Kwani Hawa wote ni mikia?! TehtehtehNadhani hata yale magoli manne ya jana yalifungwa na Wallace Karia,Wambura na Clifford Ndimbo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Hawa wote ni mikia?! TehtehtehNadhani hata yale magoli manne ya jana yalifungwa na Wallace Karia,Wambura na Clifford Ndimbo.
naona unaishi kwa historia! hongera yakoKatika historia ya soka ya nchi hii Simba ndio timu iliyofungwa maranyingi zaidi na Yanga kuliko timu yoyote. Kwaiyo mbumbumbu fc hajawai kuwa tishio kwa yanga.
chura fc utopolo 😂😂nmejazia tuVijora FC[emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
umeanza lini kushabikia Yanga?
Target ni ushindi sio kushindana na MwamediFc
Katika historia ya soka ya nchi hii Simba ndio timu iliyofungwa maranyingi zaidi na Yanga kuliko timu yoyote. Kwaiyo mbumbumbu fc hajawai kuwa tishio kwa yanga.
Hivi huko Simba mmesomea wapi propaganda? Wakati wa Sadam Hussein kilikuwa na mtu mmoja anaitwa nadhani Al Sahef..jina Kama Hilo ingawa sijapatia Sana...Ujerumani ya Hitler kulikuwa na propagandist anayeitwa Goebbels...Simba wana propagandist wengi wakiongozwa na anayejiita msemaji wa klabu hiyo...yaani mikia wameleta Aina mpya ya uendeshaji wa soka...kutumia propaganda, kujaza viongozi TFF na kamati zote...kuhonga marefarii...yaani soka inaendeshwa kwa mipasho...kwenye kupanga ratiba mikia nako wako...kwenye kupanga waamuzi mikia wamejaa...kwenye kamati zote mikia wamejaa...yaani maamuzi yanayotolewa ni ya kushangaza...msemaji wa mikia ameachwa atambe anavyotaka ...kudhalilisha timu na klabu nyingine...dah...Lakini mwisho wake ni mbaya that is for sure...this empire in soccer will crumble...kwa Sasa mikia wanatamba lakini hii siyo ya kudumu...Kuna Kila dalili kwamba empire itabomoka..na kwa hakika italeta mtikisiko wa kutisha..nimeandika...
Mtabaki humohumo.na ubingwa mtakuwa mnauona kwa TV tu watu wakivishwa medali.Hivi huko Simba mmesomea wapi propaganda? Wakati wa Sadam Hussein kilikuwa na mtu mmoja anaitwa nadhani Al Sahef..jina Kama Hilo ingawa sijapatia Sana...Ujerumani ya Hitler kulikuwa na propagandist anayeitwa Goebbels...Simba wana propagandist wengi wakiongozwa na anayejiita msemaji wa klabu hiyo...yaani mikia wameleta Aina mpya ya uendeshaji wa soka...kutumia propaganda, kujaza viongozi TFF na kamati zote...kuhonga marefarii...yaani soka inaendeshwa kwa mipasho...kwenye kupanga ratiba mikia nako wako...kwenye kupanga waamuzi mikia wamejaa...kwenye kamati zote mikia wamejaa...yaani maamuzi yanayotolewa ni ya kushangaza...msemaji wa mikia ameachwa atambe anavyotaka ...kudhalilisha timu na klabu nyingine...dah...Lakini mwisho wake ni mbaya that is for sure...this empire in soccer will crumble...kwa Sasa mikia wanatamba lakini hii siyo ya kudumu...Kuna Kila dalili kwamba empire itabomoka..na kwa hakika italeta mtikisiko wa kutisha..nimeandika...
Acha na timu yetu......Yanga itabaki Yanga tu
Mkuu wewe ni Mpiga makelele tu wa Yanga lakini hufahamu chochote kuhusu Yanga.
Sisi Wanachama Waandamizi wa Yanga ndiyo Tunaoijua Timu yetu na ndiyo tunaoumizwa na Timu yetu.
Mtulie tarehe 18 tutawanywa kama Balimi
Simba,mwaka huu tunahama kutoka 4G tunahamia 5G. Yajayo yanafurahisha.
Mna shida nyie mikia fc, kila kitu Yanga Yanga.Naanza na Salamu ya Daima Mbele Nyuma Mwiko.
Mimi nikiwa Mwanachama na Mfuasi wa Timu ya Wananchi Kindakindaki kwakweli Mpira walioucheza Simba SC Jana dhidi ya Biashra United umetushituwa sana sisi Maelfu ya Wanachama wa Young Africans Sports Club na kuzua taharuki itakuwaje siku tutakayokutana nao!
Simba wameonesha uwezo wa hali ya Juu sana kwa kucheza mpira safi na wenye akili nyingi huku tukishuhudia vipaji vikubwa kwa ngazi ya Africa kama Konde Boy, Bwalya na Chama.
Nisiwe mnafiki Chama mmoja tu ni zaidi ya Kikosi chetu kizima cha Yanga.
Kwasasa ninamlaumu Senzo tu aliyetudanganya kuwa Chama anakuja kwenye Timu yetu ya Wananchi.
In fact sisi Yanga kuna umuhimu wa kubadilika katika uendeshaji wa Timu ili tuendane na Kasi ya Simba ambaye niwazi kuwa na mwaka huu anakuwa Bingwa tena.
Mna shida nyie mikia fc, kila kitu Yanga Yanga.
Historia Inasema Tanzania ilikuwa Sawa na China miaka ya 1800 Mkuu, naona Wanayanga mmebaki kuongelea Historia. Hebu tupe Update ya Ushindi kuanzia kizazi Kipya yaani 2000Katika historia ya soka ya nchi hii Simba ndio timu iliyofungwa maranyingi zaidi na Yanga kuliko timu yoyote. Kwaiyo mbumbumbu fc hajawai kuwa tishio kwa yanga.
Jidanganye tu ufurahi...hili Lina mwisho...na mwisho wake ni mbaya...utaikumbuka comment hii na uitunze...Mtabaki humohumo.na ubingwa mtakuwa mnauona kwa TV tu watu wakivishwa medali.
Ok sawa...kwa nyie mashabiki wa mikia msiojua ushindi wenu unapatikanaje nyie sherehekeeni tu...ila siku ukifanya hata utafiti mdogo na ukapata mwanga wa namna 'ushindi' mnavyopata nadhani utaacha hata kwenda uwanjani ...ni aibu...Mtabaki humohumo.na ubingwa mtakuwa mnauona kwa TV tu watu wakivishwa medali.
CHAMA mmoja sawa na nini? Kwani Simba walipofungwa 1-0 na Yanga, Chama hamuwemo? Kwani zilipotoka 0-0 Chama hakuwemoNaanza na Salamu ya Daima Mbele Nyuma Mwiko.
Mimi nikiwa Mwanachama na Mfuasi wa Timu ya Wananchi Kindakindaki kwakweli Mpira walioucheza Simba SC Jana dhidi ya Biashra United umetushituwa sana sisi Maelfu ya Wanachama wa Young Africans Sports Club na kuzua taharuki itakuwaje siku tutakayokutana nao!
Simba wameonesha uwezo wa hali ya Juu sana kwa kucheza mpira safi na wenye akili nyingi huku tukishuhudia vipaji vikubwa kwa ngazi ya Africa kama Konde Boy, Bwalya na Chama.
Nisiwe mnafiki Chama mmoja tu ni zaidi ya Kikosi chetu kizima cha Yanga. Kwasasa ninamlaumu Senzo tu aliyetudanganya kuwa Chama anakuja kwenye Timu yetu ya Wananchi.
In fact sisi Yanga kuna umuhimu wa kubadilika katika uendeshaji wa Timu ili tuendane na Kasi ya Simba ambaye niwazi kuwa na mwaka huu anakuwa Bingwa tena.
Wewe jamaa ukiwa Mnafiki kuzeeka utakua mchawi