Hofu Yatanda Kwa sisi Washabiki wa timu ya Wananchi

Katika historia ya soka ya nchi hii Simba ndio timu iliyofungwa maranyingi zaidi na Yanga kuliko timu yoyote. Kwaiyo mbumbumbu fc hajawai kuwa tishio kwa yanga.
naona unaishi kwa historia! hongera yako
 
umeanza lini kushabikia Yanga?
Target ni ushindi sio kushindana na MwamediFc

Mkuu mimi nimeanza kuishabikia Yanga tokea mwaka 1987 na nimekuwa Mwanachama Rasmi wa Yanga mwaka 2001.

Na kumbuka kuwa hakuna Ushindi bila ya Kushindana.
 
Katika historia ya soka ya nchi hii Simba ndio timu iliyofungwa maranyingi zaidi na Yanga kuliko timu yoyote. Kwaiyo mbumbumbu fc hajawai kuwa tishio kwa yanga.

Mkuu Simba alitutandika Misumari MINNE bado unasema sio tishio?
Kweli wewe ni Mshabiki maadazi usiyeumizwa na Vipigo Vizito kama Hivi.

Nasikitika sana kwenye Timu yetu ya Yanga kuwa na Mshabiki kama wewe.
 
Mkuu wewe ni Mpiga makelele tu wa Yanga lakini hufahamu chochote kuhusu Yanga.

Sisi Wanachama Waandamizi wa Yanga ndiyo Tunaoijua Timu yetu na ndiyo tunaoumizwa na Timu yetu.
 
Mtabaki humohumo.na ubingwa mtakuwa mnauona kwa TV tu watu wakivishwa medali.
 
Acha na timu yetu......Yanga itabaki Yanga tu

Timu yako wewe na nani? Namba yako ya Kadi ya Uwanachama ni Ngapi?

Hivi unajua ni jinsi gani sisi Wanachama Waandamizi tumeihangaikia Yanga mpaka ikafika pale ilipo?
 
Simba,mwaka huu tunahama kutoka 4G tunahamia 5G. Yajayo yanafurahisha.
Mkuu wewe ni Mpiga makelele tu wa Yanga lakini hufahamu chochote kuhusu Yanga.

Sisi Wanachama Waandamizi wa Yanga ndiyo Tunaoijua Timu yetu na ndiyo tunaoumizwa na Timu yetu.
 
Mtulie tarehe 18 tutawanywa kama Balimi

Yani kwa hakika Wananchi Tumeshaanza kuogopa hiyo tarehe 18 sijui nyinyi Simba mutatupa adhabu gani!!! 😭😭😭

Kibaya zaidi yule Mganga wetu yupo Bize na Wagombea wa Ubunge kuwatafurua Ushindi kwa Ulozi..
 
Mna shida nyie mikia fc, kila kitu Yanga Yanga.
 
Katika historia ya soka ya nchi hii Simba ndio timu iliyofungwa maranyingi zaidi na Yanga kuliko timu yoyote. Kwaiyo mbumbumbu fc hajawai kuwa tishio kwa yanga.
Historia Inasema Tanzania ilikuwa Sawa na China miaka ya 1800 Mkuu, naona Wanayanga mmebaki kuongelea Historia. Hebu tupe Update ya Ushindi kuanzia kizazi Kipya yaani 2000
 
Mtabaki humohumo.na ubingwa mtakuwa mnauona kwa TV tu watu wakivishwa medali.
Jidanganye tu ufurahi...hili Lina mwisho...na mwisho wake ni mbaya...utaikumbuka comment hii na uitunze...
 
Mtabaki humohumo.na ubingwa mtakuwa mnauona kwa TV tu watu wakivishwa medali.
Ok sawa...kwa nyie mashabiki wa mikia msiojua ushindi wenu unapatikanaje nyie sherehekeeni tu...ila siku ukifanya hata utafiti mdogo na ukapata mwanga wa namna 'ushindi' mnavyopata nadhani utaacha hata kwenda uwanjani ...ni aibu...
 
CHAMA mmoja sawa na nini? Kwani Simba walipofungwa 1-0 na Yanga, Chama hamuwemo? Kwani zilipotoka 0-0 Chama hakuwemo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…