Hofu ya Rais Samia ni wapi bajeti ya Katiba Mpya itoke. Je, Pesa ikichangwa na wananchi, CCM wataridhia mchakato kuanza?

Pslmp

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2021
Posts
1,622
Reaction score
2,458
Ni swali dogo na fupi tu, Kunahofu ya uchumi kudolora kiasi cha kufanya iwe hofu ya baadhi ya mambo mhimu kufanyika kama ukamilishwaji wa Katiba

Je, ikiwa wananchi wataamua kuchangia bajeti yote ya mchakato wa katiba mpya, Bado CCM watazuia jambo hili?
 
Semeni fedha hiyo itachangiwa na mabeberu wenu wenye nongwa na amani na utulivu tulionao kama taifa huru. Acheni kutapeli hakuna mwanainainchi wakutupa hizo fedha jalalaniii. Labda wanaufipa tuuu. Watanzania tunataka amani na maendeleo tuuu basiiii
 
Siyo aseme, bali hili zoezi ndio mwarobaini wa hofu zote za kiuchumi, Chadema anzisheni hii kitu
WAAMBIE CHADEMA WATUPE KWANZA MREJESHO WA MAPATO NA MATUMIZI YA ZILE SADAKA TULIZOCHANGISHWA MWAKA JANA KIPINDI CHA KAMPENI. HATUJASAHAU WAJUE KABISASAA
 
Viongozi wa CHADEMA someni ushauri huu na kuufanyia kazi wadau tupo na wazalendo kwa nchi tupo tayari kuchangia andaeni tu utaratibu
 
WAAMBIE CHADEMA WATUPE KWANZA MREJESHO WA MAPATO NA MATUMIZI YA ZILE SADAKA TULIZOCHANGISHWA MWAKA JANA KIPINDI CHA KAMPENI. HATUJASAHAU WAJUE KABISASAA
Mrejesho uko tume.wewe sadaka huwa hatudai.Mungu ni Mali yake
 
W
Ni swali dogo na fupi tu, Kunahofu ya uchumi kudolora kiasi cha kufanya iwe hofu ya baadhi ya mambo mhimu kufanyika kama ukamilishwaji wa Katiba

Je, ikiwa wananchi wataamua kuchangia bajeti yote ya mchakato wa katiba mpya, Bado CCM watazuia jambo hili?
Wachanhe tujenge madalasa kama wanaona kuna shida tanzania,
Kubwa ni madalasa sio katiba.
Watoto wakasome ili mbeleni watapata katiba nzuli.
 
Mrejesho uko tume.wewe sadaka huwa hatudai.Mungu ni Mali yake
Ingawa na mimi nilichangia, ila ule mchakato wa pesa kurudishiwa tena, ilipasa watuulize wachangaji ili kama tutaamua kurudishiwa, kwa kuwa itikadi zetu zinatofautiana, ila ile huruma ya kibinadamu ilituingia hata tusiokuwa wa Chadema,

Inadikitisha tena pesa niloichanga kwenda kumtoa mtu kifungoni, inaenda kustawisha chama ambacho mimi si mwanachama wake
 
Usijali,endelea kuwa na kadi mbili Ipo siku utaunga juhudi za demokrasia,
 
Tatizo siyo pesa,
Tatizo ni kwamba rasimu ya warioba inaondoa utukufu wa mabavu ya chama dola.

Nyumbu 10
Tembo 10
Boko 10
Twiga 10
Nyati 10
Tukiuza inatosha kuandaa katiba
Hivi hawa wadudu ni kitega uchumi cha serikali eeeh??😂

Daah!

Aisee sjawahi kufikiri hivyo, najuaga ni fahari ya watalii pekee
 
Ni swali dogo na fupi tu, Kunahofu ya uchumi kudolora kiasi cha kufanya iwe hofu ya baadhi ya mambo mhimu kufanyika kama ukamilishwaji wa Katiba

Je, ikiwa wananchi wataamua kuchangia bajeti yote ya mchakato wa katiba mpya, Bado CCM watazuia jambo hili?
KAMA PESA TATIZO KATIBA MPYA TUSHIRIKISHE WADAU WAO WANASEMAJE???

Ruzuku za vyama kwa mwaka zichukuliwe zipelekwe kwenye KATIBA MPYA

PIA Wabunge wakatwe Tsh.500,000/ kila moja kila mwezi kwa mwaka mmoja

Mechi za mpira wa miguu kuwe na kombe LA KATIBA MPYA viingilio vyote viende kwenye KATIBA MPYA.

Kuwe na harambee kila mwezi ikiwa kama tamasha LA music wanamuziki 30 wakubwa na wadogo kila jukwaa kuanzia wilaya na mkoa kiingilio ndo ipelekwe KATIBA MPYA
Ongeza vyanzo vingine ili tupate KATIBA MPYA
 
wataka Katiba, fanyieni kazi hii kitu
 
Back
Top Bottom