McCollum
JF-Expert Member
- Jan 10, 2023
- 384
- 684
Baada ya uvamizi kila mtu anatakiwa kukimbiaWeka ulizi wa umeme ase
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya uvamizi kila mtu anatakiwa kukimbiaWeka ulizi wa umeme ase
Huyo anasimulia kuwa hali mbaya mwenyewe yupo kwenye kundi hilo, niliona wana JF wengi wakimhusisha na hilo kundiMnaongea ukweli au mnatutisha? Binafsi sijawahi mshuhudia shoga anafananaje 🤣🤣
Not!!!Are you one of them???( politely asking)
Watu wanashangilia mambo ya kwa mpalange lakini wanajidai kukataa ushogaNapinga kuwa mambo ya ulawiti yanafundishwa na watu kutoka nje. Wazungu kinachowaponza ni kuwa wawazi tu. Kama hii habari ina ukweli basi ni kwa sababu ya laana. Kinachoendelea kwenye jamii yetu ni lazima kita-backfire. Jamii imejaa wanaume wanaowaza ''kula jicho'' kila kona. Siku hizi imekuwa kama ni kawaida mwanamme hawezi kulala na mwanamke bila kumgeuza. Na watu wanajisifia kwa hili. Kwanini tusipate laana? Ni suala la muda tu Sodoma na Gomora itakuwa imerudi full.
Baada ya uvamizi kila mtu anatakiwa kukimbia
Ndiyo hapo sasa. Halafu wanasahau kuwa tufanyacho sisi ndicho wafanyacho watoto wetu.Watu wanashangilia mambo ya kwa mpalange lakini wanajidai kukataa ushoga
Navyo Tuseme Tatizo Ama Ndiyo UkweliVichwa vya habari
Hata mimi nimekimbia ila napita kuangalia kama bado moshi unafuka na kuwaokoa wachache waliopoMimi nishakukimbia nimekuachia uwanja w vita
Mfano argument ipi?Kwa muda mrefu mimi nahisi wewe ni shoga, tena shoga ndindindi. Pigo zako za kichoqo na hata arguments zako kwenye mjadala huu ni za kutetea ushoga.
Nimestuka sana nilipoona Gays for life na makopakopa.... na vile nakukubali mkuuNot!!!
Hata mimi nimekimbia ila napita kuangalia kama bado moshi unafuka na kuwaokoa wachache waliopo
Ukibaki utatuma S.O.S baadaye tuambulie mabaki 😂Huwezi kuwaokoa kwa hali hii ya sas ilivyo chafuka
Oooooh hapoooo sawaaa Dear!!Ukimkubali mtu means unaadmire lifestyle yake yote including tabia, matendo na kila kitu.
Mimi nakukubali jinsi ulivyo charming humu sikujui kiundani, comment zako huwa zinanipa mwanga wa life lako lipoje although mwisho wa siku "ur life ur choice".
Una mtoto huko??? IShule za FEZA zichunguzwe, chuo kikuu cha MUM pia