Hofu ya Rais Samia ni wapi bajeti ya Katiba Mpya itoke. Je, Pesa ikichangwa na wananchi, CCM wataridhia mchakato kuanza?

Samia ni zero brain, ukisikiliza anayo ongea unagundua kichwani patupu pia ni muoga sana anafanya maamuzi kwa kelele za mitandaoni, CDM wameshajua udhaifu wake ndio maana wanamtolea matamko na ultimatums za kijinga kijinga.
 
Hizo za kuweka mafuta ya safar znatoka wap wakat anapokuwa anaenda nje?
 
We vipi, tozo tu watu wanapiga kelele itakuwa huu mchango kwa ajili ya kwenda kuwapa posho wana siasa WALAFI? Haiwezekani.
 
Samia ni zero brain, ukisikiliza anayo ongea unagundua kichwani patupu pia ni muoga sana anafanya maamuzi kwa kelele za mitandaoni, CDM wameshajua udhaifu wake ndio maana wanamtolea matamko na ultimatums za kijinga kijinga.
Sasa wewe unatarajia Rais makini na muadilifu kama huyu SSH ajibu au ahangaike na "matamko na ultimatums za kijinga kijinga" kama unavyo ziita? No way!
 
Hiyo yote kukidhi matakwa ya Mbowe!
 
Kuna hasara kubwa itakuepo kuishi bila katiba kuliko kuishi na katiba japokua itatugharimu kukusanya maoni.
 
Semeni fedha hiyo itachangiwa na mabeberu wenu wenye nongwa na amani na utulivu tulionao kama taifa huru. Acheni kutapeli hakuna mwanainainchi wakutupa hizo fedha jalalaniii. Labda wanaufipa tuuu. Watanzania tunataka amani na maendeleo tuuu basiiii
Ukinyamaza unaweza kuficha ujinga wako. Amani na maendeleo ni zao la katiba bora
 
Burundi waliingia mfukoni,kuipata katiba mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…