Hofu yatanda kwa wazazi, watoto kufundishwa kulawitiana mashuleni. Tufanye nini kuokoa watoto wetu?

Hofu yatanda kwa wazazi, watoto kufundishwa kulawitiana mashuleni. Tufanye nini kuokoa watoto wetu?

Mnaongea ukweli au mnatutisha? Binafsi sijawahi mshuhudia shoga anafananaje 🤣🤣
Huyo anasimulia kuwa hali mbaya mwenyewe yupo kwenye kundi hilo, niliona wana JF wengi wakimhusisha na hilo kundi
Ila uhalisia ni ushoga unapigwa kelele au promotion mtandaoni kuliko hali ilivyo mtaani
Bimafsi mara ya mwisho kumuona shoga ni mwaka 2011
 
Napinga kuwa mambo ya ulawiti yanafundishwa na watu kutoka nje. Wazungu kinachowaponza ni kuwa wawazi tu. Kama hii habari ina ukweli basi ni kwa sababu ya laana. Kinachoendelea kwenye jamii yetu ni lazima kita-backfire. Jamii imejaa wanaume wanaowaza ''kula jicho'' kila kona. Siku hizi imekuwa kama ni kawaida mwanamme hawezi kulala na mwanamke bila kumgeuza. Na watu wanajisifia kwa hili. Kwanini tusipate laana? Ni suala la muda tu Sodoma na Gomora itakuwa imerudi full.
Watu wanashangilia mambo ya kwa mpalange lakini wanajidai kukataa ushoga
 
Ukimkubali mtu means unaadmire lifestyle yake yote including tabia, matendo na kila kitu.

Mimi nakukubali jinsi ulivyo charming humu sikujui kiundani, comment zako huwa zinanipa mwanga wa life lako lipoje although mwisho wa siku "ur life ur choice".
Oooooh hapoooo sawaaa Dear!!
Usijar bhanaa, ni vilee tyuuh napenda kutetea haki za binadamu na matakwa yao.
 
Hivi ni nchi gani niliskia wameanzisha mkakati wa siri wa kuua kimya kimya. Eti wakikujua una tabia hizo za ulawiti wanakumaliza wenyewe hata vyombo vya sheria haviambiwi.
Tunachoshukuru Mungu ni kwamba killing is illegal.
 
Shida ni kwamba Watanzania ni wanafiki na wanapiga sana kelele kukemea then kwenye utendaji wanaingia mitini.

Kwann nasema ivyo? Nchi zilizoendelea na zile zilizopata uhuru zaidi ya karne moja iliyopita waliona kwamba hilo jambo ni inevitable( haliepukiki) na nila mtu binafsi na wakat mwingine wanaotendewa huwez kuwajua wasipojiweka identical. Na wanaotenda ndio kabisaaa.

So wakaamua kutambua kwamba lipo. Then wanaotaka watamalizana wenyewe na Mungu.

Licha ya nchi kutambua uwepo hata Mungu anatambua kwamba wapo. Mbona hajawaua? Ila kina dhambi ukifanya mfano kuua mzazi, kumwaga damu ambayo ni so innocent kwa hilahutamalza miaka mitano lazma ufe.

Sasa kupitisha sheria ya kuwanyonga huwezi kuwatambua huwez unafanya nn? Tukubaliane kuacha unafiki.
 
Back
Top Bottom