Huwa wanauliza maswali au kuongea vitu, sio kwa lengo la kujifunza au kujua, Bali wanata ukwame. Watakuuliza kitu, ukijibu watauliza Tena kingine, wataomba evidence utawapa, hawatozipitia, watauliza Tena kingine, lengo ni kuona unakwamaNimemtajia mpaka jina la yule aliyefanya hivyo tena hadharani mbele ya kamera za waandishi wa habari. Ila ameng'ang'ana tu na mahubili yake yasiyo na maana
Sijui kwann watu wengi hamuwezi kujielezea bila kutukana au kuidhihaki wengine? Sasa kama Sina akili au naongea ujinga, why unapoteza muda wako kwangu?Sijui una tatizo la akili ama sijui ni nini, ninachosema unitafute mimi na wewe, nikiwa na rafiki yangu mwenye HIV, ujichome sindano hiyo live huku tuki kurecord kwenye Facebook, Instagram na Youtube live, tukiwa wote mashahidi ya hiyo research isiyo hitaji fundings za aina yoyote, mbona una kuwa unajibaraguza kama hauelewi ninachosema? Tuone sasa kama una weza thubutu, sisi hizo research za Youtube tusizo zihakiki hatuzihitaji tunataka the current one ambayo itakua ya kwako . halafu tuone utaongea ujinga gani .
Sielewi unamaanisha nn kusema unataka current one, zile watakuwa wameziedit. Na ili unaloongea hapa, ndio linafanya nchi yetu haipigi hatua kimaendeleo, maana kila mtu anajiona yy ndio anaaminika San kuliko wengine. Kama ww unashindwa kuamini video za waliotangulia, unahisi video yako itakuwa na upekee gani kiasi Cha wengine kuikubali?Sijui na wewe una tatizo la akili ama sijui ni nini, hizo research tusizo jua chanzo chake na kama kuna aina yoyote ya edditing au wame fake kitu chohocte sisi tuta zitaka za nii, ninachosema unitafute mimi na wewe, nikiwa na rafiki yangu mwenye HIV, ujichome sindano hiyo live huku tuki kurecord kwenye Facebook, Instagram na Youtube live, tukiwa wote mashahidi ya hiyo research isiyo hitaji fundings za aina yoyote, mbona una kuwa unajibaraguza kama hauelewi ninachosema? Tuone sasa kama una weza thubutu, sisi hizo research za Youtube tusizo zihakiki hatuzihitaji tunataka the current one ambayo itakua ya kwako . halafu tuone utaongea ujinga gani .
Hivi mtu ukipima mata kipimo kimoja upo salama kingine mgonjwa hapo means what??????Unawapoteza wenzako mkuu
Jirani yangu (18yrs form 3) kapimwa kakutwa nao
Acha kabisa huu ugonjwa upo
nimeogopa sana
Hivi hatuelewani? Ukiwambiwa kuna syle ya mnanasi na nitamua sana na ukaiona kwenye film ya matusi, si unajaribu na ili na wewekuhakikisha kama ni kweli ? kwa vile tools zote unazo na una amini una cho kisema ila sisi wajinga tuna kubishia, kwanini sasa usitupe a proof kwamba unacho kisema ni una uhakika nacho na tunacho elimish a kuhusu Ukimwi hakiko sahihi ,sababu umeona kwnye Youtube?,sasa kwanini usijaribu na wewe kujidunga kitu cha ncha kali toka kwa mtu aliye athirika na HIV ili sisi wabishi tuone kama ni kweli, si ni mambo ya ku practise au vipi? Unaogopa eeh?Sielewi unamaanisha nn kusema unataka current one, zile watakuwa wameziedit. Na ili unaloongea hapa, ndio linafanya nchi yetu haipigi hatua kimaendeleo, maana kila mtu anajiona yy ndio anaaminika San kuliko wengine. Kama ww unashindwa kuamini video za waliotangulia, unahisi video yako itakuwa na upekee gani kiasi Cha wengine kuikubali?
Hebu shirikisha ubongo wako vizuri mkuu, think out of the box. Wanasema mwenye UKIMWI akijikata na kitu Chenye ncha Kali, alaf akakitupa, mwingine akija akajikata na hicho kitu, basi atapata maambukizi. Lakini hapo hapo wanakwambia ni vigumu kumu isolate virus kwavile hawezi ishi nje ya host. Broh, hivi unawaelewa au unaelewa?
Ndiosababu unatakiwa ujiridhishe ka kupima kwa damu ya toka kwnye veins, kupata uhakika zaidi sababu hizo errors hutokea.Hivi mtu ukipima mata kipimo kimoja upo salama kingine mgonjwa hapo means what??????
Kunatofauti ya kati ya video iliyo kuwa eddited na kuandaliwa na video iliyo kuwa live, Kwasababu unacho ongea haki make snse kabisa ki sayansi, Unauhakika gani kma video hyo ulio ona huko Youtube haijawa eddited? unajua tricks zinazo fanyika kwene vide edditing ? kuna rottoscopping, kuna masking , kuna kila aina ya tools hata wewe una weza zifanya kuweza eddit video na kunekana iko real, unajuaje hapo wakat ana jigunda haku weza eddit kitu lakini video ikaonekana iko moja kwa moja na wewe ukaamini kwamba ni iko sawa? the only thing ya kuweza kuepuka any type ya edditing ni video kufanyika live wakati kila kitu kiwe ndani ya frame, kama vipimo kiwepo muda wote kwnye frame na wahusika wawepo muda wote kwenye frame .Sijui kwann watu wengi hamuwezi kujielezea bila kutukana au kuidhihaki wengine? Sasa kama Sina akili au naongea ujinga, why unapoteza muda wako kwangu?
Let's say tumekutana Mimi na wewe na huyo rafiki yako aliyesingiziwa ugonjwa wa UKIMWI, tukifanikiwa kufanya hayo yote uliyoyasema, nitakuwa naprove ninachokisema kwa nani? Kwenu nyie mtakao kuwepo au kwa watakao angalia video Facebook na YouTube utakapozituma?
HIV siyo ishu kijana...balaa kamili ni cancer na kisukariNiliwahi kabla ya 72hrs kuisha, na kila week napima mpaka mda huu navoandika hapa sina maambukizi ila ninahofu sana, nasubiri nijitazamie miezi 4 to 5
Broh huu ugonjwa ni nadharia Sana kuliko uhalisia. Uwezi sex na dem mwenye gono alaf ww usipate hata umuandae mwaka mzima na kutumia vilainishi. Why ukimwi iwe tofauti?
1. Labda nikuulize, tukifanikisha kufanya hiyo live streaming unayosema, wale ambao hawatakuwa live alaf wakataka kuamini, utawaprovia vipi?Kunatofauti ya kati ya video iliyo kuwa eddited na kuandaliwa na video iliyo kuwa live, Kwasababu unacho ongea haki make snse kabisa ki sayansi, Unauhakika gani kma video hyo ulio ona huko Youtube haijawa eddited? unajua tricks zinazo fanyika kwene vide edditing ? kuna rottoscopping, kuna masking , kuna kila aina ya tools hata wewe una weza zifanya kuweza eddit video na kunekana iko real, unajuaje hapo wakat ana jigunda haku weza eddit kitu lakini video ikaonekana iko moja kwa moja na wewe ukaamini kwamba ni iko sawa? the only thing ya kuweza kuepuka any type ya edditing ni video kufanyika live wakati kila kitu kiwe ndani ya frame, kama vipimo kiwepo muda wote kwnye frame na wahusika wawepo muda wote kwenye frame .
Sasa ili kutuhakikishia unacho kisma ni kweli , unapaswa hiyo video iwe live, na sio recorded and edited, yani kusiwe na a camera cut na watu tuone live mhusika mwenye HIV akijipima na kukutwa anaoa na hapo inachukuliwa damu yake bila a camera cut na bila kuwa out of frame na ikiwa live halafu una dungwa wewe , tuone hapo kama maambukizi hayata kuwepo au la .Ingawa kesho yake una weza kimbilia kunywa PEP vile vile ..
Ila kwa uwezo wangu nilitaka nikuweke kwenye isolation for 3 days ili tujiridhishe na baada ya hapo kama hautapata maambukzi nitaanza ku promote hhili suala kwamba Ukiwmi ni fake haupo na wtu wawe huru kujiachia ila wasiwasau tuu kuna hSTDs zingine . Fikiria utakapo proove hilo nchi ita nufaika kwa kaisi gani kwa kuto sumbuka kutibu magonjwa yanayo sababishwa na side effectsza ArVs? unadhani uta okoa watu wangapi? Kwanini tusifanye research yetu kimtaa halafu tuanze promote it ili awareness iwepo ya kutosha , tuna weza tajirika pia unajua , kufanaya kitu ambacho mtu mmoja tuu unaye mjua wewe ndio kafanya .
Virus anaweza kukaa nje ya mwili wa host kwa muda gani?Ni nature ya virusi kaka, vinakaa kwenye damu. Kuna vimelea vya magonjwa vinayoambukizwa kwa hewa, vingine kwa majimaji ya mwili, na vingine kwa vimelea kuingia kwenye mfumo wa damu. VVU asili yake haviwezi kukaa hewani kama mafua, wala havikai kwenye majimaji kama gono au TB, mpaka ngozi ichubuke itoe damu kaka.. kama hujaelewa na hapo basi sasa
Mpaka hapa nimesalimika,
Sina HIV na hofu nimeivua rasmi kuanzia Leo.
Yule dada msengerema sana na atakuwa kawaambukiza na anaendelea kuwaambukiza wengi virusi Kwa makusudi kabisa
Jamani sio Kila unaekutana nae mzuri ni wakupapatikia kapieni kwanza kabla ya kudunguana kama huwezi kutumia condom, hofu niliyokuwa nayo laiti kama ningeambukizwa na ikawa confirmed HIV+ sidhani kama ningemaliza mwaka sijafukiwa kaburini
Kua muangalifu sana Mkuu,usije ukaharibu life yako kwa starehe ya madakika tu.Mpaka hapa nimesalimika,
Sina HIV na hofu nimeivua rasmi kuanzia Leo.
Yule dada msengerema sana na atakuwa kawaambukiza na anaendelea kuwaambukiza wengi virusi Kwa makusudi kabisa
Jamani sio Kila unaekutana nae mzuri ni wakupapatikia kapieni kwanza kabla ya kudunguana kama huwezi kutumia condom, hofu niliyokuwa nayo laiti kama ningeambukizwa na ikawa confirmed HIV+ sidhani kama ningemaliza mwaka sijafukiwa kaburini
Hivi ugonjwa wa Cancer unasababishwa na nini hasa!!?HIV siyo ishu kijana...balaa kamili ni cancer na kisukari
wadau wangu wa kimasihara hii zone wasikatishee aisee π π π π sema its human nature utasemehee tuMpaka hapa nimesalimika,
Sina HIV na hofu nimeivua rasmi kuanzia Leo.
Yule dada msengerema sana na atakuwa kawaambukiza na anaendelea kuwaambukiza wengi virusi Kwa makusudi kabisa
Jamani sio Kila unaekutana nae mzuri ni wakupapatikia kapieni kwanza kabla ya kudunguana kama huwezi kutumia condom, hofu niliyokuwa nayo laiti kama ningeambukizwa na ikawa confirmed HIV+ sidhani kama ningemaliza mwaka sijafukiwa kaburini