Kunatofauti ya kati ya video iliyo kuwa eddited na kuandaliwa na video iliyo kuwa live, Kwasababu unacho ongea haki make snse kabisa ki sayansi, Unauhakika gani kma video hyo ulio ona huko Youtube haijawa eddited? unajua tricks zinazo fanyika kwene vide edditing ? kuna rottoscopping, kuna masking , kuna kila aina ya tools hata wewe una weza zifanya kuweza eddit video na kunekana iko real, unajuaje hapo wakat ana jigunda haku weza eddit kitu lakini video ikaonekana iko moja kwa moja na wewe ukaamini kwamba ni iko sawa? the only thing ya kuweza kuepuka any type ya edditing ni video kufanyika live wakati kila kitu kiwe ndani ya frame, kama vipimo kiwepo muda wote kwnye frame na wahusika wawepo muda wote kwenye frame .
Sasa ili kutuhakikishia unacho kisma ni kweli , unapaswa hiyo video iwe live, na sio recorded and edited, yani kusiwe na a camera cut na watu tuone live mhusika mwenye HIV akijipima na kukutwa anaoa na hapo inachukuliwa damu yake bila a camera cut na bila kuwa out of frame na ikiwa live halafu una dungwa wewe , tuone hapo kama maambukizi hayata kuwepo au la .Ingawa kesho yake una weza kimbilia kunywa PEP vile vile ..
Ila kwa uwezo wangu nilitaka nikuweke kwenye isolation for 3 days ili tujiridhishe na baada ya hapo kama hautapata maambukzi nitaanza ku promote hhili suala kwamba Ukiwmi ni fake haupo na wtu wawe huru kujiachia ila wasiwasau tuu kuna hSTDs zingine . Fikiria utakapo proove hilo nchi ita nufaika kwa kaisi gani kwa kuto sumbuka kutibu magonjwa yanayo sababishwa na side effectsza ArVs? unadhani uta okoa watu wangapi? Kwanini tusifanye research yetu kimtaa halafu tuanze promote it ili awareness iwepo ya kutosha , tuna weza tajirika pia unajua , kufanaya kitu ambacho mtu mmoja tuu unaye mjua wewe ndio kafanya .