Hofu yangu juu ya kuishi bila mke

el myng

Member
Joined
Oct 14, 2024
Posts
12
Reaction score
22
Habarini familia nina miaka 25, natamani sana kuwa na familia yangu lakini nikizingatia sina fedha yoyote ile nipo natengemea nyumbani kitu kama hicho kinanifanya niwe na hofu hata ya kutafuta mke kwa hofu ya kukosa fedha.

Naombeni kufahamu kama kuna binti yoyote ambaye yupo tayari kuishi maisha kama hayo aje anisaidiee..kunitoa katika hiyo hali.

Kwani muda mwingine ninapokuwa na hasira najichukulia sheria mkononi naombeni msaada wenu
 

Pumbavu kabisa, jibiidishe, tongoza, waweza pata wanawake bila 1000
 
Unataka mwanamke anayeweza kukubali kuishi na wewe hapo kwa wazazi wako muendelee kuwategemea wazazi wako aje akusaidie? Khaa!

Upo mkoa gani nikupe mchongo uhame hapo kwa wazazi wako kabla haujaingia tamaa ya urithi.
Huyo kijana nyege zinamsumbua si unasikia hapo anasema anajichukulia sheria mkononi ina maana anapiga punyeto
 
Hizo ni dalili za kuanza kugombania urithi.
Swala la sheria mkononi umewaona wadada wa Tabata
Kajitafte kwanza upate pesa ya kuondoka kwa wazazi ndo uje kutafta mwanamke
 
Kuoa siyo lazima cha msingi ni kuzalisha tu...pia huo umri ni mdogo kuoa kama ni kuoa oa na miaka 35....
 
acha ujinga, unakula ugali wa shikamoo unataka mwanamke ili wote mlishwe hapo, na hiyo familia mtakayoianzisha ilishwe na wazazi wako, endelea kuwa mwanachama mtiifu wa CHAPUTA
 
Moja ya sifa kuu ya kuoa, ni uwe na uhakika wa kesho yenu na familia yako.
 
Bro Nina miaka 24 upo kwenye hatua Fulani ya kujitambua kukua kuanzs kujenga familia kuongeza kipato nk kifupi Hali ambayo upo nayo kila kijana anaipitia Mimi mwenyewe napitia mpaka Sasa. Ila Nina uhakika kwasasa nyege zinakusumbua mbili huna demu, Sasa Kwa haraka haraka tafuta demu upoze manyege afu akili ya kuoa itaondoka itakuja akili ya kutafuta Hela

Nakupa link hapa nilipewa na baba yangu@mshana jr, itakusaidia kujitambua.
Kama upo dar na una Muda onana na mshana jr Mimi niliona nae akanipa cancelling ya kutosha....unaona nakushauri mpaka Raha😂

Link nakutumia now
 
Unataka mwanamke anayeweza kukubali kuishi na wewe hapo kwa wazazi wako muendelee kuwategemea wazazi wako aje akusaidie? Khaa!

Upo mkoa gani nikupe mchongo uhame hapo kwa wazazi wako kabla haujaingia tamaa ya urithi.
Mwanachama wa CHAPUTA anataka kurudisha kadi
 
Unataka mwanamke anayeweza kukubali kuishi na wewe hapo kwa wazazi wako muendelee kuwategemea wazazi wako aje akusaidie? Khaa!

Upo mkoa gani nikupe mchongo uhame hapo kwa wazazi wako kabla haujaingia tamaa ya urithi.
Mi sitaki kuoa ila naomba mchongo. Nipo Babati
 
Punguza hofu kijana... Unajiuliza bure tu.

Kwa umri huo na wewe ni wakiume na kama unaishi mjini basi nikwambie tu umri bado sana... Unaharaka unawahi wapi.

Chamsingi focus kwenye kipato fanya juu chini kufika 27-39 uwe unaojitegemea... Usichague kazi madeal ya maana yatakukutaga njiani ukiwa unapambana na shughuli yoyote.

Kuhusu kuchukua sheria mikononi kijana kunamadhara asijue akakudanya mtu... Kwasababu sheria mkononi ni inauraibu na uraibu unamadhara ya kisaikolojia na ukiasilika kisaikolojia wewe au watu wenye imani potofu watahisi umerogwa kumbe sio bali ni uraibu unafanya kazi yake.

Pia soma
Uraibu unaathiri mfumo wa ufahamu katika ubongo na kusababisha matatizo ya kisaikolojia, ambayo sio rahisi kuyatambua/kuyashitukia, mapema.

Kitu chochote chenye uraibu kikishafikia hatua hiyo ya uraibu/chronic, iwe ngono madawa pombe kamari inaondoa utimamu wako wakuweza kuamua mambo mwenyewe (self control) badala yake chenyewe ndio kinakuendesha utake usitake, jiulize kwanini walevi, wavuta sigara, unga hawaachi licha ya mateso wanayopata.


Ni moja ya vitu ambayo watu wengi wanakujaga kujifunza muda/umri ukiwa umeshawatupa mkono/ yaani wakiwa wameshachelewa, na hapo ndipo neno ningejua huja mwisho wa safari.

Pia soma baadhi ya madhara yanayotokana na uraibu wa aina yoyote ile ikiwemo kuchukua sheria mkononi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…