fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Kunguni anaishi maeneo machafu tu full stop. Kwahiyo Ufaransa particularly jiji lake kuu PARIS ni chafu na si sehemu salama kwa afya kamili ya binadamu.Kumbe kunguni zipo hadi ulaya 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunguni anaishi maeneo machafu tu full stop. Kwahiyo Ufaransa particularly jiji lake kuu PARIS ni chafu na si sehemu salama kwa afya kamili ya binadamu.Kumbe kunguni zipo hadi ulaya 😂
Hizo sehemu zote ni chafu.Yap Kungua walianzia huko America ya kaskazini.
Amini usiamini, kuna mtu atatengeneza ID mpya kujiita KUNGUNI WA ULAYA🤣🤣🤣@kunguni wa ulaya
Ova
Wangekuja na tafiti na shombo kibao za misaada ya sumuDaah nimecheka sana ingekua Afrika wangekuja na maneno ya dharau.
Kunguni hakai sehemu chafu tuKunguni anaishi maeneo machafu tu full stop. Kwahiyo Ufaransa particularly jiji lake kuu PARIS ni chafu na si sehemu salama kwa afya kamili ya binadamu.
Kunguni?View attachment 2771374
Wananchi wa Ufaransa pamoja na watalii wanaoitembelea nchi hiyo wanaugulia maumivu baada ya kungátwa na kunguni ambao wamesambaa katika maeneo mengi hasa ya umma.
Kufuatia kuwepo kwa picha mbalimbali za video mitandaoni zikionesha kuwepo kwa wadudu hao hasa katika jiji la Paris kwenye treni za mwendokasi, hospitali, nyumba za sinema na uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Charles-de-Gaulle, Serikali ya Ufaransa imesema inaelekeza juhudi zake katika kupambana na kunguni hao.
"Jimbo linahitaji haraka kuweka mpango wa utekelezaji dhidi ya janga hili wakati Ufaransa inajiandaa kuwa mwenyeji wa michezo ya Olimpiki na Paralympic 2024," ameandika Naibu Meya wa Paris, Emmanuel Gregoire katika barua yake kwa Waziri Mkuu Elisabeth Borne.
Hivi mkuu mazingira anayoishi kunguni na chawa ni tofauti?Kunguni hakai sehemu chafu tu
We humjui huyo mdudu akiingia ameingia.
Hata ikulu anaishi na anatamba vizuri
Wanang'ata mpaka Mchana sio poa kabisaKunguni ni wasumbufu hulali vizuri kitandani,
Chawa kichwani kunguni anajificha chini ya au kwenye mabanzi anataga humo kumbuka kunguni kutaga mayai haitaji kupandwa na dume kwa hio akipata sehemu yenye kitoweo Cha kutosha anataga mayai kwa wingi ukizima taa tu haoooo wanakuja ukipata usingizi tu haoooo wapo Shingoni wanakunyonya damuHivi mkuu mazingira anayoishi kunguni na chawa ni tofauti?
Afu unakuta wewe hata Kenya hujawahi kufika ila kunguni hadi Chicago yupo.Kumbe kunguni zipo hadi ulaya 😂
Kunguni unaweza ukamtoa kwenye Gari la mbagara akiwa mmoja ukawa umemleta kwako akiwa mmoja tu akiingia uvunguni mwa Kochi anataga kunguni wengine 200 haitaji dume ili atage mayaiAfu unakuta wewe hata Kenya hujawahi kufika ila kunguni hadi Chicago yupo.
HahahahahhaAmini usiamini, kuna mtu atatengeneza ID mpya kujiita KUNGUNI WA ULAYA🤣🤣🤣
Hao wadudu siji kuwasahauKunguni unaweza ukamtoa kwenye Gari la mbagara akiwa mmoja ukawa umemleta kwako akiwa mmoja tu akiingia uvunguni mwa Kochi anataga kunguni wengine 200 haitaji dume ili atage mayai
Walikufanyaje ,😆Hao wadudu siji kuwasahau
nimeshangaa sana kunguni hadi ulaya, paris ufaransa wapoAfu unakuta wewe hata Kenya hujawahi kufika ila kunguni hadi Chicago yupo.
bora upambane na mbu unayemuona kuliko kupambana na kunguni aliyejificha mafichoni ukizima taa tu anakunyonya damu. Kunguni ni mdudu mshenzi sana, mbu akasome kwakeKunguni unaweza ukamtoa kwenye Gari la mbagara akiwa mmoja ukawa umemleta kwako akiwa mmoja tu akiingia uvunguni mwa Kochi anataga kunguni wengine 200 haitaji dume ili atage mayai
Walinipa elimu ya kujua sumu ya yenye uwezo wa kumuua kunguni inapaswa kumuua na mtu pia.Walikufanyaje ,😆
Walishawahi kuvamia ndege hao.nimeshangaa sana kunguni hadi ulaya, paris ufaransa wapo
Anakimbia balaa Ila wakiwa wengi sasa wanaanza kujionyesha ukiona hadi unaanza kuwaona jua unamfugo wa Jeshi la kunguni mpaka wengine wamekosa pa kujifichaKunguni ni mdudu mshenzi sana,