Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimefanya unsafe sex last Saturday 14th June, nataka nipime VVU. Je kwa Dar huduma hizi naweza pata wapi.
Asanteni wakuu.
ungesubiri tu miezi 3 ili wadudu wakuekue ili waonekane kwenye vipimo.Asante wakuu kwa ushauri na comments nzuri. Nitatafuta kituo nipime, sasa sijui ndani ya 1 week HIV yaweza kuonekana kama ipo au isipoonekana nijione salama? Maana sitaki kusubiri muda mrefu naweza kuchanganyikiwa. Hata hivyo vituo vingi wanataka kusibiri miezi 3 tangu mgegedo.
Asante wakuu kwa ushauri na comments nzuri. Nitatafuta kituo nipime, sasa sijui ndani ya 1 week HIV yaweza kuonekana kama ipo au isipoonekana nijione salama? Maana sitaki kusubiri muda mrefu naweza kuchanganyikiwa. Hata hivyo vituo vingi wanataka kusibiri miezi 3 tangu mgegedo.
ukichomoka hapo usirudie tena.
Hivi dawa ya huo ugonjwa jamani bado tu....!!?! Kuna matapeli wamemtapeli shangazi yangu ati wanatibu kilichompata aliharisha hadi kuongezewa drip za maji chupa 15 na 750000 tsh. zikaenda. Alipokwenda kupima HIV+.....!
pole ..........
Bado hawana haraka....kuna rafiki zangu kutoka nchi moja ya Asia kila nikiuliza mmja mmja kuhusu UKIMWI na HIV wanasema hawjawahi kuona mtu anaumwa ukimwi na maeneo yao hawapo...leo nikajaribu kutafuta ukweli kwenye mtandao,nchi ina watu milioni 106 ina watu wenye HIV 7800 tu na HIV/AIDS ADULT rate ni 0%,nikajiuliza huu ukimwi unaadhiri binadamu wote au ni race ya weusi tu....kwa hivyo sidhani kama makampuni mengi yameweka jitihada kwenye tafiti ya ugonjwa huu maana hata madhara makubwa ssidhani kama yanawapata sana kama huku kwetu kusini mwa jangwa la sahara.Pakistani ina watu milion 190 wana idadi ya watu wenye hiv 75000 na HIV/AIDS ADULT RATE ni 0.1%Hivi dawa ya huo ugonjwa jamani bado tu....!!?! Kuna matapeli wamemtapeli shangazi yangu ati wanatibu kilichompata aliharisha hadi kuongezewa drip za maji chupa 15 na 750000 tsh. zikaenda. Alipokwenda kupima HIV+.....!