Hofu yatanda: Msanii Q-Chillah hajulikani alipo siku ya tatu sasa

Hofu yatanda: Msanii Q-Chillah hajulikani alipo siku ya tatu sasa

Kwani wamejaribu kupitapita hadi kwenye vijiwe vyote vya mapusha napo hayupo?
Vijiweni masaa yote hayo. ? Kweli mtu mzima yule akae kijiweni muda wote huo kweli mkuu tuwe serious na issue kama hizi maana kuna walipotea hadi leo hawajulikani walipo. Ni vizuri tukapaza sauti mapema angalau isaidi kuamsha jamii na jambo hili liwe wazi kabisa na mapema.
 
Savimbi, labda karudi kwenye kazi yake iliyosababisha akanyolewa dread rocks.....
 
itakua kiki hiyoo maana mzeee baba katupwa mbali Sana'a..au kaenda kwa sangoma huyoo
 
Chillah hali Madawa tena, wala hawezi ludia yule jombaa na mkubali sana kwa msimamo
 
Wasiojulikana kama ni kweli tunalijengea taifa picha mbaya sana ya kiulinzi na usalama.

Kama watu maarufu au wanaofahamika wanapotea kwa kiasi hiki je hao wasiokua na jina ama hawafahamiki ni wengi kiasi gani?

Jeshi la polisi na inteligence community tupeni majibu ya masahibu haya wanayopitia watanzania wenzetu
Jeshi la polisi hakina uwezo wa ki-inteligence kutatua kesi kama hizi,wapo kisiasa zaidi kuliko kulinda wananchi na haki zao,sababu kubwa kulifanya Jeshi la polisi lisiwe na uwezo wa kutatua kesi kama hivi ni kwakuwa wako mbali sana na raia,uhusiano wa raia na polisi ni mbovu sana
 
Kuna Mzee mmoja hivi Umri umeshaenda siku moja aliwahi kuniambia kwamba ukishaamua kuingia katika Biashara na Matumizi ya dawa za Kulevya basi jaribu kuwa makini na usipende kupayukapayuka au kutumika na Rafiki yako ama kwa kujua au kutokujua katika kuwafichua wenzako kamwe hutobaki salama. Lakini kama haitoshi pia ukijua una mahusiano ya Kimapenzi tena ya uwizi na Mpenzi wa Mtu kisha akakuonya mara mbili tatu bila ya hata Kukudhuru jua ya kwamba kinachokuja si kitu kizuri na huenda Kikakugharimu.

Mpaka leo nayawaza mno hayo maneno ya huyo Mzee na sijayapatia bado majawabu kuwa alikuwa akimaanisha nini hasa.
Maneno makini sana haya yanaitaji yatumike ipasavyo
 
Vijiweni masaa yote hayo. ? Kweli mtu mzima yule akae kijiweni muda wote huo kweli mkuu tuwe serious na issue kama hizi maana kuna walipotea hadi leo hawajulikani walipo. Ni vizuri tukapaza sauti mapema angalau isaidi kuamsha jamii na jambo hili liwe wazi kabisa na mapema.
Siku moja jaribu kula Unga uone
 
Back
Top Bottom