Hofu ya maambukizi ya VVU inanimaliza kiafya, nilishiriki ngono na muathirika wa UKIMWI

Hofu ya maambukizi ya VVU inanimaliza kiafya, nilishiriki ngono na muathirika wa UKIMWI

Hapana,nasema hapana sio kitu cha kukizoea hicho. Ni mjombangu anatumia dawa. Huwa nashare nae story,namuona kabisa anavyo-suffer. Mara utasikia mkono unauma. Mara mguu uvimba kitu,mara umepata ganzi. Na ile hali ya kumeza dawa kila siku. No
Kinachosababisha yote hayo, mguu kuvimba, ganzi n.k ni madhara ya hizo dawa anazomeza ARV, kirusi kinasingiziwa tu.
 
Propaganda ya Corona ilishindwa kufanya kazi vizuri afrika sababu tullikuwa Natural immune kwa ule Ugonjwaa ila wazuungu hata mafua tuu yanawapaga shida ndo maana Symptoms na pneumonia iliwaua sana wazunguuu...!! Mimi hadi kesho huwezi nichoma Chanjo ya Coronaaa
Hata ukimwi ni propaganda tu kama Corona. Haimake sense mtu kulazimishwa kuchoma chanjo ilhali mwili wako unajiweza dhidi ya ilo tatizo
 
Kwa hiyo hawa tunao ajua wanao patwa na HIV huwa ni nini?
Ukiwa stressed lazima Kinga ya mwili itashuka. Kinga ikishuka ni rahisi kushambuliwa na magonjwa. Wanaoambiwa Wana virusi vya ukimwi, wote akili huwa inavurugika, msingo wa mawazo, ulevi, Huli vizuri.

Watu wote wanaopimwa alaf wakaambiwa Wana ukimwi, utakuta either ana TB, Malaria Kali au ugonjwa wowote ulioambatana. Hakuna anayeambiwa ana virusi vya ukimwi alaf asiwe na ugonjwa mwingine.

Hospital wakishakwambia una ukimwi, then watakupa dawa za kutibu ugonjwa ulioambatana mfano TB, hapo hapo watakujaza ma ARV. Utapona TB, Ila ARV ndio zitaanza kukuua mdogo mdogo.

Hao unaosema unawajua kuwa wanaumwa, angalia dalili zao alaf kachek dalili za mgonjwa wa TB.

Tumezoea kusema mgonjwa wa ukimwi anakonda, nywele Zina nyonyoka, anatapika mara kwa mara, anakosa hamu ya kula n.k. Nenda google, search side effects za ARV then utapata picha
 
Hao mademu zako wana weza wasikuambukize kwa sababu wana tumia dawa, na kusababisha viral load kuwa ndogo kiasi cha kuto kuambukia na pia labda katika ufanyaji wa ngono nzembe huwa una waandaa bila kujua matokeoa yake wanakua wamesha lowana na kupunguza michubuko , Wewe cha kufanya ili uwe una uhakika kama hakuna ukimwi, nenda kanunua sindano, halafu mchome demu wako halafu nyonya damu yake , halafu jichome na wewe ujiwekee damu ya mwanamke wako, , hapa tujue kama kuna HIV au hakuna kwa uakika utakua umesaidia sana kutufanyia research kujua kama kuna HIV au la na pia ili tuwe na uhakika kama kweli dawa zina saidia au la , kama utabahatika kupaa HIV basi , ducument kila kitu na usitumie dawa tuone kama kweli kuna kitu kama kunywa dawa ili kuwezesha kupunguza makali ya Vizuri ,si unajua hawa wazungu ni waongo sana wanataka kutupa woga kwnye kila kitu,
Naomba nikuulize swali dogo. Mbona ugonjwa wa gonorrhea, hata uwe umemuandaa demu vipi, na ameloana chapa chapa, ukichomeka tu mashine na kuitoa bila hata kupump lazima na ww upate gono. Why ukimwi haipo hivyo?
 
Ok, kama utatusaidia kwanini usijaribu kujidunga damu ya anye sadikika kama ana amaambukizi ya HIV, ili tujue kama huu ugonjwa upo au haupo ?
Hiki unachokisema ww, walishakisema madokta humu humu miaka mingi iliyopita. Wanatumia hii kauli as a tool of last resort, Ila hoja husika hawajibu
 
Hapana,nasema hapana sio kitu cha kukizoea hicho. Ni mjombangu anatumia dawa. Huwa nashare nae story,namuona kabisa anavyo-suffer. Mara utasikia mkono unauma. Mara mguu uvimba kitu,mara umepata ganzi. Na ile hali ya kumeza dawa kila siku. No
Naishi nao sana pia na wengi wapo very happy hawasumbuliwi na kuumwa umwa mara kwa mara,ni vile tu inawezekana mjomba wako afya yake ilishadhoofu ndio maana anasumbuka,nina familia kadhaa kwanza hadi uambiwe kuwa wana hiv ndio ujue,jinsi walivyo healthier
 
bro usiwe na shaka kuhusu ilo. uko salama. izo PrEP mim nimeshazitumia round nne nzima na saiz fresh tu nadunda
 
Kinachosababisha yote hayo, mguu kuvimba, ganzi n.k ni madhara ya hizo dawa anazomeza ARV, kirusi kinasingiziwa tu.
Kwa hiyo ndio ujue kina madhara kirusi. Maana ukimeza dawa zinaleta shida,ukiacha ndio wengi wanaoacha wanafariki. Kwa nini isiwe tatizo ni HIV. Wazungu wametupata kwenye hili dude.

Kwa sasa wametuletea nyingine Corona. Japo imeandoa sana kwao lakini itakata kuondoa kwao. Kwa sasa inaondoa kimya kimya huku Africa hususani Tz. Haizungumziwi lakini nakuhakikishia watu wanaondoka hatari kimya kimya. Wanahisi homa, maralia tu lakini ukifuatilia marehemu alivyokuwa anaumwa,moja kwa moja unaunga dot
 
Kwa hiyo ndio ujue kina madhara kirusi. Maana ukimeza dawa zinaleta shida,ukiacha ndio wengi wanaoacha wanafariki. Kwa nini isiwe tatizo ni HIV. Wazungu wametupata kwenye hili dude.

Kwa sasa wametuletea nyingine Corona. Japo imeandoa sana kwao lakini itakata kuondoa kwao. Kwa sasa inaondoa kimya kimya huku Africa hususani Tz. Haizungumziwi lakini nakuhakikishia watu wanaondoka hatari kimya kimya. Wanahisi homa, maralia tu lakini ukifuatilia marehemu alivyokuwa anaumwa,moja kwa moja unaunga dot
Dawa yoyote ukimeza kwa muda mrefu lazima ikuletee madhara, iwe Panadol, diclopa etc. Mtu ambae ni mzima wa afya kabisa, akianzishiwa dozi ya ARV kwa muda mrefu, na yeye ataanza kuonesha dalili zile zile kama ambazo wanaotumia ARV baada ya kuambiwa Wana ukimwi wanazionesha. So hapo utaona tatizo sio ukimwi, Bali ni zile dawa. Kuna yule mwanamke wa Uganda ambae aliambiwa ana ukimwi wakati sio kweli, akaanzishiwa dozi. After a while anapima anaonekana hana virusi, lakini dawa alishazinywa Sana, na zikaanza kumletea madhara.

Zile dawa ukizimeza muda mrefu zinakukaa, unakuwa unazitegemea zenyewe, ukiacha ghafla lazima uende na maji.
 
Mkuu acha kujipa mawazo, tena kama umetumia hizo dawa ni 100% uko salama. Na kufanya mae mara moja haimaanishi lazima upate. Relax man
 
Asilimia kubwa ya watu hupata ngoma za wazi wakiwa safarini.

Mtu akiwa safarini akili zake anawema mfukoni anaba au kubebwa na madude ya hovyo anayokutana nayo kwenye starehe au wahudumu wa nyumba za kulala wageni

Mwisho wa siku unaetea,mwenza wako mshika dini mdudu , na magonjwa yakkanza unaanza kuwasingizia majirani wamekuloga msomi mzima eti wanakuonea wivu maendeleo yako

Unamwangalia mwenza wako alivyo mzuri na mwaminifu, unaviangalia vitoto vyako vilivyo vizuri na vinavyopamba nyumba yako kwa lugha mbalimbali za kimataifa wanazosoma internatio al school , unaanza kuwapa taabu malaika wa watu kisa safari ya kikazi umejawa tamaa na nyegezi za kijinga eti hulalagi peke yako, baba mzima boss, mama mzima boss unaokota majitu uliyokutana nayo safarini unailetea taabu familia yako

Umaarufu wako wote na akili ulizokuwa nazo kuanzia shule ya msingi hadi chuo kipanga , kazi umepata, familia nzuri unayo, nymba usafiri na maisha bora unashindwaje kuthibiti nyegezi zako ?

Kwa nini unajiua mapema na digrii zako zote tunazifukia ardhini?
 
Sina tatizo lolote mkuu isipokuwa kunawatu wanachagulia wenzao nini wasikie na nini wafikirie na nini wafanye. Sasa ukiukataa huo utumwa unaoenakana wa tofauti sana ktk jamii
Sawa mkuu ila inamaana hujawahi kwenda hospital?? Na kama unaenda ni kwann na hauamini majibu wanayokupa??
 
Sawa mkuu ila inamaana hujawahi kwenda hospital?? Na kama unaenda ni kwann na hauamini majibu wanayokupa??
Mkuu mimi sipingani na sayansi isipokuwa kwa huu ugonjwa sayansi imepindishwa sana kwa manufaa ya wachache. Ukifuatilia sayansi ya ukimwi utagundua ni tofauti sana na magonjwa mengine. Hivyo hospital naenda nikiugua
 
Back
Top Bottom