Hofu yatanda kwa wazazi, watoto kufundishwa kulawitiana mashuleni. Tufanye nini kuokoa watoto wetu?

Wabelgiji wameanza yao
 

Umeongea point
 
Sasa watoto kutwa wanasikiliza masingeli na mabongo fleva
Huku wakikata mauno,hapo unafikiri
Kuna nini tena

Ova
 
Ndiyo mnalijua Hilo leo? Hili suala lipo sana lkn kamwe hutasikia likielezwa na viongozi wa ashule. Wanaogopa kupoteza wateja (hasa private)

No
 
Ndiyo mnalijua Hilo leo? Hili suala lipo sana lkn kamwe hutasikia likielezwa na viongozi wa ashule. Wanaogopa kupoteza wateja (hasa private)

No
Mbona hao watu wanasemekana ni walegevu hata kukimbia hatua 10 ni kazi lakin wanaogopeka kuliko Mandonga? [emoji3][emoji3]
 
Sasa watoto kutwa wanasikiliza masingeli na mabongo fleva
Huku wakikata mauno,hapo unafikiri
Kuna nini tena

Ova
samahan kuuliza si ujinga kwa hiyo wakikata viuno kila saa kwa mziki then kuna msuli unafyatuka then wanaanza kwenda kama bata??
 
Hivi ni nchi gani niliskia wameanzisha mkakati wa siri wa kuua kimya kimya. Eti wakikujua una tabia hizo za ulawiti wanakumaliza wenyewe hata vyombo vya sheria haviambiwi.
Tunachoshukuru Mungu ni kwamba killing is illegal.
Hiyo nchi ni ya hovyoo, wangeanza na wazinzi, walevi, wezi, majambazi, vibaka, mafisadi etc.
 
Kuna ukweli hakuna kichwa Cha habari Cha bahati mbaya
Mkuu muda mwingine huwa wanaandika vichwa vya habari vya kipuuzi sana..

Mwaka 2016, gazeti moja liliwahi kuandika "Kifaru cha JWTZ chaibiwa".
Uandishi wa aina hii ni wakustajabisha sana!!

By the way, naungana na wewe kwa nguvu zote kukemea uovu wanaofanyiwa watoto/wanafunzi!!!

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Shetani Yuko kazini, hataki kuona nafsi ya mtu ikiingia peponi, Hawa matron na patron wapatikane wazee, sio vijana, na pengine wamiliki wa shule wanajua huu mchezo Ni maagano yao, ili wazidi kupata wateja, tajiri kuuona ufalme wa mbingu, Ni ngumu sana
 
Hivi ukikuta mtoto tena wa form 5 ndio umegundua unafanyaje maana Kuna jirani yangu limemkuta naona yule mama atapata kichaa
 
Duuh shule gani hizo??wataje na wazifungie
Mungu atusaidie
Mwaka jana watoto sita wa shule zilizopo katikati ya mji Muungano na Mawenzi walilawitiwa na dereva bajaj wakati wa kuchukuliwa shuleni.
 
Kwa kuwa Nipashe ni gazeti makini linaloandika habari za ukweli na uhakika, nashauri shule hii isakwe na huyo mwalimu anayefundisha ulawiti naye alawatiwe kabla ya kunyongwa. Ndio. Yeye si anaona kitendo cha ulawiti ni kitamu hadi anafikia hatua ya kuwafundisha watoto ujinga huu? Ikibidi hata alawitiwe na kunyongwa hadharani. mpuuzi mkubwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…