Mnada wa Mhunze
Senior Member
- Mar 1, 2023
- 168
- 819
Jioni ya leo itachezwa fainali ya kwanza ihusuyo mashindano ya kombe la shirikisho barani Afrika baina ya timu ya Yanga dhidi ya Usm ya Algeria.
Hivi karibuni yamepata kutokea matukio ya ukatikaji wa umeme mara kwa mara ndani ya uwanja wa Benjamini Mkapa ambapo fainali hiyo inachezwa leo jambo linaloleta hofu kutukia hata leo.
Pamoja na kwamba mchezo utachezwa mapema lakini ni muhimu kama nchi tujiandae barabara aibu ile isutupate.
Wanasiasa lisimamie hilo na ili istokee siasa ya kukatika umeme Taifa leo.