Hofu ya VVU nisaidie

Hofu ya VVU nisaidie

Katufu

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2012
Posts
523
Reaction score
309
Nimefanya unsafe sex last Saturday 14th June, nataka nipime VVU. Je kwa Dar huduma hizi naweza pata wapi.
Asanteni wakuu.
 
Pole sana!
mnazi mmoja nimeona kituo cha angaza karibu na kituo cha basi baridi!,na vituo vingine vyote vya hospitali,
... ....
Tuiepuke zinaa au tutafute wenzi wa maisha!
 
Nimefanya unsafe sex last Saturday 14th June, nataka nipime VVU. Je kwa Dar huduma hizi naweza pata wapi.
Asanteni wakuu.

Vituo ni vingi kuliko wasichana hapo Dar,maadam uliweza kupata baby hapo bila shaka vituo vya kupima HIV itakuwa ni rahisi zaidi.....ukiogopa mwambie uliyekuwa naye mkatafute kituo bora zaidi cha KUPIMIA HIV.
 
Hongera kwa kufanya hayo maamuzi nasi wengine wote tukapime pasipo woga wala wasi wasi kwani kujua afya yako hapaswi usubiri kuumwa.... nenda hospitali ya uma yoyote iliyo karibu nawe pia hospitali kubwa za binafsi utapata hii huduma mkuu... hata mimi nilikua na woga kama wewe ila sasa najimini na kujilinda zaidi...
 
Asante wakuu kwa ushauri na comments nzuri. Nitatafuta kituo nipime, sasa sijui ndani ya 1 week HIV yaweza kuonekana kama ipo au isipoonekana nijione salama? Maana sitaki kusubiri muda mrefu naweza kuchanganyikiwa. Hata hivyo vituo vingi wanataka kusibiri miezi 3 tangu mgegedo.
 
Ukienda kupima sasa utashauriwa kurudia kupima baada ya miezi 03, hivyo waweza kwenda kupima kwa sasa kisha baada ya miezi 03 urudie tena hata kama utakua salama.
 
Asante wakuu kwa ushauri na comments nzuri. Nitatafuta kituo nipime, sasa sijui ndani ya 1 week HIV yaweza kuonekana kama ipo au isipoonekana nijione salama? Maana sitaki kusubiri muda mrefu naweza kuchanganyikiwa. Hata hivyo vituo vingi wanataka kusibiri miezi 3 tangu mgegedo.
ungesubiri tu miezi 3 ili wadudu wakuekue ili waonekane kwenye vipimo.
 
Asante wakuu kwa ushauri na comments nzuri. Nitatafuta kituo nipime, sasa sijui ndani ya 1 week HIV yaweza kuonekana kama ipo au isipoonekana nijione salama? Maana sitaki kusubiri muda mrefu naweza kuchanganyikiwa. Hata hivyo vituo vingi wanataka kusibiri miezi 3 tangu mgegedo.

Mkuu utakuwa umeukwaa tu, kwanini ukumbe shuka wakati kumeshakucha?

Ni kitu gani kilikufanya umuamini huyo mwenzi wako hadi uingie pekupeku,..
 
Hivi dawa ya huo ugonjwa jamani bado tu....!!?! Kuna matapeli wamemtapeli shangazi yangu ati wanatibu kilichompata aliharisha hadi kuongezewa drip za maji chupa 15 na 750000 tsh. zikaenda. Alipokwenda kupima HIV+.....!
 
Pole mkuu, mshauri aende kwenye maombezi hakuna gharama na huenda Mungu akamponya.
 
Mshahara wa dhambi ni mauti. Mshahara wa zinaa ni HIV.
 
Mnazi Mmoja na AMREF hivyo ni Vituo vya Angaza huduma buree kabisa
 
Hivi dawa ya huo ugonjwa jamani bado tu....!!?! Kuna matapeli wamemtapeli shangazi yangu ati wanatibu kilichompata aliharisha hadi kuongezewa drip za maji chupa 15 na 750000 tsh. zikaenda. Alipokwenda kupima HIV+.....!
Bado hawana haraka....kuna rafiki zangu kutoka nchi moja ya Asia kila nikiuliza mmja mmja kuhusu UKIMWI na HIV wanasema hawjawahi kuona mtu anaumwa ukimwi na maeneo yao hawapo...leo nikajaribu kutafuta ukweli kwenye mtandao,nchi ina watu milioni 106 ina watu wenye HIV 7800 tu na HIV/AIDS ADULT rate ni 0%,nikajiuliza huu ukimwi unaadhiri binadamu wote au ni race ya weusi tu....kwa hivyo sidhani kama makampuni mengi yameweka jitihada kwenye tafiti ya ugonjwa huu maana hata madhara makubwa ssidhani kama yanawapata sana kama huku kwetu kusini mwa jangwa la sahara.Pakistani ina watu milion 190 wana idadi ya watu wenye hiv 75000 na HIV/AIDS ADULT RATE ni 0.1%
 
Back
Top Bottom