na tz ambayo inachukua nafasi yake si kwa nguvu bali kwa mikakati ambayo haitumii nguvu ila akili nyingi.
Mfano kipindi wanafanya tz kuwa soko la bidhaa zao za viwanda walifurahi wakidhani ni turufu kamili ya kujichukulia utawala wa dhidi ya ukanda huu,lakini sasa hivi ndio wanajua kwamba hatua hiyo imefanya tuwe centrebolt ya uchumi wao,tunawageuza tu tunavyotaka.
Ni kama wametangulia stand nauli tunazo sisi[emoji23][emoji23][emoji23]
Mpaka Sasa kupima na kutoa taarifa imewasaidiaje kuamaliza Corona?alafu wewe una ubongo mdogo Sana,nimekwmbia hivi,kila nchi Ina njia zake za kupambana na tatizo, nyinyi mme opt kupima na kutangaza bila kuchukua hatua ya kupunguza maambukizi, usilazimishe tufuate huo utaratibu wenu.Vuta nikuvute ya sasa inahusu corona, na nguvu mnazotumia nyingi kuifanya ionekane kivingine, nyie huko mumetelekeza juhudi za kupima na kutoa taarifa, mumeingia kwenye matamko ya wanasiasa kwamba hamna corona ilhali hamuonyeshi mumetumia vigezo gani vya kisayansi na kusema corona haipo, halafu hapo hapo mnataka muingie kwenye mataifa ya watu kwa kulazimishia.
Hizi insha nyingi mnaandika mara KQ mara sijui vita vya uchumi ni kawaida yenu tulishawazoea miaka yote hii, mfumo wenu wa ujamaa umewaweka muamini kla kitu dunia hii kipo kwa ajili ya kuihujumu Tanzania, kila mu popote alipo anaiwaza kuihujumu Tanzania, corona imeletwa kwa ajili yenu tu.
Mkuu, hii post imewachanganya Sana. Hawakutegemea article hatari Kama hii. Wana mawazo ya ujima kufikiri kwamba wao tu ndio wenye elimu mzuri kuliko TZ, hii imewpa fundisho!Tanzania wote sisi ni wataalam.
Yaani yote uliyoyasoma hapo juu umeona kikwazo ni Corona tu, Una jamaa na marafiki hapa Tanzania hebu sema ukweli wangapi wameathirika na Corona? Mna yenu kusema hamuezi na bado, si ukuta wa Mererani wala utalii bado mengi yanakuja hatutoheshimiana mtatuheshimu.Hizi nguvu mnatumia kuficha udhaifu wenu kwenye suala la corona na kulilia Wakenya, mngezitumia kwa kuhakikisha mnapima na na kutolea taarifa za hali yenu hamngejikuta kwenye hali hii ya kukataliwa na dunia, mtaandika hizi insha mpaka mjaze vitabu vya dunia ila hali ni ile ile, corona ni tatizo la kisayansi na linapaswa kushughulkiwa kisayansi sio kwa matamko ya wanasiasa.