Hofu Yatanda Kwa sisi Washabiki wa timu ya Wananchi

Ok sawa...kwa nyie mashabiki wa mikia msiojua ushindi wenu unapatikanaje nyie sherehekeeni tu...ila siku ukifanya hata utafiti mdogo na ukapata mwanga wa namna 'ushindi' mnavyopata nadhani utaacha hata kwenda uwanjani ...ni aibu...

Kama umeamua kulialia achana na Mpira na ushabikie Rede, Sisi Washabiki wa Timu ya Wananchi Dar Young Africans Sports Club hatuna tabia ya kulialia.
 
CHAMA mmoja sawa na nini? Kwani Simba walipofungwa 1-0 na Yanga, Chama hamuwemo? Kwani zilipotoka 0-0 Chama hakuwemo

Tusiwe wepesi wa kujidanganya hivyo! Mbona sisi kama Yanga hatupendi kuiongelea ile tuliyokung'utwa Misumari Minne?

Kiukweli Chama si Mkubwa zaidi ya Yanga tu! Bali ukiunganisha mpaka na Washabiki wetu pamoja na GSN Chama anabakia kuwa ni Mkubwa tu.
 
Mimi ni MWANANCHI LIALIA . Sitaki kuamini kama na wewe ni mwananchi au ni Mkia

Wewe huwezi kuwa Mwananchi Lialia kwasababu sio Mwanachama wala hujawahi Kuchangia Timu kwa kununua Hata Jezi OG.

Mimi Mwananchi Lialia kwasababu ni Mwanachama hai wa Yanga Since 2001.
 
Wewe huwezi kuwa Mwananchi Lialia kwasababu sio Mwanachama wala hujawahi Kuchangia Timu kwa kununua Hata Jezi OG.

Mimi Mwananchi Lialia kwasababu ni Mwanachama hai wa Yanga Since 2001.
Umechelewa sana. Mimi nina kadi a Yanga tokea mwaka 1995. Usinipigie kelele hapa mtoto wa juzi
 
Umechelewa sana. Mimi nina kadi a Yanga tokea mwaka 1995. Usinipigie kelele hapa mtoto wa juzi

Kwani kuna uhusiano wa kuwa na Kadi ya uanachama na Umri wa Mtu?

Mbona Babuyangu Ana umri wa Miaka 95+ ni Yanga lialia wala hana Kadi? Je, nayeye ni Dogo?
 
Na kushitaki cas kuwa benard Morison ni mchezaji wetu mbona hujaelezea ukiacha kuhonga waamuzi hadi wanasema goli kona
 
Baadhi wanajua kama mi ni Yanga akiwemo Gentamycine.Sometime tuweke ushabiki pembeni Simba jana walikuwa bora sana.Sijajua kama ule mpira wa kuremba Yanga kama amemfundisha na kocha au laa.Nilipenda sana speed ya Simba.Speed ya Yanga ilikuwa ovyo kabsa na walistahili hata fimbo kwa kutuaibisha.
 
Ok sawa...kwa nyie mashabiki wa mikia msiojua ushindi wenu unapatikanaje nyie sherehekeeni tu...ila siku ukifanya hata utafiti mdogo na ukapata mwanga wa namna 'ushindi' mnavyopata nadhani utaacha hata kwenda uwanjani ...ni aibu...
Hujui unachoongea.ww unaujua utafiti na procedure zake ww?? Unaleta hisia zako unaita utafiti. Badala ya kutengeneza timu mnabaki kuongea viroja humu.unachoongea ww siyo mpira ni uelewa wako mdogo wa kuchanganua mambo.
So simba kampiga Biashara jana Simba
alinunua mechi Ile.
Utopolo mna safari ndefu.na mpaka mje kushtuka Simba itakuwa imetawala soka la bongo km ilivyo Bayern Munich pale Ujerumani.Poleni.
 
Nasikia Mwamedi kakataa kuchangia kampeni za CCM..Hamisi katumwa anaenda kupewa money laundry ya hatari..mikia kazi mnayo maana tajiri aliyebakia anayependa mikia ni Bakhresa tu na ana timu yake..usimcheke mamba kabla hujavuka mto..mko tayari kwa kupitisha makapu ?
 
Sawa...usiku mwema
 
Katika historia ya soka ya nchi hii Simba ndio timu iliyofungwa maranyingi zaidi na Yanga kuliko timu yoyote. Kwaiyo mbumbumbu fc hajawai kuwa tishio kwa yanga.
Una miaka mingap? Je ktk umri wako umeshuhudia magoli mangap simba akimfunga yanga na yanga ikimfunga simba. Otherwise NI USHABIKI WA MAMA YAKO
 
Utaumia sana miaka hii. MLIZOEA KPND CHA MALINZI SHENZ ZENU
 
Chama nkataba wake simba unaisha miezi michache ihayo na amekataa kusaini mkataba mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…