Hofu ya maambukizi ya VVU inanimaliza kiafya, nilishiriki ngono na muathirika wa UKIMWI


Kitu chengine huwa kinanihuzunisha ni pale mtu akigundua dawa tu wanampoteza[emoji174]
 
Mkuu ni nani aliyekuambia kuwa HIV inaambukizwa kwa ngono zembe!? Hivi mbona nyie watu akili zenu mmeziroki kwa maksudi namna hiyo!

Pole sana kwa kushikiwa akili yako na wasaka noti.
Nadhani Kuna ukweli mkubwa hapa ila hujaamua kuweka wazi mkuu, kiukweli Kama ngoma ingekuwa inaambukizwa kwa ngono zembe kirahisi Kama inavyoelekezwa,,,,,,,,,,,sijui tu.
 
Kwahyo ukigonga demu mwenye ukimwi lakini hamna mchubuko wowote hupati ukimwi ?
 
Pole mkuu
Ila hupaswi kuwa na mawazo sana kama uliwahi hizo dawa.
Mimi binafsi mpaka sasa sielewi huu ugonjwa ukoje au tulipigwa kama Corona maana mpaka hapa nimeshapitia wanawake wagonjwa kama 7 hivi tena watatu kati yao ni wale ambao unaingia mahusiano bila kujua afya yake unaanza kutumia kinga badae unajikuta unaanza kumuamini mnatupa kondom na kuanza peku tena na vurugu zote then after six months mawazo ya kupima ndo yanakuja tunapima nakuta demu amewaka!
Hii imenitokea mara kadhaa mpaka nikasema sasa nishaumia maana kuna mmoja nimemgundua mwaka jana mwezi wa saba kwamba amewaka wakati huo namtafuna karibia mwaka ila baada ya vipimo alikiri kwamba aliwahi kuwa na uhusiano na kigogo flani miaka miwili iliyopita ambaye inasemekana ni mgonjwa na anahisi ndo alimuambukiza japo alikuwaga hajapima!
Sasa cha ajabu mpaka mwezi huu nimekuwa kila nikipima nakuta bado mzima na kama nilivyoeleza hapo juu nilishakutana na wanawake wa hivi kama 7 na sikutumiaga kondom.
Sina maana kwamba hakuna wagonjwa wa Ukimwi no najua wapo wengine nawajua wanatumia dawa ila tatizo nashindwa kuelewa inakuwaje isije ikawa tulipigwa kama ile Corona yetu ambayo sa hivi inasubiri vita ya Urusi na Ukraine iishe ndo irudi[emoji1787]
 
Kuna muda naanza kukuamini katika hili mkuu maana
 
Ni akili yao tu ndo inasababisha. Akili ukiiaminisha kuwa umekunywa maji machafu na lazima tumbo litauma, kweli baada ya muda utaanza kuugulia
Mfano hai ni hii Corona ambayo ilikuja moto sana watu wakafa halafu leo hii imetulia inasubiri vita ya Urusi na Ukraine iishe ndo iendelee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Duh
 
Ni noma sanaa hili sualaa...!!
 
Acha kujipa moyo mwenyewe, Tulia sisi tukupe moyo hii mechi ndio kwanza uwanja unapandwa nyasi, unasema ukachomoa ule mfuko halafu hukuchukua muda...kwani ulitegesha saa.
 
Nina mademu wawili. Wote wana huo ukimwi wenu feki tena kwa kuwapima mwenyewe kwani walikuwa hawaamini kwamba naweza kuwa nao ili hali wao ni positive mm negative. Nakung'uta kavu na niko sawa kabisa
Una uhakika wewe ni binadamu?
 
Reactions: amu
Broh huu ugonjwa ni nadharia Sana kuliko uhalisia. Uwezi sex na dem mwenye gono alaf ww usipate hata umuandae mwaka mzima na kutumia vilainishi. Why ukimwi iwe tofauti?
 
Naomba nikuulize swali dogo. Mbona ugonjwa wa gonorrhea, hata uwe umemuandaa demu vipi, na ameloana chapa chapa, ukichomeka tu mashine na kuitoa bila hata kupump lazima na ww upate gono. Why ukimwi haipo hivyo?
Virusi wanapatikana kwnye damu tofauti na bacteria wa Gono na kaswende
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…